Tahadhari ya vipindi vya upepo mkali na mawimbi makubwa Dar, Ukanda wa Pwani

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,626
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa taarifa hiyo leo Jumapili Juni 25, 2023 kuwa kutakuwa na vipindi vya upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa katika Pwani ya Bahari hindi na kutoa angalizo kwa watu kuchukua tahadhari.

“Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzanzania inatoa angalizo la vipindi vya upepo mkali unaofikia km 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 katika ukanda wote wa Pwani ya Bahari ya hindi katika baadhi ya maeneo baadhi ya maeneo ya Lindi, Mtwara, Dar, Tanga, Pwani, visiwa vya Unguja, Pemba pamoja na Mafia. Hivyo wakazi waishio katika maeneo hayo pamoja na watumiaji wa bahari wanatakiwa kuchukua tahari dhidi ya upepo huu mkali."
 
Sasa wachukue hatua gani? wasisafiri au wasiende makazini au walale tu majumbani mwao, au wasiende kuvua!
 
Back
Top Bottom