Jiajiri mwenyewe kwa kufanya kazi ya ‘kubadilisha upepo’ wa matukio mbalimbali, niamini lazima utoboe!

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,119
27,122
Siku hizi hakuna ajira tena. Sorry did i say "Hakuna!" I was supposed to say " HAKUNAGA".

Yale mawazo ya nisome nifike chuo nipate G.P.A kali nitaajiriwa kwenye kampuni kubwa au taasisi kubwa au nafasi kubwa serikalini, anasema Robert Kiyosaki kwenye kitabu chake " Rich Dad Poor Dad", yalikuwa valid kuanzia mwaka 1985 kushuka chini.

Na mimi naongeza, ni wakati sasa wa kutengeneza ajira mpya. Ajira nyingi zilizopo sasa hivi ni ajira zilizo tengenezwa na wakoloni (Ualimu, Ukuu wa Wilaya etc).

Ukiwa kama msomi, unapaswa kutengeneza ajira mpya. Elimu ni ufunguo wa maisha. Kazi kubwa ya ufunguo ni kufungua mahali palipo fungwa ama kujifunga. Nafasi za ajira ni mojawapo kati ya maeneo yaliyo fungwa. Kazi yako kubwa kama msomi ni kulifungua eneo hilo.

Back to the topic;

Mwanasiasa mzuri huwa hatazamwi katika uwezo wake wa kuwashawishi watu kumpigia kura. Mwanasiasa mzuri huwa anatazamwa katika uwezo wake wa kuwashawishi watu kukubaliana na hoja zake baada ya kutotimiza ahadi zake."

Kuwaambia wananchi kwamba; "Nitawajengea shule, nitawajengea zahanati, nitawajengea hospitali, nitawajengea daraja etc na wakakupigia kura kwa sababu hiyo" ni jambo rahisi sana ambalo hata yule kilaza wetu wa bunda vijijini anaweza kuwaambia wananchi wake na wakampigia kura.

Ila unapofika muda wa uchaguzi mwingine huku ahadi hizo zikiwa hazijatimizwa hata moja lakini bado ukafanikiwa kuwashawishi wapiga kura wako na wakakupigia kura tena basi wewe ndio mwanasiasa wa ukweli.

Kubadilisha upepo wa kisiasa na kijamii ni eneo bikra kabisa katika "Kujiajjri" ambalo kijana mwenye uwezo wa kujenga hoja na ushawishi anaweza kulitumia kutengeneza ukwasi mkubwa.

Kubadilisha upepo wa matukio ni nini?

Ni pale ambapo jamii nzima imeaminishwa au ina amini kuwa suala fulani lipo hivi halafu wewe unakuja na hoja kinzani kwa kuiaminisha jamii kinyume chake. Jambo hilo linaweza kuwa la kisiasa au la kijamii au vyote kwa pamoja etc.

MIFANO: Suala la Gekul ambalo ni la kijamii lakini limemhusisha mwanasiasa. Wakati jamii yote inaamini kwamba Gekul amefanya alichokifanya, wewe unaweza kuja na hoja kwamba Gekul hajafanya alichokifanya na kwamba kuna vitu vimekuwa twisted.

Shikilia hoja yako mpaka utengeneze reasobanable doubt kwa watu wanaoamini katika kile ambacho kimesemwa kuhusu Gekul.

Unaweza kufanikiwa ama kwa kuwagawa watu katika makundi mawili, yaani kuwe na kundi la watu watakaoamini story ya kwanza dhidi ya watu watakao amini story ya pili (story yako).

Ukifanikiwa katika jambo hilo chances are you will be monetarily rewarded na mhusika na utatengeneza connection. Nimetolea mfano wa Gekul lakini mifano ipo mingi sana.

Kwenye ngazi ya Mtaa; huku ndio utapiga pesa nyingi sana na utatengeneza network na connection kubwa kwa sababu mambo ya kuchafuliana upepo huko mitaani yanatokea kila leo.

Kazi yako wewe ni kugeuza upepo wa maneno machafu dhidi ya watu wenye hela na power katika mitaa husika ambao wanatuhumiwa kwa mambo mbalimbambali.

Ni rahisi sana kufanya hivyo and it is rewarded. Unachotakiwa kufanya ni kuwajua watu katika mtaa huo ambao wanajua kujielezea vizuri na kuwa manipulate bila kujua kuhusu lengo lako ili uweze kuwatumia vizuri kwenye mission yako.

At the end of the day u will get a lot of money and alot of connections za watu wengine kutoka mitaa mingine. Kazi moja itakupa uzoefu na pia itakupa connection ya watu wengine.

kuna watu watapuuzia huu ushauri ila watakaoufuata watakuja kutoa shuhuda miaka kadhaa ijayo. Kuna kilaza ata comment "Mbona wewe hufanyi?" Jibu langu: Umejuaje kama sifanyi? Nipe uone kama sifanyi.

===

UPDATE: Mtaani huwa kuna kitu kinaitwa "Court of Public Opinion" In effect hii court of public opinion", huwa ina nguvu kuliko court of law. Kwanini? Kwa sababu court of law haiwezi kukuhukumu bila kuthibitisha tuhuma zako kwanza tena beyond reasonable doubt lakini court of public opinion is just a balance of probability, inachohitaji yenyewe ni rumours tu iliyoanzishwa na haters mmoja.

Huyu hater ataisambaza tuhuma hiyo kwa haters wengine and as you know when one group of people who dont like you (haters) meet with another group of people who dont like you (haters) they will unite. They themselves are not friends and probably they hate with each others but they have became united just because of the one thing they share about you (hate).
 
Serikali inataka waajiriwa, sekta binafsi nayo inataka wafanyakazi, sasa tukijiajiri watapata wapi waajiriwa? Itabidi waongeze mishahara na posho za kutosha kutuvutia ili tukawafanyie kazi, vinginevyo tutawakimbia na hatutapenda kujiajiriwa tusije kufa masikini
 
Siku hizi hakuna ajira tena. Sorry did i say " hakuna?!!" I was supposed to say " HAKUNAGA".


Yale mawazo ya nisome nifike chuo nipate G.P.A kali nitaajiriwa kwenye kampuni kubwa au taasisi kubwa au nafasi kubwa serikalini, anasema Robert Kiyosaki kwenye kitabu chake " Rich Dad Poor Dad", yalikuwa valid kuanzia mwaka 1985 kushuka chini..

Na mimi naongeza, ni wakati sasa wa kutengeneza ajira mpya.

Ajira nyingi zilizopo sasa hivi ni ajira zilizo tengenezwa na wakoloni.( Ualimu, ukuu wa wilaya etc..)

Ukiwa kama msomi, unapaswa kutengeneza ajira mpya. Elimu ni ufunguo wa maisha. Kazi kubwa ya ufunguo ni kufungua mahali palipo fungwa ama kujifunga. " Nafasi za ajira" ni mojawapo kati ya maeneo yaliyo fungwa. Kazi yako kubwa kama msomi ni kulifungua eneo hilo....


Back to the topic;

Mwanasiasa mzuri huwa hatazamwi katika uwezo wake wa kuwashawishi watu kumpigia kura. Mwanasiasa mzuri huwa anatazamwa katika uwezo wake wa kuwashawishi watu kukubaliana na hoja zake baada ya kutotimiza ahadi zake."


Kuwaambia wananchi kwamba "Nitawajengea shule, nitawajengea zahanati, nitawajengea hospitali, nitawajengea daraja etc na wakakupigia kura kwa sababu hiyo" ni jambo rahisi sana ambalo hata yule kilaza wetu wa bunda vijijini anaweza kuwaambia wananchi wake na wakampigia kura.

Ila unapofika muda wa uchaguzi mwingine huku ahadi hizo zikiwa hazijatimizwa hata moja lakini bado ukafanikiwa kuwashawishi wapiga kura wako na wakakupigia kura tena basi wewe ndio mwanasiasa wa ukweli..

KUBADILISHA UPEPO WA KISIASA NA KIJAMII ni eneo bikra kabisa katika " kujiajjri" ambalo kijana mwenye uwezo wa kujenga hoja na ushawishi anaweza kulitumia kutengeneza ukwasi mkubwa.

KUBADILISHA UPEPO WA MATUKIO NI NINI?

Ni pale ambapo jamii nzima imeaminishwa au ina amini kuwa suala fulani lipo hivi halafu wewe unakuja na hoja kinzani kwa kuiaminisha jamii kinyume chake.

Jambo hilo linaweza kuwa la kisiasa au la kijamii au vyote kwa pamoja etc.


MIFANO: Suala la Gekul ambalo ni la kijamii lakini limemhusisha mwanasiasa. Wakati jamii yote ina amini kwamba Gekul amefanya alicho kifanya, wewe unaweza kuja na hoja kwamba Gekul hajafanya alicho kifanya na kwamba kuna vitu vimekuwa twisted.. shikilia hoja yako mpaka utengeneze reasobanable doubt kwa watu wanao amini katika kile ambacho kimesemwa kuhusu Gekul.

Unaweza kufanikiwa eidha kwa kuwagawa watu katika makundi mawili yani kuwe na kundi la watu watakao amini story ya kwanza vs watu watakao amini story ya pili.( story yako)

Ukifanikiwa katika jambo hilo chances are you will be monetarily rewarded na mhusika na utatengeneza connection.


Nimetolea mfano wa Gekul lakini mifano ipo mingi sana.


KWENYE LEVEL YA MTAA:

Huku ndio utapiga pesa nyingi sana na utatengeneza network na connection kubwa kwa sababu mambo ya kuchafuliana upepo huko mitaani yanatokea kila leo.


Kazi yako wewe ni kugeuza upepo wa maneno machafu dhidi ya watu wenye hela na power katika mitaa husika ambao wana tuhumiwa kwa mambo mbalimbambali...

Ni rahisi sana kufanya hivyo and it is rewarded. Unachotakiwa kufanya ni kuwajua watu katika mtaa huo ambao wana jua kujielezea vizuri na kuwa manipulate bila kujua kuhusu lengo lako ili uweze kuwatumja vizuri kwenye mission yako.. At the end of the day u will get a lot of money and alot of connections za watu wengine kutoka mitaa mingine...

Kazi moja itakupa uzoefu na pia itakupa connection ya watu wengine.

kuna watu watapuuzia huu ushauri ila watakao ufuata watakuja kutoa shuhuda miaka kadhaa ijayo.


Kuna kilaza ata comment " Mbona wewe hufanyi?"

Jibu langu: Umejuaje kama sifanyi? Nipe uone kama.sifanyi.


UPDATE: Mtaani huwaga kuna kitu kinaitwa " Court of Public Opinion" In effect hii court of public opinion huwaga ina nguvu kuliko court of law. Kwanini? Kwa sababu court of law haiwezi kukuhukumu bila kuthibitisha tuhuma zako kwanza tena beyond reasonable doubt lakini court of public opinion is jus a balance of probability inachohitaji yenyewe nu rumours to iliyo anzishwa na haters mmoja. Huyu hater ataisambaza tuhuma hiyo kwa haters wengine and as you know when one group of people who dont like you ( haters) meet with another group of people who dont like you ( haters) they will unite. They themselves are not friends and probably they hate with each others but they have became united just because of the one thing that they share about you ( hate)
Hizo ni kazi na akili za uchawa.
Kwa hiyo Uchawa ni ajira rasmi?
 
Unafikiri watu kama;
1. Mshana Jr

.au

2. Robert Heriel Mtibeli

Kwa uwezo wao wa ushawishi wanashindwa kufanya hiyo kazi?
Wewe unaita uchawa lakini mimi naita utetezi. Unakuwa kama media vile au kampuni ya uwakili ambayo kazi yake ni kuwatetea watu wanao chafuliwa majina yao.


Machawa huwa wapo more active wakati wa raha na sio wakati wa shida.



Hizo ni kazi na akili za uchawa.
Kwa hiyo Uchawa ni ajira rasmi?
 
You are Unique conscious bro, na hapa watakuelewa wachache san, but its very reflective , in logical wazo lako lipo kwa upana sana, na si rahisi inahitaji power and movement ya ki harakatI
 
Back
Top Bottom