uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 2004boy

    JamiiForums Tanzania Uongo uliniponza

    Habarini wakubwa natumai mu wazima. Kwenye maisha yangu huwa najitahidi sana nisionekane muongo ila hapa ilinibidi nidanganye ili nipate ninachokihitaji. Nikiwa na miaka 18 nilimpenda binti mmoja nilianza kumfuatilia taratibu nikagundua anapoishi ilikuwa ngumu Sana kutoka nje na...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Azam acheni kuwapa wachezaji majina ya uongo

    Yaani Shabaan Juma akiwa Yanga walimwita "Waziri wa maji" alipohama tu wakaacha kumwita. Leo hii lile jina la "Triple C Mwamba wa Lusaka" washaacha kumwita tena Cloutus Chama. Imekuwa kama ni kawaida watangazaji wa Azam kuwapachika majina ya utani "Nick names" wachezaji hasa wa Simba au Yanga...
  3. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo treni yenye spidi ya kasi sawa na ndege, nilidhani uongo kumbe kweli

    China imekamilisha jaribio la usafiri wa treni aina ya maglev yenye kasi ya juu (UHS), kuashiria hatua nyingine muhimu kwa aina hiyo ya usafiri inayoweza kusafiri kwa kasi ya hadi maili 621 kwa saa sawa na kilometer 1,000 kwa saa. Jaribio hilo lilifanyika katika mkoa wa Shanxi unaopatikana...
  4. MrfursaTZA

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitabu vya dini havijataja sayari zingine zaidi ya Dunia?

    Dini zimekuwa sehemu muhimu ya maisha ya binadamu kwa maelfu ya miaka, zikitoa mwongozo wa kimaadili na kiroho. Hata hivyo, kuna hoja mbalimbali zinazotumiwa kuonyesha kwamba dini ni utapeli. Moja ya hoja hizi ni kwanini vitabu vya dini havijataja sayari nyingine zaidi ya Dunia. Vitabu vya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tiketi za Simba day ziliuzwa kwa mafungu na ulanguzi ili ziishe mapema

    Kwa mujibu wa Haji Manara Simba waliwatuma watu wanunue tiketi kwa mafungu ili waje wazilangulishe siku ya mechi ili watabgaze Sold out, asena sold out ya Simba ni ya mchono. Nachojiuliza taarifa hiyo ni kweli? Kama kweli Simba watakuwa wanadanganya ili iweje?
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kweli bongo kuna viwanda vya uongo!

    Kuna hii mechi ya preseason ya Simba Sc huko Misri. Huko Youtube kuna Channels za hapa Bongo zinatangaza mechi live. Wale jamaa wanatangaza mechi as if kweli wao wanaitazama. Kitu ambacho sio kweli. Ukiwasikiliza wachezaji wanaowataja ni wa Simba Sc tu dakika zote, kama vile Simba inacheza...
  7. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Uongo wa wazee wa zamani wa Tanzania kuhusu mpira

    Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia magarasa ya zamani eti zamani kulikuwa na mpira sio Sasa. Hiyo zamani yenyewe waulize hata kombe la...
  8. Masinki

    JamiiForums Tanzania Sema uongo wako tucheke

    Uongo wangu kwa siku ya Leo 1. Mimi ndio nimemtuma Mzee wa Magoma wa Yanga aende mahakamani ili tumuondoe Eng Hersi, alafu baadaye nichukue timu. 2. Vijana wa Gen Z Kenya nawalipa ili kisieleweke 3.Nitagombea Urais wa Tanzania 2025 4. Kuanzia leo siogi hadi Kmc awe bingwa NBC. Sema na wewe
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ibrahim alihesabiwaje kuwa Baba wa Imani ili hali alisema uongo kwa Farao?

    Bwana ni mwema! Mimi sio msomaji wa Quran tukufu hivo nitajikita sna kwenye biblia ambayo najua ABC za code zake. Mwanzo 12:12-19 (KJV) basi itakuwa, Wamisri watakapokuona watasema, Huyu ni mkewe; kisha wataniua mimi na wewe watakuacha hai. Tafadhali useme, wewe u ndugu yangu, iwe heri...
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ushirikinai wa mwenge ni uongo?

    Mengi yameshasrmwa juu yake, kuwa ni uchawi wa Serikali wenye lengo la kuwafanya Watanzania watawalike! Dini za Ukristo na Uislamu zinapinga uchawi. Hutarajii viongozi wake kujishikamanisha na shughuli za mbio za mwenge. Kuna clip moja mtandaoni inayoonesha ufunguzibwa mbio za mwenge mkoani...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Rais Samia waanza kutumia silaha ya Uzushi na uongo kumshambulia baada ya njia zao kushindwa.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni kiongozi aliyejaliwa macho ya Rohoni yenye uwezo wa kuona asipoweza kuona Mwenye macho ya kawaida. Ni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la hatari sana kutoa ushuhuda wa uongo!

    Hali hii naona ifike mahali itazamwe kwa jicho la tatu. Ukiwatazama hawa wanaojiita Mitume hasa kwa hapa DSM, kwa kweli kuna utata mno kwao, na kwenye baadhi ya shuhuda za wafuasi wao. Kwa akili ya kawaida tu ni wazi kuna watu wafuasi wanatoa shuhuda za uongo na sijajua ni kwa maslahi ya nani...
  13. greater than

    JamiiForums Tanzania Ushawahi tumia uongo gani ilimradi umpate msichana/mwanamke au mwanaume kimahusiano?

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012, Nilikuwa nikifanya field katika Kampuni flani ya Ujenzi,, Nikajenga urafiki na mtoto wa moja ya Wakurugenzi wa Kampuni (G), alikuwa akisoma Marekani.alikuja Dar kama likizo. Tukaenda kula bata Billcanas. Demu wa G akaja na rafiki yake, vitoto vya ushuani. Mwamba...
  14. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Baharia mwenzenu yememkuta msijesema ni uongo

    Siongezi neno shuka utizame
  15. M

    JamiiForums Tanzania Utachukuliaje ukikuta msichana aliyejinadi kuwa ni bikra kuwa sio bikra ilikuwa uongo?

    Wakuu hii imenitokea mimi. Kuna manzi niliona ni wife material ikabidi nimtokee. Hakunizungusha sana kunikubali ila changamoto ikaja kwenye kumtafuna. Kwa muda mrefu binti alikuwa anakataa katakata kufanya mapenzi kiasi kwamba tukawa tunaishia mabusu na mambo mengine madogo madogo. Alikuwa...
  16. Maleven

    JamiiForums Tanzania Hivi wadada kumbe wanaanini uongo tunaowaambia?

    Kuna mmoja hapa na macho ya kawaida tu, bas nikamwambia unamacho mazuri sana natamani niwe nakuangalia mara zote, eeh basi anajua ni kweli amekaa anayazunguusha zunguusha kumbe hakuna maajabu yoyote. How possible?
  17. contask

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uongo juu ya JKT

    Habari wana Jf nisiwachoshe tuende moja kwa moja kwenye uzi. katika mitaa yetu tunayoishi kumekua na tetesi nyingi zinazosambaa zikihusisha na kuelezea maisha ya jeshini(JKT) na kuonekana ni tishio kwa vijana ambao wanatarajia kwenda jeshini. Utafiti ambao nimefanikiwa kuufanya katika kipindi...
  18. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Hapa nawaachia wanaoijua vizuri dini mtoe maoni yenu. Rasta Yuko sahihi ?

    Tunaosoma kundalini tunaweza kumuelewa kuwa trik za dunia zipo nyingi kuhusu dini.
  19. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar

    Hii nimeipata sehemu, jioneeni wenyewe. Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar (Na Waarabu hili Walikataa katakata). Leo Wazungu wenyewe Wanakiri kuwa wao ndio walioanzisha Biashara ya utumwa hiyo haramu ya utumwa Nchini Zanzibar, na...
  20. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Manabii wa uongo waanza kuumbuka!

    Tukisema, ukristo umevamiwa na manabii na mitume wa uongo, watu tuwe tunaelewa. Hawa wameletwa makusudi na shetani, wamepewa nguvu za miujiza na shetani, na kujivika vazi la “ulokole” wakati wao sio walokole, ili kuchafua image yote ya ulokole/wokovu watu waamini miujiza na motivational speeches...
Back
Top Bottom