Wale jamaa na uzi wao wa kunywa mikojo yao ya asubuhi ili washinde bet za milioni 200 na watu walikunywa kwa kweli maana sisi waafrika na mambo ya kufikirika,🤣🤣🤣
Uzi wa Ontario na victims wake , kila mtu alitaka atengenezee pesa akiwa amekaa chumbani kwake kilichotokea wanajua🤣🤣
Nyuzi za yule...
A matter above is concerned,
Msimu huu wa NBC premier league umekuwa wa kituko Sana hasa referees wa league yetu ni shida.
Moja ya matukio ya ajabu ni offside na watu kufunga hadi na mikono na wanufaika wakubwa ni Yanga na Simba.
Msimu umeisha Yanga ilijipangia nani awe referee wa mchezo...
Taarifa hii imenifikia asubuhi hii. MwanaJF mwenzetu Pasco Mayalla amechukizwa na ushindani mdogo wa kisiasa uliopo katika majimbo ya Dar es Salaam na ameamua kuelekea Mbeya kugombea ubunge.
Ndugu Mayalla anatajwa kama moja ya wanasiasa nguli na mwenye maamuzi magumu kisiasa kama alivyo na...
Sasa hivi naona kama vile NRNE imepooza vile.
Ni kama vile CCM wame vuka kigingi cha NRNE at least kwa mwaka huu...
Tundu Lissu wafuasi wake wamemtelekeza.
Na Mambo mengine yanaendelea kama kawaida.
Let's wait and see
Ni dhahiri kwamba miaka 60 kurudi nyuma chi kama singapore na malaysia zilifanana umasikini wa kwetu Afrika.
Ila leo ni nchi ambazo zinakimbiza kimataifa.
Sisi tumebakia na tabu ambazo hata babu yako aliekufa akipigana na wakoloni kwa ajili ya ukombozi wa taifa lake atashangaa sana.
KARIBUNI:
Ndugu zangu Watanzania,
Ni raha na kuna raha kubwa sana pale unapoishi mioyoni mwa watu,pale unapoleta furaha na tabasamu machoni na mioyoni mwa watu,pale unapoonekana tumaini la watu,pale unapoonekana jawabu la matatizo ya watu,pale unapoonekana faraja kwa Maisha ya watu,pale unapoonekana...
Msimu huu hasahasa huko Ulaya kumekuwa na wimbi la timu kadhaa kuchukua makombe mbalimbali baada ya kukaa muda mrefu bila kuchukua.
Timu kama Newcastle United, Tottenham Hotspurs, Crystal palace, Bologna Fc 1909 Wamechukua makombe mbalimbali.
Hata kwenye Uefa champions league huenda Paris...
KIMEDANI; VIJANA WASOMI BADILISHENI MBINU ZA KIVITA. UPEPO WA MASHAMBULIZI UMEBADILIKA
Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.
Upo kwenye Vita.
Vita vinahitaji mambo makuu yafuatayo ili ushinde;
1. Nguvu kazi(jeshi)
Jeshi ni wewe Mwenyewe!
2. Elimu, ujuzi, maarifa na mafunzo ya kivita.
Hapa...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa mwelekeo wa hali ya hewa kipindi cha msimu wa kipupwe unaotarajia kuanza mwezi Juni hadi Agosti mwaka huu, ambapo Kutakuwa na upepo wa wastani utakaovuma kutoka Kusini Mashariki kwa maeneo mengi ya Nchi pamoja na vipindi vichache vya...
Naangalia hapa Clouds TV mubashara wanaonesha birthday ya mtoto wa Omari na Paula (Amarah) naona dogo Paten anatumbuiza na kutunzwa minoti ya kwenda.
Kimasihara sana dogo naona ametoboa, atumie sasa upepo huu vizuri kutengeneza future vinginevyo atabaki kua story tu before hajamake chapaa ya...
Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER".
Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake
Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
Mamlaka nchini China Kaskazini zimewashauri wakazi wenye uzito wa chini ya kilo 50 kubaki ndani ya nyumba zao kutokana na upepo mkali unaovuma katika eneo hilo, zikitahadharisha kuwa watu wenye miili midogo wanaweza kubebwa na upepo huo hatari.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters...
Ile kushinda jana kuna mabwege wameshaanza kuandika upuuzi. Yaani hii Simba tia maji tia maji ya kufika Fainali? Nyie mnafanya masikhara sana. Labda umri wenu ndo changamoto.
Mnaanza kulishana upepo mkidhani mtashiba kutokana na njaa kali ya Makombe mliyo nayo kwa miaka hii 4. Na mwaka huu...
wale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi...
Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito.
Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo...
Money talk bandugu . ukiwa nazo huhitaji kubanana na watoto sebuleni.. Wala weekend huhitaji kuikimbia nyumba yako.. Pembeni ya garden yako unaweza kuweka kitu kama hiki❤❤❤
Kwema wakuu kuna jambo linanishangazaga sana.
1.Mama mmoja muuza chapati alikua ananiomba niwe wa kwanza kwenda kununua chapati kwake asubuhi alikua jirani yetu na nikinunua alikua anafurahi sana nikawa nachukulia poa.
2.Mama ntilie na muuza sambusa alikua pia ananiomba niwe nanunua sambusa...
Wananchi zaidi ya 1000 wanaoishi katika kijiji cha Mavimba Kata ya Milola Wilayani Ulanga Mkoani Morogoro wamebaki bila makazi baada ya Mvua iliyoambatana na upepo mkali kubomoa Nyumba zaidi ya 100.
Wakizungumza na Waandishi wa habari waathirika wa tukio hilo wameiomba Serikali kupitia ofisi ya...
Nipo hapa Dodoma mzee mmoja wa Makamo ndani ya chama kateta nami jambo hili.
Mzee anadai Balozi Amina Ally aliteleza wakati wa kuomba kura huku akijua wazi jina la Lowassa limekatwa na kudai atamteua kuwa mgombea mwenza.
Kauli yake hiyo kilimkera mwenye Chama chake kipindi hicho na bahati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.