umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. Olivia olivia

    JamiiForums Tanzania Ulijenga nyumba yako ya kwanza ukiwa na umri gani ?

    Ilikuaje ukajenga ?? Kipato cha kudunduliza Tupeni mbinu Ulifafanyeje ?.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha kustaafu kiwe ni ugonjwa ama kifo, na siyo umri kama ilivyo sasa. Case study ni Steven Wasira.

    Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60? Samia ana miaka 63. Wasira ana miaka 81. Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania. Kwann watumishi wa chini huku...
  3. Tormenter

    JamiiForums Tanzania Umri wako sio gereza, acha kujihukumu na ondoa hiyo fikra

    USIACHE UMRI UAMUE HATMA YAKO... Unaweza kuanza kwa bidii, ukiwa na miaka 29 tu— Ukajipanga, ukajiamini, ukajenga ndoto zako kimyakimya, baada ya kupoteza kwenye 18-25s Miaka 31, ukaoa au kuolewa, maisha yakawa tulivu alafu poa tu yani. Sio mchongo, bali upendo wa kweli, msingi wa kesho yako...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini umri wa dunia unatofautiana sana na wa binadamu wa kwanza

    Kwa mujibu wa wanasayansi dunia toka kuumbwa kwake hadi sasa ni takribani miaka billion 4.5 iliyopita,(huo ndo umri halisi wa dunia). Mwaka 1935 ndani ya mamlaka ya hifadhi ya NGORONGORO katika eneo la olduvai george mwanasayansi Louis leakey na mkewe Mary leakey waligundua fuvu la...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua? Umri wa kuishi nchini Finland ni mrefu ikilinganishwa na mataifa mengi duniani!

    Umri wa kuishi nchini Finland ni mrefu ikilinganishwa na mataifa mengi duniani, ambapo wanaume huishi wastani wa miaka 79 na wanawake miaka 84. Tofauti hii ya miaka mitano kati ya jinsia inaonyesha hali bora ya huduma za afya, lishe, na mtindo wa maisha unaojali afya. Maisha marefu ya raia wa...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Aina 4 za wanawake ambao hutakiwi kuanzisha nao Familia hasa Ukiwa na umri chini ya miaka 45.

    AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO HUTAKIWI KUANZISHA NAO FAMILIA HASA UKIWA NA UMRI CHINI YA MIAKA 45. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Umri wa 20-45 ni umri muhimu Sana kwako kama kijana wa kiume. Huo ndio umri ambao unanguvu ya kujenga empire yako. Kumbuka mwanaume hazaliwi akiwa na thamani. Kama...
  7. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Mtu kama Liberata Mulamula ambaye amekuzidi kila kitu kuanzia Elimu ,umri , uzoefu na Exposure , halafu utegemee aje kukusifu kama Chawa haiwezekani !

    Mtu kama Liberata Mulamula ambaye amekuzidi kila kitu kuanzia Elimu ,umri , uzoefu na Exposure , halafu utegemee aje kukusifu kama Chawa haiwezekani . Utalalamika Sana na nakuona upo katika Panic Mode . MTU unajua kabisa ametumia zaidi ya nusu ya maisha yake kufanya siasa za kutumia akili na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jicho la tatu: Tujiandae kuona watoto wa shule wakiwamo walio chini ya umri wa miaka 18 wakitumika kama wapiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu

    Yanayoendelea nchi hii, kila mtu anaona na hata mwenye akili ndogo kama za kuku, anajua kabisa kuna biashara haramu ya kugawan majimbo kwa kisingizio cha wahusika kushinda uchaguzi. Kwahiyo, tutarajie muitikio mdogo wa wananchi na badala yake tutarajie kuona watoto wa shule wengine wakiwa...
  9. Dr Chi

    JamiiForums Tanzania Sijafanya kitu chochote cha maana katika maisha yangu na nina umri wa miaka 32. Je, hii ni kawaida?

    Hakuna kitu katika maisha kitakachobadilika hadi tubadilike sisi wenyewe. Kulaumu hali, watu wengine, au hata bahati mbaya kunaweza kuonekana kuwa sawa kwa sasa, lakini huku kunatuacha bila nguvu. Unapoelekeza kidole chako kwa mtu mwingine kama sababu, unampa udhibiti wa maisha yako kwa nguvu...
  10. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kumbe Hayati Mwalimu Nyerere na Mzee Mwinyi tofauti ya umri ni ndogo sana

    Sijui ni kwanini lkn siku zote niliamini kabisa kwamba Mwalimu Nyerere alikuwa kiumri mkubwa sana umkilinganisha na Mzee Mwinyi, kumbe tofauti ya umri wao ilikuwa ni ndogo sana, Mwalimu mwaka wa kuzaliwa 1922 vs Mwinyi 1925
  11. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Ninakinai wanawake haraka sana,ni kawaida au nina changamoto zingine?

    Mko poa watu wa Mungu! Kuna hali flani ya kukinai wanawake mapema kabisa inanitokea nashindwa kuielewa ni nimerogwa au ni kawaida? Naweza nikatumia gharama kubwa kumfukuzia demu ila nikishampata na nikamgegeda mara moja tu,naloose interest na yeye kabisa.au pia naweza nikaopoa tu wale mademu wa...
  12. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Iwekwe sheria umri wa Mwanaume kuoa uanzie miaka 30

    Ndio, umri wa mwanaume kuoa uanzie miaka 30. Ndoa sio jambo dogo, ni uamuzi mkubwa sana. Ndoa ni mkataba ule. Iwekwe kwenye sheria kabisa kama mwanaume hujafika 30 marufuku kuishi na mtoto wa mtu. Umri wa 30 walau mtu anajitambua anachofanya. Mwanaume ndo baba wa nyumba lazima ajitambue...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Miaka 77 ya UHURU miaka 3,000 ya Umri historia imejirudia Israel

    Miaka 77. Bila shaka, Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao na kujenga taifa ambalo linastawi katika eneo ambalo halijawahi kuwataka hapo . Wameshambuliwa, Wamesusiwa, wamesemewa uongo, Wamechukiwa-na bado wanakuwa na kustawi. Wanavumbua vitu ambavyo kwa mwanadamu wa kawaida anashangaa . Wana...
  14. J

    JamiiForums Tanzania 1970 Wanasiasa wenye umri wa miaka 20 waliteuliwa Ubalozi, Uwaziri nk lakini Leo Lucas mwenye miaka 43 ni Chawa Mtukuka!

    Labda kama teuzi zile za Nyerere kwa Vijana akina Wassira, Salim, Ulimwengu, mzee Mgaya nk Enzi zile zilitufelisha kimaendeleo lakini binafsi naamini Kijana kuwa Chawa ni dhambi nyekundu Mtazame Mzee wetu Wassira Ameanza kula Teuzi tangu akiwa na miaka 20 hadi Leo hii anaiendea 90 Lucas na...
  15. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Utu Uzima Feki: Kukua kwa Umri Lakini Kukwama kwa Nafsi

    Asubuhi hii ya Pasaka, tunapoamka tukisikia mlio wa mataifa ukisherehekea ushindi dhidi ya kifo, tunakumbushwa kuwa Pasaka haimaanishi tu ufufuo wa Yesu, bali pia ni mwaliko wa kufufuka kwetu—kiroho, kiakili, na hata kijamii. Katika mwangaza huu wa asubuhi takatifu, tunapaswa kutafakari: Je...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa mwerevu kuondoka kabla hujaumia ? Ni kitu gani kilikusukuma uache lifestyle, tabia au watu wa karibu wabaya / Toxic kabla ya majuto ?

    Hakuna shimo gumu kutoka kama tabia zilizokolea, Lifestyle uliyoizoea na Mahusiano yaliyoshamiri, Tatizo linakuja vitu hivyo vikiwa vibaya vinaweza kuathiri maisha yako negatively, unakuja kustuka baadae unajutia, Ila kuna matukio kadhaa huwa yanatugusa, Akili inasema "SASA BASI" na kuamua...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali kuongeza umri, sifa ya kupata mikopo ya Asilimia 10 ya Halmashauri

    Naibu Waziri ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeongeza umri wa ukomo katika mikopo ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya ndani ya Halmashauri kwa vijana kutoka miaka 35 hadi 45 ili kuweza kufikia vijana wengi zaidi. Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo wakati wa akijibu...
  18. Cerum

    JamiiForums Tanzania Natafuta Sex partiner umri 40-55.

    .
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye umri wa miaka 5 auawa kwa kuchinjwa Kimara

    Mtoto Elvila Eliudi mwenye umri wa miaka mitano, amefariki dunia baada ya kuchinjwa na mtoto wa mmoja wa wapangaji waliokuwa wakiishi nyumba moja Temboni Kimara Dar es Salaam. Video: ITV Digital
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kuna umri ukifika vitu vingi vinakosa maana isipokua pesa, familia na afya njema

    Kuna umri ukifika, hasa 38+, ndipo unagundua kuwa mambo mengi yanapoteza maana isipokuwa pesa, familia, na afya njema. Aise hata Kama umekuwa ukijituma maishani kuchangamana na watu sijui ndugu jamaa na marafiki au shughuli nyingine – lakini huna uthabiti wa kifedha wala familia ya kueleweka...
Back
Top Bottom