upotoshaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Tuache upotoshaji kuhusu chanjo ya Corona

    Kuna "misconceptions" nyingi kuhusu chanjo ya Covid19. Baadhi za kitabibu na nyingine za elimu ya tabia. Zile za kitabibu nawaachia madaktari na wataalamu wa afya wazijibie. Mimi najibu hizi ambazo ni Socio-Cultural infuenced. 1. Chanjo ya Corona ni mpango wa wazungu kutuua? JIBU: Wazungu...
  2. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Haonga aombe radhi kwa upotoshaji kodi za Mbolea; Rais amesema Corona ndo chanzo cha kupanda bei ya Mbolea

    Leo wakati wa hotuba yake baada ya kuapisha mabalozi Mh Rais alijaribu kuhusiana na kupanda kwa bei ya mbolea nchini , jambo ambalo linaonekana wazi kuwa litaleta athari sana katika suala letu la chakula hapo mwakani. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa kupanda kwa bei ya mbolea nchini kumetokana...
  3. S

    JamiiForums Tanzania CCM: Tunafuatilia mienendo ya viongozi wetu wanaopotosha umma, kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wetu

    Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama. CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua...
  4. Kelvin R Nyello

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uwekwe wazi wananchi tuusome kuepusha upotoshaji unaoweza kufanyika

    Habari ya leo wakuu, Imani yangu nyote ni wazima, kwa wasio wazima InshaAllah Allah awafanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye hoja. Naomba mkataba na project proposal ya ujenzi wa bandari ya kisasa ya Bagamoyo uwekwe wazi ili Watanzania wenye uwezo wausome, uchambuliwe pro and cons zake zote...
  5. Mheikungu

    JamiiForums Tanzania Neno "Mwendazake" na upotoshaji wa kikanuni unaoendelea sasa

    LOGIC: "Wanaomwita Magufuli MWENDAZAKE wanahatarisha amani." 1. Mtu akimuita Mwendazake, ni hali gani inatokea ya kuhatarisha amani? 2. Marehemu akisikia anaitwa Mwendazake anaibuka na kuleta tafrani nchini kiasi cha kuhatarika kwa amani? 3. Au wafuasi wa Mwendazake kama hawa Viongozi wa...
  6. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa atoa ufafanuzi upotoshaji wa wapinzani kuhusu takwimu za ajira

    Uzushi huu hapa: Wapinzani wamechukua na kuviunganisha vibango vinne vya mtandaoni (infographics) vinavyotengenezwa na Ayo TV vyenye taarifa ya idadi ya ajira zitakazotolewa na Serikali kwa nyakati tofauti huku vikionesha mkakanganyiko kuhusu jumla ya watu watakaoajiriwa na Serikali. - Kibango...
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taarifa juu ya Miradi ya Mendeleo iliyotekekezwa awamu ya tano ilijaa upotoshaji mkubwa kwa Wananchi

    Wananchi wengi walikuwa hawaambiwi ukweli na uhalisia wa miradi iliyotekelezwa awamu ya tano. Kiasi cha Wananchi kuwa taarifa zisizo sahihi juu ya miradi hiyo huku wengi wakidhania ilikuwa imekamilika kwa 100%. Mfano ni kweli vituo vya afya 460+ na Hospitali za Wilaya zaidi ya 65 zilijengwa...
  8. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG juu ya kutohuisha upembuzi yakinifu mradi wa JNHPP ni upotoshaji mkubwa, kuna uwezekano CAG anatumika kisiasa

    Ukiisoma kwa umakini ripoti ya CAG miradi ya maendeleo ukurasa wa 98 utagundua kuwa kuna upotoshaji mkubwa kuwa upembuzi yakinifu haukuhuishwa kabisa na hivyo data zinazotumika kutekeleza huu mradi ni za mwaka 1970 na mwaka 1980. Jambo ambalo sio kweli. Huu mradi unaosimamiwa na TANESCO kupitia...
  9. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa wa sisi vijana kuwa makini na huu upotoshaji kabla hatujachukua maamuzi ambayo tutayajutia kesho

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia na kuona baadhi ya watu wakitushauri vijana kuhusu baadhi ya maswala hasa yanayohusu elimu bila kufanya upembuzi yakinifu au kuwa na data za ku-justify arguments zao. Hoja yao kubwa imekuwa 'zama zimebadilika siku hizi' mara oooh elimu sasa haina nafasi, mara...
  10. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa Kauli ya Rais Ukomeshwe. Wizara ya Afya Toeni ufafanuzi

    Gts, Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya Rais juu daktari aliyegeuka mkataba. Wizara ya afya toeni ufafanuzi. Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na Serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi Serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa wanasiasa wakishindwa chaguzi

    Hakika tumejionea jinsi uchaguzi wa Tanzania ulivyokuwa tulivu na amani na ndiyo kitu kila mtanzania huwa anakiota maana pasipo na amani maendeleo huwa ni ndoto. Sasa kwa hawa ndugu zetu waliojipachika ukimbizi usio na maana kwa kipi walichokimbia Tanzania nani anawatishia usalama wao...
  12. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Niwasahihishe wapotoshaji wanaodhani Rais Magufuli amekiuka sheria kuwateua mawaziri (Prof. Kabudi na Dkt. Mpango)

    Na Elius Ndabila 0768239284 Baada ya Mh Rais kuwateua Mawaziri wawili, yaani Waziri wa Mambo ya nje Prof Kabudi na Waziri wa Fedha Prof Mpango kumezuka watu wanaoandika mtandaoni kuwa Rais amevunja katiba ambayo inasema Rais atateua Mawaziri na Manaibu Mawaziri kwa kushauriana na Waziri mkuu...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Pinda: Zanzibar sio NCHI... Werema: Zanzibar ni NCHI (Serikali yao ni MOJA, RAIS wao ni MMOJA)

    Huku akiwasilisha kwa mbwembwe zilizoonekana kuwa ni za kishabiki akipinga hoja zilizowalishwa na kambi ya upinzani bungeni, Werema alishindwa kuunga mkono hoja ya Upinzani kuhusu mstakabari wa TZ baada ya Zanzibar kuutangazia UMMA na dunia kuwa ni NCHI. Werema alisema zanzibar ni nchi ndo...
  14. Cannabis

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ndugu Polepole ahadi ni deni tupo ndani ya siku saba za mwisho katika kampeni

    Ndugu Polepole nakumbuka uliitisha vyombo vya habari na kutoa shutma dhidi ya Mgombe wa Urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu A. Lissu kuwa "sio mwenzetu" na uliahidi kumuanika hadharani katika siku 7 za mwisho za kampeni. Napenda kuchukua fursa hii kukumbusha ahadi yako hii, japokuwa una kazi...
  15. UKWELIYAKINIFU

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa dhana ya uhuru ndani ya upinzani

    Katika siasa za ushindani kama ilivyo ushindani holela wa soko huria kumeibuka upotoshwaji mkubwa wa kutumia fikra za Mwalimu Nyerere nyingi na hapa nitajikita katika dhana ya “UHURU”. Kwa makusudi katika mchakato wa kuwa makuhadi wa soko huria, na pengine pia wapinzani kutokuwa na falsafa ...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Kufuatia Upotoshaji Unaofanywa: Naomba kutoa Elimu kuhusu Mihimili mitatu ya Dola

    Waungwana, Kwa kipindi kirefu wapinzani wamekuwa kwa kujua au kutokujua wanapotosha umma Kuhusu kazi na wajibu wa mihimili mitatu ya dola yaani serikali, bunge na mahakama. Serikali kazi yake ni kuendesha shughuli za kila siku za nchi, bunge kutunga sheria na kuisimamia serikali wakati...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, adai Lissu ana tatizo la 'memory'

    Komredi Polepole yuko mubashara Channel ten akizungumzia maendeleo ya kampeni za CCM. Kadhalika Polepole ametolea ufafanuzi baadhi ya mambo yaliyopotoshwa na wapinzani hasa Tundu Lisu ikiwemo ujenzi wa SGR na uwanja wa ndege wa Chato. Karibu. ======= POLEPOLE: Wenzetu wa Upinzani wamekuwa...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?

    Wanabodi, Kati ya vyombo vyote vya habari duniani, chombo kikuu kabisa cha kuaminika, kwa sisi Anglophone Africa ni our colonial master, The British na shirika lao la habari la kibeberu la BBC London, na kwa Francophone Africa ni France na RFI na F24 TV. Sasa inapotokea chombo kama BBC London...
  19. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Aache upotoshaji: Universal Health Care haimaanishi Bima ya Afya. 'Universal Health Care Coverage' kwa Tanzania tuko 100% tangia enzi za Mwl. Nyerere

    Huyu mgombea kila kukicha anawapotosha wananchi kwa kuwaeleza mambo ambayo si sahihi. Anaongea mambo ambayo hayajui na hana utalaamu nayo. Hana wataalamu wa kumshauri ukweli wa kile anachokusudia kuwaeleza wananchi. Moja ya upotoshaji anasema ni kuwa akichaguliwa atawaletea watanzania wote...
  20. WENYELE

    JamiiForums Tanzania GE2020 TCAA yawajibu CHADEMA, yasikitishwa na upotoshaji wao

Back
Top Bottom