una

Uña is a municipality located in the province of Cuenca, Castile-La Mancha, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 138 inhabitants.

View More On Wikipedia.org
  1. TANAPA

    JamiiForums Tanzania Unadhani una mbio sana? Tazama Facts kuhusu wanyama wa porini!

    Unadhani una mbio sana? Kuna wanyama ukikutana nao hifadhini, mwonekano wao unaweza kukudanganya kabisa, wanaonekana wazito, watulivu na wa mwendo wa pole… lakini ukijua uwezo wao wa kukimbia, unaweza kuanza kuheshimu umbali salama zaidi na kukumbuka kwamba si salama kutoka nje ya gari bila...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Akili ni kama mimba tu, eidha una akili au hauna. Hamna mwenye akili nyingi, wala mwenye akili kidogo

    AKILI: NI NYINGI, NDOGO, AU IPO TU? Bujibuji Simba Nyamaume Watu wengi husema, "Yule ana akili nyingi, yule ana akili ndogo." Lakini je, ni kweli akili hupimika kwa wingi? Mjadala huu una pande mbili. Upande wa Kwanza: Akili ni moja. Unayo au hauna. Wanaosema hivi wana hoja nzito. Kila mtu...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Akili ni kama mimba tu, aidha unayo au huna. Hakuna mwenye akili nyingi, wala mwenye akili kidogo

    AKILI: NI NYINGI, NDOGO, AU IPO TU? Bujibuji Simba Nyamaume Watu wengi husema, "Yule ana akili nyingi, yule ana akili ndogo." Lakini je, ni kweli akili hupimika kwa wingi? Mjadala huu una pande mbili. Upande wa Kwanza: Akili ni moja. Unayo au hauna. Wanaosema hivi wana hoja nzito. Kila mtu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa matokeo ya Wanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) una shida na hakuna anayetatua

    Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kituambie Wanafunzi tunaosoma hapo, kuna nini katika mfumo wao wa matokeo? Kuna changamoto nyingi ambazo hazina majibu na zile zinazopewa majibu yanakuwa mepesi, mfano Wanafunzi kutokuwa na matokeo wakati ratiba ya supplementary imetangazwa, sasa jiulize unatoaje...
  5. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Akamatwa na ubuyu inasemekana una bangi

    Salma ally kimaro, akamatwa Dubai airport baada ya kisemekana ubuyu alio beba una bangi, na si ubuyu WA kawaida, Binti huyo alidai ubuyu huo alipewa na agent aliempeleka Dubai hivo hafahamu mambo ya bangi. Hii mizigo ya kawaida tunayo pewa tuipeleke sehemu Fulani imesha kua hatari Kwa macho ya...
  6. Wakufoji

    JamiiForums Tanzania Kama una jino linalo kusumbua

    Kama unasumbuliwa na maumivu ya jino au kama una meno yanayo kusumbua soma hapa. Hasa ni kwa yale meno yenye maumivu makali maana kuna aina zaidi ya moja ya maumivu ya jino. ✍Ila Naandika hapa ikiwa na mimi mwenyewe ni miongoni mwa watu walio wahi kusumbuliwa na maumivu makali ya jino...
  7. Blueboy Jr

    JamiiForums Tanzania PASSWORD moja una login account zote za META

    META password moja kwa account zote. Yaani unaingia Facebook, Instagram, WhatsApp na apps zingine za meta kwa password moja . Sasa vip mtu akidaka password yako ana access kote daah. Hii imekaaje wakuu. Again; Username in WhatsApp na sio number tenaa coming soon!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tafadhali sana Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) toeni agizo namba za customer service zote ziwe na option ya kuongea na mtoa huduma

    Tafadhali sana Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), tunawaomba angalau mtupunguzie mojawapo ya kero nyingi sana katika nchi hii, kwamba unapopiga namba yeyote ya Customer Service, iwe ni kampuni za simu, mashirika ya umma, biashara, NGO nk, ili mradi iwe ni customer service, basi...
  9. Surya

    JamiiForums Tanzania Ukimkataa Mwanamke una hali mbaya sana

    Sikiliza, moja ya sifa ya mwanamke ni wana hisia sana kuliko wanaume. Nikisema neno hisia linamaana pana sana unapaswa kufikiri kwa kina. Intuition, beauty, mwanamke ndio chanzo cha uzuri ndani ya nyumba, hata kama ni house girl tu na sio mkeo bado yeye ndio kioo au Mng'ao wa nyumba yako kuu...
  10. RaiaMbishi

    JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana. Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini alijifunga shuka kiunoni na kutosalimu amri ya uvivu. Kwakweli malezi ya mzazi mmoja pekee yana...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Chalamila usijione una akili kushangiliwa na vibaka, makuli na wapiga debe wa stendi ya Mbezi Magufuli

    Chalamila badala ya kwenda kuhutubia na kujitamba kwa abiria Ubungo, Shekilango na Kigamboni kwamba mshahara wake unamtosha ameenda kuhutubia kwa vibaka, makuli na wapiga debe wa stendi ya Mbezi Magufuli ambao sio walengwa wa usafirishaji. Kama Chalamila anafikiri ana akili sana aende Ubungo...
  12. min -me

    JamiiForums Tanzania Wewe kama memba wa JF una mchango gani humu?

    Wewe umetoa mchango gani kumtoa kijana humu kwenye sifuri na kwenda kwenye ndoto zake? Nina vijana watano humu wanajijua wamefanikiwa kupitia mimi, kama wapo online watakuja. Note: achana na vijana wanao kuomba pesa hasa 20 za kubeti humu gademitt.
  13. SamuraiJack

    JamiiForums Tanzania Una Website Yenye Adsense? Nanunua Kwa Pesa Taslimu.

    Habari wana jamvi? Kama title inavyojieleza! Kama unayo basi nicheki DM tuyajenge! Asanteni.
  14. youngkato

    JamiiForums Tanzania Una biashara lakini hujui kama unatakiwa kusajili Jina la Biashara au Kampuni? 🤔

    Usikimbilie kusajili bila kujua tofauti yake! Watu wengi huchanganya Business Name na Company, na mwisho wake wanaweza kuchagua mfumo usioendana na mahitaji ya biashara yao. Watu wengi wanaanzisha biashara lakini hawajui kama wanapaswa kusajili Jina la Biashara (Business Name) au kuanzisha...
  15. Half american

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa CR7 kwenye kufunga ndoa yake ni mzuri sana, ni wa kuigwa. Una maoni gani mdau?

    Mke wa Cristiano Ronaldo, Georgina Rodríguez amesema ndoa yake na Mumewe ilifungwa katika sebule ya nyumba yao Cascais, Ureno huku ikihudhuriwa na Watu saba tu. Kauli ya Georgina inakuja ikiwa ni takribani wiki moja tangu kufungwa kwa ndoa hiyo ambapo katika mahojiano maalum na Vogue, amesema...
  16. masai dada

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kwenye mahusiano na mtu maarufu Ni stress kwa kweli

    Ni stress kwa kweli... late night calls maana ndo katoka kwenye mambo yao A lot of Dm za mabinti duhh am going to ruin this tooo... Siwezi kwa kweli how unaweza dili na mtu wa namna hii
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wakazi Jaws Corner: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una manufaa mapana

    Wakazi wa eneo la Jaws Corner, Mji Mkongwe Zanzibar, wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ziara yake katika eneo hilo, wakisema imewapa faraja na kuthibitisha kuwa ni kiongozi anayewathamini na kuwajali wananchi wa Zanzibar. Wakazi hao...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kama una hii pesa na una muda nakushauri nenda nchi hizi kafanye biashara hizi

    Binafsi napenda sana watanzania tufanikiwe na huwa najisikia vibaya watanzania tunavyosota , bongo ngumu sasa nashare experience yangu nA nyie, moja fahamu mimi ni dealer wa usifirishaji wa nafaka na soko langu kubwa ni nchi hizi 1. Congo drc 2. Zambia 3. Malawi , kuna fursa nyingi huko...
  19. Red black

    JamiiForums Tanzania Je, wakati (time) una mwisho au ulianza lini?

    Nimesoma Big bang ila sjapata majibu.
  20. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Je, una Changamoto Yoyote Ya Afya Kinywa na Meno!? Ikiwepo kukosa meno !? Suluhisho hili hapa

    😁 Rudisha tabasamu lako kwa meno bandia ya kudumu (Crowns & Bridges)! Je, una jino lililovunjika, lililoharibika au lililopotea? Tunakupa suluhisho la kudumu kwa kutumia Crowns & Bridges zenye muonekano wa asili, uimara na faraja. ✨ Faida zake: 🦷 Hurejesha umbo na kazi ya meno. 🦷 Huboresha...
Back
Top Bottom