umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania FBI wameleta mrejesho: Aliyempiga risasi Charlie Kirk alikuwa na umri wa mwanachuo, silaha aliyotumia tumeikamata

    Wakuu, FBI wameashaanza kutoa clue huko kuhusu nani alihusika na kumpiga risasi Charlie Kirk. Kwenye briefing yao wamesema kwamba aliyehusika kwenye unyama huo wameshamfahamu lakini details kuwa yeye ni nani hawatazitoa sasa hivi Wamesema umri wake ni kama wa mwanachuo na bunduki...
  2. Vamigo

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kurudi darasani nikiwa na umri wa miaka 27 sasa

    Bila kupoteza muda mm ni kijana mwenye umri tajwa hapo juu mwenye mke na mtoto mmoja, nawaza kuamua kutatua mgongano WA ki fikra juu yangu binafsi Kwa kuamua Moja, kurudi darasani. Nilipata four ya 27 mwaka 2015, Sasa nataka nikaitafute elimu ya juu zaid kwakutudia mtihani na kuendelea mbele...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mbunifu wa mavazi mbobezi Giorgio Armani amefariki September 4, 2025 akiwa na umri wa miaka 91 bila mke wala mtoto

    Bwana Giorgio Armani alizaliwa mwaka 1934 nchini Italia. Alisoma shahada ya kwanza ya udaktari wa binadamu, baada ya hapo alijiunga na jeshi kabla hajagundua kipaji chake cha ubunifu wa mavazi. Bwana Armani Amani kubuni mavazi ya nyota jwa dunia katika ulimwengu wa filamu kama Julia Robert’s...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Umri unakwenda

    Huyu mtoto namfahamu sana ila sikuwa na kumbukumbu na alikuwa ananiita kaka leo nimeangalia
  5. X

    JamiiForums Tanzania Legend na fashion icon Giorgio Armani afariki dunia akiwa na umri wa miaka 91

    Aliyekuwa Godfather wa mitindo nchini Italia, gwiji na nguli wa mitindo duniani bilionea Giorgio Armani aliyezaliwa katika mji wa Pianceza nchini Italia amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91. Alianza kazi zake miaka 50 iliyopita jijini Milan jirani na mji aliozaliwa kwa kuanzisha Giorgio...
  6. dosho12

    JamiiForums Tanzania Umri wa akili yako (Genetic Memory

    Wengi tunajua kuwa akili inaundwa kipindi tupo kwenye matumbo ya mama zetu na inakuwa kamili tunapokuwa watu wazima ila kuna kitu kinaitwa genetic memory hizi ni kumbu kumbu ambazo anakuwa nazo binadamu ambazo zime tunzwa kwenye genes zake na zinasambazwa kutoka kizazi hiki kwenda kingine. Mzizi...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Joash Onyango Ajiunga na Kenya Police FC, Umri Wake Wazua Mjadala

    Beki mkongwe mwenye jina kubwa katika soka la Afrika Mashariki, Joash Onyango, amezua gumzo mara baada ya kujiunga rasmi na kikosi cha Kenya Police FC akitokea timu ya Dodoma Jiji ya Tanzania. Onyango, ambaye amewahi kung’ara na miamba wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC na Singida Black Stars...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Umri unavyoenda marafiki hupungua sana, Wanaobaki ni ndugu na familia, ushuhuda ni wajomba zangu waliokuwa hawapatani ila ukubwani wamekuwa karibu

    Miaka ya utotoni na ujanani imejaa options kibao za marafiki lakini ukubwani marafiki wanazidi kupungua au kupotea kabisa. option ambayo huwa inabaki kwa wengi ni ndugu na familia zao. wajomba zangu walikuwa na kabeef flani ka muda mrefu sana tangu wakiwa wadogo hadi ujanani lakini ukubwani...
  9. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke/mpenzi/mchumba LAKINI awe amenizidi umri

    Mimi ni mwanaume nina miaka 27 kwa sasa. Natafuta mwanamke wa kumuoa nimweke ndani kabisa niwe mumewe naye awe mke wangu. Sina elimu kubwa ila najua kusoma na kuandika. Nimepanga geto nalipa kodi 40k kwa mwezi. Sina tattoo wala mchoro wowote. Ni mkristo na Rastafari Ni mrefu wa futi 6.2...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Umri miaka 29 Sina mke Wala mtoto

    Kama mnavyoona kichwa Cha habar hapo Sina mke Wala mtoto na hapa bado sielew nawaza juu hili
  11. Doto12

    JamiiForums Tanzania Unaendesha gari Lina abiria 20, kituo cha kwanza wakashuka abiria 10, kituo cha pili wakashuka abiria watano. Nitajie umri wa Dereva

    Naomba jibu ukiweza nitakupa like kama zote
  12. Myahudi93

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike Umri kuanzia 18

    Napatikana Kakola(Kahama) umri wangu 32. Government Employed
  13. mager6

    JamiiForums Tanzania Una Mke anayewapenda wadogo zake kiasi cha kijana wa umri wa miaka 34 anaishi Kwa Dada

    Huyu mwanamke anahisi napenda hii tabia anayoifanya. Wanaume tumelelewa kuwa na roho flani hivi. Ukimuona kijana katika umri ambayo anaogopa kupanga Mipango nankupapambana na maisha roho inanidunda Kwa Sabab anakiwa mzigo. Kuna wakati naona hata ndoa itaharibiwa na Hawa ndugu maana nahisi na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tiba ya Mshipa kwa Mzee wa Umri miaka65 hospital Gani nzuri kufanya operation

    Habar wadau msaada wenu,Mzee wangu Umri miaka65 Leo umemkamata Mshipa wakorodani moja kuuma na nyonga kuachia,ikabid awahishwe hospital akapatiwa sindano Mshipa ukapoa, Sasa nauliza tiba yake huwa ni nin,naje hospital Gani nzuri kufanya matibabu
  15. Desierto

    JamiiForums Tanzania Je? Umri wako ni sahihi na watu wanavyokudhania?

    Mm ni kijana wa 96 hivi lakini watu wengi huniona na kunikadiria mm kama kijana wa 80.
  16. Think2

    JamiiForums Tanzania Ulianza kumiliki simu akiwa na umri gani??

    Nilianza kumiliki simu nikiwa na umri wa miaka 17 tu baada ya kumaliza form four aina itel kibatani, wewe je ulianza kumiliki simu yako mwaka gani na aina gani??
  17. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Soko la mwanamke lipo kwenye umri wake

    Ehh dada wewe!!!! Kama saivi unaona una muda wa ku spend sana. Piga hesabu pia kua umri ukienda utamudu kuendesha maisha kwa ku spend... Umri ukienda Utakupa pressure ya kutaka wanaume sasa wawe wakweli kwako ... Wakati kipindi kile walikuja wakweli kwako uliona hujamaliza ujana ukachagua...
  18. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Jua lina umri mkubwa kuliko dunia lakini maji ya duniani yana umri mkubwa kuliko umri wa jua

    Mjadala uko mezani Nawasilisha...
  19. proton pump

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuonekana kama una umri mkubwa kushinda watu wa rika lako?

    Hali ya kimaisha yaani changamoto hasa kiuchumi huweza kukukomaza ukaonekana mzee kuliko watu umri au rika lako. Si ajabu wakawa wanakushangaa. Ugonjwa pia huweza kukufanya hivyo. Si haba hata mabadiliko ya homoni na urithi huweza kukuzeesha. Ulaji mbovu pia usiusahau yaani iwe una hela au...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Rais Ouattara wa Ivory Coast atangaza Kugombea tena nafasi hiyo, akiwa na Umri wa Miaka 83

    Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast ametangaza kugombea tena urais Oktoba mwaka huu akiwa na umri wa miaka 83, licha ya ahadi yake ya awali ya kuachia nafasi kwa viongozi wapya. Uamuzi wake unakuja wakati wapinzani wake wakuu kama Laurent Gbagbo na Tidjane Thiam wamezuiwa kugombea, hivyo kumpa...
Back
Top Bottom