uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mauaji ya George Sanga na wenzake yafutwa, waachiwa huru na kukamatwa tena

    Leo tarehe 12 Februari 2024 Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewasilisha Mahakamani nia ya kutoendelea na kesi ya mauaji inayowakabili George Sanga, Optatus Nkwera na Goodlucky Mfuse. Baada ya kufutwa kwa kesi hiyo Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewakamata tena na kuwafungulia mashtaka yale yale...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuambiwa uongo gani kuhusu kadi yako ya chama cha siasa ukaja kujua sio kweli?

    Wakuu kwema? Kama mada inavyosema hapo juu, umewahi kuambiwa uongo gani kuhusu kadi yako ya chama cha saisa ukaja kujua sio kweli? Kuna watu wapigwa fix nyingi kuhusu kadi hizi kwa malengo mbalimbali iwe kuongeza wanachama, ushawishi na kadhalika. Uliambiwa kadi yako ya chama ina uwezo wa...
  3. JamiiForums Tanzania Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC. Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuwakumbushe: Mch. Gwajima ulitoa ahadi. Je, greda jembe kati lipo wapi?

    Video inajieleza. Watu wa Kawe wanauliza greda uliloahidi kununua mara tu baada ya kichaguliwa lipo wapi? Je baba Mchungaji, utakuja na uongo upi tena mwaka 2025? Tuanze kukumbushana ahafi za uongo zilizotolewa kuhadaa wapigakura 2019/2020
  5. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

    Niaje waungwana? Wazungu baada ya kuona wamefanikiwa kutawala sehemu kubwa ya dunia haswa haswa katika bara zima la Afrika, wakaona kuwa hata uongo wao pia watakaoleta kwa watawaliwa utaweza kuishi milele, bila kujua kwamba zama zinabadilika na akili za watawaliwa nazo pia zinabadilika. 1...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu hawezi kufa akafufuka, Stori za Watu waliokufa kuonekana ni uongo, na zinafanana kwa asilimia kubwa

    Kwema Wakuu! Kuna habari zinazoendelea hapa nchini hasa kanda ya ziwa na huko kanda ya magharibi ya nchi yetu kuhusu Watu waliokufa kuonekana tena , kurudi na juzi kuna mmoja amepiga simu ati kuwatakia ndugu zake mwaka mpya mwema. Ni jamii ya kijinga inayoamini kuwa mtu akifa tena akazikwa...
  7. JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Amri hii ya Jaffo kuhusu kusitisha matumizi ya mkaa itaanza lini?

    Jafo alitoa tamko kuwa kuanzia January 2024 mwisho kutumia kuni, mkaa. Kama kuna anayefahamu tarehe ya utekelezaji wa jambo hili atueleze ili tujipange tusije kuingia matatizoni.
  8. JamiiForums Tanzania Dini zinafundisha uongo kumhusu Mungu

    Mods, nilishawahi kuweka hapa threads mbili zinazohusiana na mambo ya dini ila sijui huwa mnazifuta au mnazihamishia kwingine maana baada ya muda kidogo nikipost huwa sizioni. Ikiwa mada hizi hazitakiwi humu niambieni sio mnaziondoa bila taarifa. Kwenye mada sasa, Dini zetu hizi kubwa mbili...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli Ambao Kila Mwanaume Anapaswa Kuujua • Men's Rights Activist - MRA.

    Habari wana JF, poleni na majukum ya na pale 🤝. Nina mkusanyo wa Nukuu zinazoweza kunukuliwa, maarifa ya kurejesha upya kabisa kuhusu Men's Rights Activist (MRA), ambayo yanaweza kumsaidia mtu yeyote kwa namna fulani. • Maadamu ninaishi, na JamiiForums pia inaishi, uzi unaendelea! Kwa hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Wanooeneza Picha na Habari za uongo kuhusu Kijana Joshua aliyeuawa na Hamas wanafaidika Nini?

    Nimeshangaaa kuona baadhi ya watu wanashea habari na picha za uongo kuwa kijana molel alijiunga na jeshi la isael, watu Hawa wasio na akili wamekuwa wakituma picha zilizoeditiwa kiasi Cha Mimi kuzifanyia uchunguzi nikabaini Ni upotoshaji, lakini nikajiuliza wanapata faida gani kufanya hivyo? Au...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Wanawake Wanapaswa Kufungwa Jela kwa Mashitaka ya Uongo ya Ubakaji?

    Habari🖐 Nahic kila mtu ameshawahi kuona au kusikia kesi za ubakaji, sometimes ni kweli ilitokea na sometimes haikutokea. Hapa nazungumzia kesi ambazo mwanaume amekuwa Falsely accused and it was proven, binafsi sijui kwann wanawake huwa wanafanya hivo ila nahic wanakomoa tuu, either anakuchia...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu relax, waamnie Wakurugenzi barua za ufafanuzi zinatosha. Fanya kazi matokeo yatakutenga na uongo

    Mhe. Ummy naona kama umepanic sana, au wasaidizi wako wamepanic sana. Waambie barua zinatosha . Issue ya ubovu wa miundombinu ya vituo vya Afya kwa ulimwengu na hali ya uchumi wa Tanzania haina pingamizi . Cha msingi kazi imefanyika kwa kiwango chake. Kwa mantiki hiyo nikuombe msiendele...
  13. JamiiForums Tanzania Kusema mtoto kulelewa na Bibi na Babu ataharibika ni Uongo kwa sababu tupo wengi ambao hatujaharibika

    KUSEMA MTOTO KULELEWA NA BIBI NA BABU ATAHARIBIKA NI UONGO KWA SABABU TUPO WENGI AMBAO HATUJAHARIBIKA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Katika vitu najivunia na kumshukuru Mungu katika maisha yangu ni kulelewa na Bibi na Babu. Kwa kweli Mungu kwa hili namshukuru sana. Ulikuwa mpango mzuri...
  14. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuelezea uongo kutoka kwa waganga

    Nitasema ukweli daima,Salamu kwangu Mwiko! Sijajua kama wapo waganga wa Kweli kama tunavyoaminishwa ama laa! Miaka fulani wakati najitafuta kama kijana,hali ya maisha ilikuwa ngumu sana,katika kujichanganya na wana mitaani nikakutana na mwana mmoja huko mkoani akaniaminisha ya kwamba kuna...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hata kama Yanga atatoka makundi bado atakuwa kafikia lengo. Hakuahidi uongo kwa mashabiki zake

    Yanga alijiwejea lengo la kufika hatua ya Makundi CAF CL, na keshatimiza lengo hilo, ikitokea ziada hiyo ni bonus. Sema mashabiki wanakuwa na expectations kubwa sana sababu wanaiona timu yao iko vizuri mno, lakini Yanga inaelewa ugumu wa mashindano ya kimataifa na huwa haiwapi mashabiki wake...
  16. JamiiForums Tanzania Kitendo cha MOSAD kushindwa kutambua mahali walipo mateka kinaifanya dunia ione uongo wa Mazayuni

    Kwema Wakuu! Haijalishi Israel itashinda kwa kishindo gani. Haijalishi itaua na kuangamiza Hamas na hasa. Lakini kitendo cha MOSAD Kushindwa kutambua mahali walipo Mateka kwa zaidi ya siku 40 imedhihirisha kuwa Ubora wa MOSAD umejengwa kwenye propaganda. Nawatakia usiku Mwema
  17. JamiiForums Tanzania Dunia inafahamu uongo wa IDF. Waliwachoma moto Wapalestina 200 wakasema ni Waisrael, leo wamekiri kuwa ni Wapelestina!

    Wanaukumbi, Israel na propaganda zao Dunia inafahamu uongo wao waliwachoma moto Wapalestina 200 wakasema ni Waisrael wamechomwa na Hamas leo wamekiri kuwa ni Wapelestina. Swali basi ni, nani aliyewachoma? Interesting! Israel now admits some 200 of the bodies they said were Israelis turned out...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

    Kabla sijaenda mbali, kwanza nikiri mimi ni Mkristo, ila Ukristo wangu sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo. Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo, hutaeleweka na utachakuliwa kuwa ni mwenye dhambi na unastahiili kuombewa. Hata hivyo, cha kushangaza...
  19. JamiiForums Tanzania Prisca Kishamba na media yake ya udaku wanatumika vibaya kusambaza propaganda

    Baada ya kichapo cha goli tano alichochapwa Simba SC na mtani wake yaliibuka maneno/tetesi nyingi kuhusu wachezaji wa Simba SC kusimamishwa baada ya kusemekana wamekula mlungula (Rushwa). Hizi tetesi zilisambazwa na media ya Kishamba tv. Cha ajabu kikosi kimetoka wachezaji waliokuwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uongo juu ya historia ya vita vya Majimaji?

    Kuna haja ya kurudi pale kwenye kaburi la Shujaa Nduna Songea Mbano na kumuomba wapi alipo ficha siri ya vijana wake kukaa miaka miwili wakiwa wanapigana kwa kutumia silaha za jadi wakipambana na wajeruman waliokua wanatumia silaha za moto. Au kuna uongo wa mtu mmoja akaona amzalilishe mzee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…