Uña is a municipality located in the province of Cuenca, Castile-La Mancha, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 138 inhabitants.
Je, una tabia ya kujiongelesha mwenyewe?
Mfano kujipa maoni binafsi au kujiambia: Hiki ninachofanya si sahihi sitaki tena Kuna wakati kujisemesha mwenyewe ni muhimu sana ukweli ni kwamba hakuna anayekujua zaidi ya unavyojijua wewe mwenyewe.
Kuna tabia zipo ndani yetu ambazo si rahisi mtu wa...
Watu wenye nyota ya ng'e ni watu wote waliozaliwa kati ya tarehe 23 oktoba mpaka tarehe 21 Novemba
Kama unataka kufanikiwa kwenye jambo lako hasa linalohusu uchumi na kuvutia pesa kwako jizoeshe kujitamkia maneno yafuatayo mara kwa mara, sema :
1. Ninapokea na ninaikubali hela yoyote au zawadi...
Huu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k
Ni umri ambao hauna tija tena katika uzalishaji; ndio maana wengi wakifikia huo umri hulazimishwa kustaafu. Swali, ni wangapi wako tayari kustaafu wakifikia huo umri...
Nyumbani papo ila siwez kukanyaga… Kila nifanyacho home wanaona sijafanya kitu, napambana kadri ya uwezo wangu ila maneno ni mengi sana kule. Mimi kama kunguni yan Nikitatua migogoro ndiyo inaongezeka
Nimeamua kujitenga niwe alone. Na hivi am zodiac Cancer bas naenjoy sana kua alone. Kama sina...
Laana ni nini?
Kwa mujibu wa Biblia laana ina maana kadhaa wa kadhaa ikiwa ni pamoja na;
1. Kuwa na maisha yasiyo zaa
2.Kutambaa (kuwa na hatua hafifu kwenye maisha)
3.Kufa, hapa namaanisha kifo cha mwili au kuishi maisha kama mfu. Au kuishi mahali ambapo kila kitu kimekufa.
4.Kuzaa watoto...
Mimi nipo hapa napunguza stress za dunia
Kulia ina ruhusiwa ila usikate tamaa maisha hayajawai kuwa mepesi ata kwa matajiri kaza moyo
All in all sita wafundisha vyote sawa 😄
Happy Easter Day in advance
Huyu panya ungemuua au ungemuhurumia kwaajili ya watoto wake ?
Mimi binafsi ninamuacha ila tutakuja kupambana hapo baadae watoto wakishakua wakubwa, na watoto wakiwa wakubwa na kuanza usumbufu hapo ndipo nitaanza kudeal nao kwasababu sasa hivi hawajui chochote bado
sababu nyingine ya...
Uchambuzi wangu ni huu.. Je kuna nilichosahau?
Maisha ya uswazi" ni msemo unaoelezea mtindo wa maisha katika makazi ya watu wa kipato cha chini au maeneo yasiyopangwa vizuri (slums/informal settlements) nchini Tanzania, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam.
Maisha haya yana sifa ya...
•Mimi Kuna siku tumbo liliunguruma akasema nifundishe na Mimi
•Siku nyingine akaniambia eti nikimuacha atakunywa maji ya mvua afe
•Juzi hapa akaniambia anatoka mara moja kumbe kaenda dubai
Akili nyingi ni kufanya kitu ambacho wengine wote wameshindwa kufanya, ila wewe ukaweza kufanya na kikaonekana. Iwe ni kwenye teknolojia, biashara, maamuzi magumu n.k Je, wewe una akili nyingi?
Kuna bodaboda leo nmemtuma akaniletee futari yangu pendwa "kitimoto" ili niiandae mapema kabla ya mda wa kufuturu, sasa namuagiza anasema eti yeye hawezi kubeba nyama ya Nguruwe kwani amefunga nadini yake hairuhusu.
Sikilizeni nyie, hao mnaowaiga wana pesa na visima vya mafuta, wewe upo huku...
Moja kwa moja kwenye mada.
Je una chumba, nyumba au apartment inayofaa kwa Airbnb?
Natafuta watu wenye apartment, room au house nzuri ambayo inaweza kufaa kuwa listed kwa Airbnb. Kama una chumba au nyumba ambayo mara nyingi haitumiki au ungependa ipate wageni wa muda mfupi, tunaweza kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.