upepo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa wingu Kubwa na huu Upepo Mkali wa sasa Dar es Salaam nahisi muda wowote koki inafunguliwa na tujiandae tena kwa Maafa

    Nasikia huko Kibaha, Chalinze na Morogoro imepiga ya maana na Watu wametafutana. Wa Mabondeni mkae tayari leo oky?
  2. haszu

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa ilioambatana na upepo imenyesha Kibaha

    Nimetubu sala zote asikwambie mtu, upepo ni mkali sana pamoja na radi.
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki mmeniangusha sana ndugu zangu. Ina maana kweli mmekosa watu wa kubadilisha upepo wa papa?

    Poleni sana ndugu zangu wakatoliki kwa taharuki mliyo ipata baada ya kauli tata ya papa. Binafsi wala hata sioni threat ya maneno ya papa kwa ustawi wa kanisa katoliki duniani.. Wala sioni damage yoyote kwa kanisa katoliki. Na hii ni kwa sababu, maneno ya papa yana loop holes nyingi mno na...
  4. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kuna kaupepo fulani sio kazuri kanapita

    Nawasalimu Ndugu zangu. Kuna ka upepo fulani kanapita hapa nchini. Kwa siku napokea simu hadi 10 zinaomba hela. Mimi mwenyewe najaribu kutafuta pesa ila imekuwa ngumu. Kila mtu analia na hata Biashara hazijachangamka kabisa. Kipindi cha sikukuu kama hiki manunuzi yamekuwa ya chini...
  5. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Upepo wa Makonda umekata mapema sana

    Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya alikuwa na haraka sana ya kuzunguka, alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote. Upepo umekata
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kila mwanamke utakayemtongoza ni sekunde tu, huu upepo usiishie hii December

    Ni mrejesho tu kwa sisi wapambanaji huu mwezi sijui wanawake wamepata upako gani kila utakaemtongoza ni mapema sana imo, ni kama kuna upako umewapitia ukiacha kutoa namba unatafutwa na kuulizwa kwa hio nije wapi, utaniita lini au nije lini. Kuna pisi ambazo zilikuwa na nyoto utadhani ni mithili...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Jiajiri mwenyewe kwa kufanya kazi ya ‘kubadilisha upepo’ wa matukio mbalimbali, niamini lazima utoboe!

    Siku hizi hakuna ajira tena. Sorry did i say "Hakuna!" I was supposed to say " HAKUNAGA". Yale mawazo ya nisome nifike chuo nipate G.P.A kali nitaajiriwa kwenye kampuni kubwa au taasisi kubwa au nafasi kubwa serikalini, anasema Robert Kiyosaki kwenye kitabu chake " Rich Dad Poor Dad", yalikuwa...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya teknolojia ya dijitali yabadilisha upepo wa uchaguzi, Privacy International yatoa mapendekezo kwa wachunguzi wa uchaguzi

    Mwaka 2023: Mabadiliko Makubwa katika Mchakato wa Uchaguzi Kupitia Teknolojia ya Dijitali Katika miaka ya hivi karibuni, mchakato wa uchaguzi na shughuli zinazohusiana nao umepitia mabadiliko makubwa, yaliyosukumwa na maendeleo ya teknolojia ya dijitali. Hali hii imeleta mazingira mapya...
  9. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ungana na upepo wa Paul Makonda

    Mhe. Mwenyekiti wa CCM Ndugu Samia Suluhu. Kwanza nikupongeze kwa kumpa nafasi Makonda. Umefanua jambo kubwa pengine zaidi ya kile ulichokilenga. Ndugu Paul Makonda Wengi wanaamini kuwa umerudisha fadhila kwa kijana aliyepanda mbegu ya fikra ya uteuzi wako kama mwanamke wa kwanza kwa nafasi...
  10. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Tulionya tukapuuzwa, tukashauri wapinzani, basi wao wachukue nafasi ya upepo wa JPM, wakatuita kila aina ya majina!

    Kinachokwenda kutokea CCM, ni kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli Mabadiriko yanayofanywa na CCM, ni mpango madhubuti ya kuinasa tena kanda ya ziwa kisiasa na kuendelea kuwa mtaji wao...
  11. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Upepo wa kumcuafua waziri mkuu unapita kwa kasi, lakini baada ya muda hali itatulia na maisha yataendelea.

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Kama ilivyo desturi ya watanzania wenzetu ambao 90% ni ya wale waliokimbia shule, hivyo kujikuta wanaangukia katika mikono ya wanasiasa uchwara ambao sasa hivi wanawatumia vijana hao kwa malengo yao (wanasiasa) na familia. Wanasiasa hao wamekuwa wakiwatumia vijana...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mvua nzito, mafuriko na upepo mkali vyachelewesha Israel kuivamia Gaza

    Wakati Israel ikijiandaa kuivamia Gaza, kulitokea kimbunga kikali sana na mvua kubwa iliyoahirisha mipango ya Israel kuingiza majeshi yake Gaza. Hali hiyo imeweka presha kubwa kwa serikali ya Netanyahu kwanza kudeal na janga hilo la ndani kabla ya kupeleka majeshi Gaza. Wakati huohuo Hizbollah...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mvua iliyoambatana na upepo mkali yaezua ofisi za walimu

    Mvua iliyoambatana na upepo mkali iliyoanza kunyesha majira ya saa tisa alasiri usiku wa kuamkia leo imeezua paa la jengo la utawala la ofisi za walimu na baadhi ya vyumba vya madarasa katika shule ya msingi Ikonda iliyopo wilaya ya Makete mkoani Njombe Mwalimu mkuu wa shule hiyo Enelika...
  14. Faana

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza au kuondoa kero ya upepo mkali wenye vumbi Dodoma?

    Wataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambatana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

    Hii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na...
  16. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Wanasheria na wanaharakati badilisheni hili, halina faida kwa nchi

    Mtu amempa mimba msichana chini ya umri wa miaka 18 anafungwa miaka 30! Huyu ameua mtu anasamehewa kunyongwa kisa, haki za binaadamu. Nirudi kwa aliyempa mimba msichana, msichana akisha zaa mtoto atabaki na mama yake huku baba hata muona huenda kabisa kwani miaka 30 mama na baba yake...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watanzania watakujaza 'Upepo' kuisema Serikali ila ukikamatwa tu wanakuacha peke yako

    Ndiyo maana GENTAMYCINE ninachokiangalia ni mimi kula ugali, maharage na dagaa wangu, kuwa na kipato cha kawaida kikibahatisha kuwepo, amani yangu ya moyo, kula bata kama zikinitembelea na kumuabudu na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hii zawadi yake tukuka ya huu uhai wangu. Kwa nchi za Afrika...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hivi Tume za Uchunguzi zinazoundwa na Mamlaka lengo lake ni kutuliza upepo au kuzima matukio?

    Kwa miaka ya hivi karibuni kuna Ripoti nyingi zimewasilishwa za uchunguzi kuhusu matukio mbalimbali iwe ya vurugu, mauaji au tuhuma mbalimbali lakini changamoto kubwa ni kukosekana mwendelezo wa ripoti hizo ambazo huwa zinaundiwa Tume. Ninavyoona kuna matukio mengi ambayo yamezimwa kisiasa au...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Asili ilivyobadilisha ‘Mji wa Upepo wa Wuerhe’ na kuunda miamba yenye maumbo ya kustaajabisha

    Kadiri unavyotaka kuujua kwa undani zaidi mkoa wa Xinjiang Uygur, China, ndivyo mkoa huu unavyoendelea kukuacha mdomo wazi, na kama ulidhani kwamba unaujua vizuri, basi kuna mambo mengi ya kushangaza ambayo bado hujayaona. Huo ndio mtazamo wangu baada ya safari hii kutembelea kwenye maeneo ya...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam, Lindi, Mtwara, Tanga, Pwani kupigwa na Upepo mkali kwa siku 5

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wakazi wa mikoa ya Dar es Salaam, Lindi, Mtwara, Tanga, Pwani pamoja na wale wa Visiwa vya Pemba na Unguja kuchukua tahadhari na kujikinga na upepo mkali kwa siku tano mfululizo. Ushauri huo wa tahadhari umetolewa na leo Alhamisi ya Julai 13...
Back
Top Bottom