upinzani

  1. J

    Bunge kutokuwa na Kambi rasmi ya Upinzani ni ishara kuwa Wapinzani wameishiwa pumzi

    Moja ya kipimo cha kuimarika kwa upinzani ni uwepo wa Kambi rasmi ya upinzani na mabaraza ya madiwani yanayoongozwa na vyama vya upinzani. Kwa sasa hapa Tanzania hivyo vyote havipo. Ni kama vile tumerudi mwaka 1992 wakati mfumo wa sasa wa vyama vingi unaasisiwa. Ili upinzani urejeshe makali...
  2. Kwa tunaowajua haiwezekani Upinzani kususia bunge, huu ni utani tu!

    Tunaomjua Zitto vizuri na Mbowe hawatuchanganyi kabisa. Mwaka 2010 baada ya UCHAGUZI mkuu wabunge wa upinzani walikusudia kususia bunge kwa sababu kama hizi hizi. Wakati huo Tundu Lissu, Heche na Mdee walikuwa moto kweli. Walilia dhulma dhidi ya wagombea wao wengi sana wa ubunge na kutangazwa...
  3. GE2020 Upinzani wasizuie wabunge wao kwenda kuapa na kuhudhuria Bunge

    Wacha wabunge wa wapinzani washiriki vikao vya bunge lijalo, na ikiwezekana wapeleke majina ya watu wa ubunge wa viti maalumu. Maana kuhudhuria au kutokuhudhuria hakusaidii kuimarisha demokrasia wala vyama vya upinzani wala kubadilisha siasa za Tanzania. CUF walifanya hivyo mara nyingi bila...
  4. Dodoma: Ufunguzi wa Bunge la 12, Ndugai asema Bunge hilo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani

    Mkutano wa kwanza wa Bunge la 12 umeanza rasmi leo Novemba 10, 2020, jijini Dodoma, ambapo moja ya shughuli zinazofanyika kwa sasa ni zoezi la kumchagua Spika wa Bunge. Moja ya kazi za kwanza za vikao vya mwanzo vya mkutano huu itakuwa ni kumchagua Spika wa Bunge, Naibu wake pamoja na...
  5. Viongozi wa upinzani wanaoondoka nchini wahakikishe wameweka sawa madeni wanayodaiwa

    Habari wakuu. Baada ya kupokea meseji zenu zisizo na idadi na pia simu nyingi za kunisihi niseme neno kuhusu hii hali iliyojitokeza ya viongozi wa upinzani kuondoka nchini kwa madai ya kuepuka hatari zinazowakabili dhidi ya maisha yao. Ninachoweza kwa ufupi ni kwamba nimesikitishwa na hizo...
  6. Wimbi la Wanasiasa wa upinzani nchini Tanzania kutishiwa kuuawa linalenga jambo gani na kwa manufaa ya nani na ili iweje?

    Sasa ni dhahiri kwamba kuna mpango umesukwa wa mauaji ya wanasiasa wa upinzani nchini Tanzania, wahanga wakuu ni kutoka CHADEMA na ACT-WAZALENDO, ushahidi uko wazi kabisa, lakini je mpango huu wa kinyama umepangwa ili iweje, mbona walioshinda uchaguzi wameshinda kwa kishindo, mauaji haya...
  7. K

    Wanasiasa wa Upinzani wajitafakari: Je, wako upande wa Demokrasia au wanajali matumbo yao kwanza?

    Ili uchaguzi uaminike unahitaji vitu vikuu vitatu: uhuru, uwazi na haki. Uchaguzi wa mwaka huu haukua na chochote kati ya hayo. Haukua uchaguzi wa kidemokrasia. Moja ya njia ya kupinga dhuluma yoyote ile ni kugoma. Mgomo wa kwanza uliotishwa nchi nzima na wanasiasa wa upinzani haukufanikiwa...
  8. Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, Bunge letu jipya linalokwenda kuundwa hivi karibuni baada ya uchaguzi Mkuu, lina hali mbaya sana ya kuwa liko kwenye hati hati ya kutokuwepo kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni. Swali ni Jee NEC, Rais Dr. Mwinyi na Rais Dr. Magufuli wataingia huruma na...
  9. Kinachoponza Vyama vya Upinzani kutochukua Nchi ni "Mwelekeo" wao kisiasa

    Neno "Mwelekeo" ndio sababu kuu ya Vyama vya upinzani kutokubalika na kuaminiwa kupatiwa Nchi na watanzania. Uchaguzi wa mwaka 1995 upinzani chini ya NCCR Mageuzi ilibaki kidogo kuchukua nchi chini ya Augostino Lyatonga Mrema, kabla ya watanzania kushtuka dakika za mwishoni baada ya Baba wa...
  10. S

    Jicho la tatu: Wapinzani waliokosa Ubunge kuingia katika mtihani wa kupewa Teuzi Serikalini ili wasaliti vyama vyao lengo likiwa kuua upinzani

    Napenda kuwaleza mapema juu ya utabiri wangu huu ili yakianza kutokea msishangae na pengine kufadhaika bali mjipange kuyapokea yatayotokea. Katika kutekeleza makakati/mpango huo,wanaoweza kuwa wanasiasa wa mwanzo kushawishiwa kukubali teuzi hizo ni watu/wanasiasa kama Prof.Jay, Sugu, Msigwa na...
  11. Uchaguzi Marekani: Trump amshutumu Biden kuiba kura, Twitter yatoa tahadhari kuhusu chapisho la Trump 'linalopotosha'

    Wakati kura zikiendelea kuhesabiwa kufuatia Uchaguzi Mkuu nchini Marekani, mtandao wa Twitter umetoa tahadhari kuhusu chapisho la Rais wa Marekani, Donald Trump alilochapisha katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter akiwashutumu wapinzani wake (Joe Biden) kuiba kura. Trump aliandika...
  12. J

    Baada ya matokeo ya Uchaguzi, kipi kuwa Chama kikuu cha upinzani?

    Matokeo yameonyesha kuwa ACT Wazalendo imepata wabunge 3, CUF imepata wabunge 3 na CHADEMA imepata mbunge 1. Hata hivyo kuna uwezekano wabunge wa CHADEMA kuongezeka baada ya uteuzi wa wabunge wa viti maalumu, halikadhalika kwa ACT Wazalendo na CUF. Je, CHADEMA itaendelea kuwa ni chama kikuu...
  13. D

    Balozi wa USA nchini amtaka Rais Magufuli achukue hatua zaidi ya kuwaachia Mbowe na wenzake

    Mbali na kuachiwa viongozi wa upinzani bado Marekani imetaka hatua za mapendekezo yake yote kuchukuliwa. Soma alichotoa Balozi wao nchini:
  14. Zitto Kabwe akamatwa na Polisi baada ya kwenda kuwaona viongozi wa vyama vya upinzani waliokamatwa na Polisi

    Kiongozi wa Chama, cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe amekamatwa na kushikiliwa na Jeshi La Polisi baada ya kufika Kituo cha Polisi Oysterbay kuwaona Viongozi wa Vyama vya Upinzani waliokamatwa tangu Juzi kwa ajili ya kuandaa maandamano ya amani ya kudai Uchaguzi mpya na Tume Huru ya Uchaguzi...
  15. K

    Sababu zilizosababisha 'Upinzani' kufeli vibaya

    1. Vyama vingi kama sio vyote vya upinzani havina mizizi ngazi za chini badala yake vina majina makubwa ya viongozi pale juu wanaofanya propaganda kubwa. 2. Hakuna tafiti za kina zinazofanyika tokea chaguzi moja mpaka chaguzi nyingine nini hasa sababu ya kushindwa jambo linalopelekea kubakia na...
  16. Nini kifanyike kwa Upinzani tunapojiandaa na Uchaguzi wa 2025

    Uchaguzi huu umekwisha na Upinzani unapaswa kucheza karata zake vizuri ili kuepusha majanga mengine mwaka 2025. Kelele za kutaka uchaguzi urudiwe hazitozaa matunda sasa ambapo hata maandamano tu ya kupinga Mbowe kupewa kesi nzito yamefail. Nini kifanyike 1. Wale Wapinzani wawili walioachiwa...
  17. Mawakala wa vyama vya upinzani kusaini fomu za matokeo ni njia moja inayoashiria kwamba zoezi la sehemu husika lilifanyika vizuri

    Wana Jamvi, Nina furaha kubwa kuona kwamba kama watanzania, tumeweza kupokea matokeo yote kwa utulivu na ku kubaliana na hali tuliyo nayo sasa hivi. Kipindi ambacho mengine yana endelea, yakiwemo kuapishwa kwa viongozi, ni vyema ku angalia upande wa pili na ku sikiliza hoja za ambao hawa...
  18. Upinzani mmecheza karata nzuri kuhakikisha wote mnakamatwa na polisi ndani ya kipindi kifupi tu baada ya uchaguzi

    Karata mlioicheza sasa itazaa matunda, ilikuwa ni ngumu kuiaminisha jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi uliofanyika Tanzania mwaka huu uligubikwa na kasoro nyingi, ukizingatia waafrika wote waliokuja kuangalia na kuripoti ulivo kuwa walisema uko huru na haki. Lakin sasa kwa hali inavoendelea...
  19. Upinzani mkumbuke kwamba ninyi ndio mnaojitoa sadaka kwa ajili ya taifa hili na si CCM. Go on please

    Wasalaam wajumbe! Ninawaomba sana upinzani katika nchi hii utambue kua mabadiliko ya mifumo ya kiutawala iliyojaa uonevu na ukoloni hayatafanywa na CCM. Hiki chama kilichobakisha sasa ni kugawana vyeo na kurithishana. Bila ya upinzani madhubuti CCM hakiwezi kutoka madarakani leo. Bila ya...
  20. GE2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

    Balozi huyo ameandika: Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…