una

Uña is a municipality located in the province of Cuenca, Castile-La Mancha, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 138 inhabitants.

View More On Wikipedia.org
  1. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu jana bado kidogo abomoe na kuivunja TV tukiwa tunaangalia mpira hisia zetu tuziweke pembeni mpira una matokeo matatu

    Kuna kufungwa, kufanga na kutoka sare. Sasa km timu unayoishabikia imefungwa usichukue hisia zako ukawa na hasira kiasi cha kutaka kuvunja mpaka TV. Ilikua hivi mpira umeanza alipofungwa SA dakika za mwanzo kabisa nikaona mtu anaanza kuuma ulimi nikasema emu tusubiri tuone gemu imeendelea mpaka...
  2. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Una kumbu kumbu zipi juu ya hii kitu namna ilivyopelekesha mtaa wakati fulani hivi😁

  3. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Kama ukikaa halafu unajikuta unafanya hivi mikono basi tambua una spirit ya utajiri wa mali ndani yako

  4. K

    JamiiForums Tanzania Ukijaza Undugu/Uzanzibari/Utanganyika kwenye Uongozi ndiyo yamkuta Mama Samia! 2026 eti una pongeza Urusi kwa ukombozi wa Africa!!!

    Tatizo la kujaza watu kwenye uongozi waliojaa uchawa na uzanzibari. Sasa Mama badala ya kusafiri nje kutafuta uwekezaji na technologia ili kukuza ajira na maendeleo anaenda Urusi eti kuwashukuru wa ukombozi wa Africa. Ukombozi gani wakati yeye mwenyewe hajachaguliwa, wabunge wanachaguliwa mezani...
  5. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ndugu lucas mwashambwa una maoni gani juu ya kauli ya "YUDA"

    Lucas Mwashambwa karibu.
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bado una namba ya EX wako?

    Mara nyingi watu wakiachana wanakuwa hawapendi kuwasiliana tena na kila mtu anajaribu kuendelea na maisha yake, kujijenga upya na kuacha yaliyopita yabaki kuwa sehemu ya historia yao na wengine huenda mbali hadi kufuta namba za wapenzi ili kujipoza na maumivu haraka. Sasa tukija upande wako...
  7. Red black

    JamiiForums Tanzania Kama una 40yrs+ na unaishi nyumba ya kupanga na uko na family, jitazame upya

    Kama una miaka 40+ na bado unaishi nyumba ya kupanga ukiwa na familia, jiulize upya kuhusu mwelekeo wa maisha yako. Je, uko kwenye njia sahihi ya kujenga mustakabali wa familia yako, au umekwama katika hali ya kurudia kila mwaka bila maendeleo ya kweli?
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kuna namna unaweza vaa watu wakakudharau, wakakuona una ushamba au utoto mwingi.

    Kuna fashion... Acha zipite. Kuna mitindo au mambo yaache yapite. Ukiwa na umri wa kuanzia 30s na kuendelea unatakiwa ukue kiakili pia na kimtizamo. Uvaaji flani unaweza kufanya watu wakuone haupo serious. Una ushamba mwingi au ulimbukeni. Mtu mzima kabisa unaweza vaa hivi? Ni utoto na ushamba.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Stori zingine bwana, eti mwanamke hatakiwi ajue kama una hela benki, au umewekeza pahali fulani sababu anaweza kukuua au kuomba taraka mgawane mali

    1. Nimezikuta hizi stori mahali fulani, yaani mwanamke hatakiwi kujua chochote kuhusu mali zako 2 .Ukizeeka atakuacha hapo nyumbani aende kuishi Kwa watoto wake 3. Ukifikisha miaka hamsini usijihangaishe kujenga kama ulishajenga Nyumba Moja yatosha. Hifadhi fedha yako benki harafu uwe...
  10. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Una muda gani mpaka sasa?

    Una mda gani kikojolea chako hakijakutana na kikojoleo chenzie Siku moja? Wiki moja? mwezi mmoja? Mwaka mmoja ? Siku ukipewa unapewa yote au unapewa nusu nusu [unapunjwa🤪] au hakijawahi kutumika kabisa? Kazi yake ni kupitisha haja ndogo tu? Hata mambo yaende kombo vipi tusiache kulombana🍑🍆😋
  11. Foffana

    JamiiForums Tanzania Uzi: Je, una uhakika una 'Vidonda vya Tumbo'? Prof. Janabi atoa ufafanuzi muhimu!

    Mara nyingi mtaani, watu wengi wamekuwa wakijigundua wenyewe au kuambiwa na watu wasio wataalamu kuwa wana 'vidonda vya tumbo' pindi wanapohisi maumivu au kuunguliwa na asidi tumboni. Lakini, je, hii ni sahihi kitabibu? 🤔 Prof. Mohamed Janabi, Mkurugenzi wa JKCI, anasisitiza jambo moja muhimu...
  12. The introvert

    JamiiForums Tanzania Tufurahi kidogo:Je una historia gani na kuberi?

    Leo tufurahi kidogo ndugu zanguni wa JF ,em tupia kisa chako ulichowahi kukumbana nacho au kushuhudia hata kwa rafiki yako kutokana na matumizi ya kuberi 😂.
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira , je una una maoni Gani kuhusu hili swala?

    Maoni yako , tafadhari. Je ni sahihi kumkimbia mwanamke ambaye ushamlipia mahari na ukamuachia na ujauzito au kwa jina maarufu Mimba .?.. Natafuta Ajira
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Video Editors na Content Creators: Una edit video zako kwa kutumia software gani?

    Wanaopenda kuedit video, for fun au kwa biashara. Unatumia software gani? Free, paid au cracked? Natumia Windows Laptop sio Mac. 16 GB RAM inatosha au nipande juu? Kwa sasa najifunza color grading, Natumia CapCut na LUT za watu najaribu kufanya mwenye mdogo mdogo, inafaa kwa kufanya manual...
  15. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Mtandao Gani una Coverage nzuri Countrywide

    Wakuu natarajia kuwa na Safari almost TZ yote mikoani na wilayani! sasa based on experience je ni mtandao upo ipi miwili ambayo itani offer best coverage during my trip to Tanzania and probably pia naweza kufika na Nchi jirani za Africa mashariki wakuu
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ndugu upande wa baba.. Una lipi la kuwaambia?

    Ni kweli hawaeleweki? Ni kweli wao wanadhani wana haki zote? Ni kweli wao wanajiona daraja la kwanza? Ni kweli hawaambiliki?
  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania KWELI Mwili wa binadamu una dhahabu ndani yake, ila kwa kiwango kidogo sana

    kumekuwepo na chapisho ambalo linasamambazwa na moja ya ukurasa wa facebook likidai kuwa Inawezekana unatafuta dhahabu machimboni au madukani, lakini ukweli ni kwamba tayari unatembea ukiwa na dhahabu mwilini mwako! Katika chapisho hilo wamedai kuwa Wanasayansi wamethibitisha kuwa ndani ya...
  18. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Je, una tabia ya kuongea na wewe mwenyewe?

    Je, una tabia ya kujiongelesha mwenyewe? Mfano kujipa maoni binafsi au kujiambia: Hiki ninachofanya si sahihi sitaki tena Kuna wakati kujisemesha mwenyewe ni muhimu sana ukweli ni kwamba hakuna anayekujua zaidi ya unavyojijua wewe mwenyewe. Kuna tabia zipo ndani yetu ambazo si rahisi mtu wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Heri uishi na mke mchafu au mwenye kiburi?

    Na wengi wao huwezi kuwajua kabla ya ndoa, Drama inaanza baada ya ndoa
Back
Top Bottom