upotoshaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Nitakuwepo hapa kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM kwa lengo la upotoshaji. Wapinzani jiandaeni maana nimejipanga vya kutosha

    Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara. Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape aagiza wamiliki wa “Abroad Tv” wakamatwe kwa upotoshaji

    UPOTOSHAJI WA KIWANGO HICHI HAUKUBALIKI KWANI LENGO NI KUPOTOSHA NA KUCHOCHEA CHUKI DHIDI YA SERIKALI NA KUIPAKA MATOPE NCHI YETU. Nimewaagiza TCRA na vyombo vinavyohusika kuchukua hatua zinazostahili kwa chombo hichi. Vizuri hawa wawe mfano kwa wengine wa aina hii.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Zungu anaachwa kuendelea kuupotosha umma?

    Amesikika Zungu akiongelea masuala ya Internet: Zungu hana ufahamu wowote wa kuhusu Internet zaidi ya kuwa yeye ni mtumiaji kama mtu mwingine tu. Cha kushangaza ni kuwa ameachwa kuendelea na upotoshaji wake tena kwa raha zake. Wataalam, TCRA, wasomi, vyuo nk wapo ila wote kimya! Utadhani...
  4. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali: Kumekuwa na upotoshaji kuhusu tozo, Wizara ya Fedha itatoa ufafanuzi tozo zilizopunguzwa

    Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali TAARIFA Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu upotoshaji kuwa "Wasomi hawaajiriki", hebu tuwatambue matajiri wasomi

    UPOTOSHAJI "WASOMI HAWATAJIRIKI" EBU TUWATAMBUE MATAJIRI WASOMI DEGREE LEVEL Kwangu mm nauona huu ni upotoshaji mkubwa na wenye madhara kwenye jamii yetu.. Nachojua ni kweli wasio wasomi kwa ujumla ni more risk taker kulinganisha na wasomi lakini hii pekee sio factor ya ku generalise...
  6. Blood of Jesus

    JamiiForums Tanzania Maadui wa Taifa: Kuna watu kwa makusudi kabisa wanapotosha juu ya mgogoro wa Loliondo na hifadhi ya Ngorongoro

    Kuna watu wenye akili zao kwa makusudi kabisa wanaamua kupotosha juu maeneo haya mawili. Kule Loliondo tunaweka alama za mipaka kati ya eneo tengefu na eneo la wananchi. Alama hizi za mipaka zimekuwa zikiwekwa maeneo mengi ya uhifadhi hapa nchini, mfano ni kule Gombe. Ngorongoro bado...
  7. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji: Magufuli alidai kuyamaliza kabisa maovu yote Tanzania

    Siku za karibuni kumeibuka upotoshaji wa makusudi, tena uliopangiliwa vizuri wa kuwa Magufuli alidai amemaliza rushwa, wizi na ufisadi nchini. Hebu tutendeni haki, Magufuli hakuwahi kumaliza rushwa, wizi na ufisadi. Ila katika uongozi wake wa serikali na chama tulishuhudia juhudi za dhati za...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuacha upotoshaji wa kudhani kuteseka sana mwishowe huwa ni kufanikiwa, watu wengi huteseka mpaka kifo bila kufanikiwa.

    Utaskia.. "Diamond aliteseka sana leo kafanikiwa" - hapa mtu anasahau kwamba kwenye muziki kuna ma elfu ya wasanii wameanza kuimba 2005 huko ila mpaka leo bado wanteseka. "Bakhresa alianzia chini kwa kujiajiri leo katoboa" - katika kundi hili kuna watu wengi sanaaa waliojiajiri kila siku...
  9. John Haramba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Neno ‘KOLO’ hatarini kumponza Haji Manara, jela inanukia

    Kutokana na mwendelezo wa baadhi ya watu kutumia 'graphics' za Baraza la Kiswahili Taifa (BAKITA) na kutumia kuweka maneno yao kisha kuandika maana potofu katika Lugha ya Kiswahili, baraza hilo limekuja juu. Haji Manara ni mmoja wa watu maarufu ambao walitumia ufundi kama unaotumiwa na BAKITA...
  10. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia alishambulia gazeti za Raia mwema, adai linaongoza kwa upotoshaji nchini

    Spika wa bunge Dkt. Tulia Ackson amesema gazeti la Raia Mwema ni wapotoshaji wakubwa wa habari hapa nchini baada ya kutoa habari mfululizo za kulishambulia Bunge, Sabaya na Makonda bila ushahidi na sababu zozote. Gazeti la Raia mwema limeandika habari inayosema "Bunge lapitisha muswada wa...
  11. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson aache upotoshaji, Kiti cha Naibu Spika kiko wazi kikatiba

    Hoja ya Naibu spika Dr. Tulia inasimama kwenye maneno mafupi anayoyachagua bila kumaliza yote katika Ibara ya 84(2) ya katiba. Maneno aliyoyachagua katika Ibara hiyo haijatoa katazo la moja kwa moja kwa Naibu spika kugombea Uspika. Waliokatazwa kwakutaja moja kwa moja ni Waziri au Naibu waziri...
  12. msovero

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai amesema kuna upotoshaji mwingi unaendelea nchini, adai kuna wakati sheria za hovyo zinapitishwa bungeni

    Akiwa kwenye kongamano lililokuwa limeandaliwa na vijana wenyeji wa dodoma ambapo alialikwa kama mgeni rasmi katika kongamano hilo, spika Ndugai amedai kuwa kuna upotoshaji mwingi sana unaendelea nchini. Akitolea mfano suala la yeye kupingwa, Ndugai amesema anapingwa si kwa sababu ana pungufu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Usiwe sehemu ya upotoshaji kuhusu COVID-19 na Chanjo

    Cha kusikitisha ni kwamba, kuna habari nyingi zisizo sahihi mtandaoni kuhusu virusi vya COVID-19 na chanjo. Habari potofu wakati wa janga la kiafya zinaweza kueneza hali ya wasiwasi, hofu na unyanyapaa. Inaweza pia kusababisha watu kuachwa bila ulinzi (kinga) hivyo kuwa kusababisha dhaifu dhidi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kipanya na Katuni hii, aliona Mbali

    Pigisha hata kura ya maoni ulipo au hata katika ulio nao karibu: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kibonzo hapa kina hoja nzito.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80

    Dodoma. Waziri wa Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80 na zilizobakia mikoani hivi sasa ni chache. Jumla ya chanjo milioni 1.058 zilizopokelewa nchini kutoka nchini Marekani Julai 24, 2021 na uchanjaji ulizinduliwa rasmi Julai 29, 2021 na Rais...
  16. NITAKUKAMATA TU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijapenda upotoshaji wa mwandishi uyu dhidi ya timu ya hii,upingwe huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki

    Wa jamii jana tuliomsikia mmoja wa watu wa biashara united ,ndg wabare,lakin cha ajabu uyu mwandish alibadilisha maneno ambayo ndg wabare alisemea wapinzani wake ,kuwa alisemea timu yake.huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki, na haukubaliki
  17. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa Taarifa waongezeka kuelekea Uchaguzi nchini Ujerumani

    Wakati Ujerumani ikijiandaa na Uchaguzi wa Bunge unaotarajiwa kufanyika Septemba 26, ripoti mpya ya Taasisi isiyo ya Kiserikali nchini humo ya Avaaz imeonesha kuongezeka kwa matukio ya upotoshaji wa taarifa. Ripoti ya Taasisi hiyo imemtaja mgombea wa Chama cha Green, Annalena Baerbock kuwa...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania YouTube yafuta Video Milioni 1 zinazopotosha kuhusu COVID-19

    Mtandao wa Youtube Jumatano umesema umeondoa kwenye mtandao wake zaidi ya video millioni moja za habari hatari za kupotosha kuhusu virusi vya corona, tangu kutokea kwa hilo mwaka iliyopita. Taarifa ya mtandao huo unaomilikiwa na kampuni ya Google, inajiri wakati mitandao ya kijamii ikishutumiwa...
  19. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa Chanjo ya CoVid 19: Nusura nijeruhiwe na Wanakijiji

    Mods and Wachangiaji, ninachoandika hapa ni kitu kikubwa na nashauri tahadhari ichukuliwe mapema. It is very serious. Siku ya Jana nikiwa kwenye majukumu yangu ya kutafuta riziki, nilipaswa kufika kwenye shule X huko kanda ya MAGHARIBI ili kuonana na Mkuu wa shule kwa akili issue Fulani...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Wapo waliochanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe. Sijachanjwa na haitatokea

    Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona. Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu...
Back
Top Bottom