umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu pamoja kwamba umri umeenda ila hawajui kuelewa maana ndani ya neno analozungumza mtu ona sasa yule mama diplomatic anavyotoswa !.

    Ile kauli kuwa "Kuna li-MTU ambaye tuliamumini anapeleka mambo yetu nje" It was a sign that ur game is over in SISIEMU politics . Sasa kwa age yako Wasifu wako Maisha kijumla. Then unaenda kumuomba mkate MTU ambaye ameshakuonesha waziwazi hakutaki . Sielewi sisi wabantu tuna shida gani...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

    Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea. Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi Kijana anafikia...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ni busara amzidi mke wake umri, uumbaji wa Adam kabla ya Hawa ni fundisho, Ndoa zenye watu waliolingana zinaongoza matatizo

    Adam aliumbwa kwanza. Kabla ya kuletwa kwa Hawa, aliishi peke yake kwenye bustani ya Edeni, akajifunza mazingira, kuishi na wanyama na namna ya kuyaendesha maisha. Alipokuwa tayari, ndipo Mungu akamletea msaidizi wake, Hawa, si kama kiongozi mpya, bali kama msaidizi wake wa karibu. Adam...
  4. Isenye

    JamiiForums Tanzania Una umri gani? Hili swali linakera sana

    Habari za weekend wataalamu? Kuna tabia inaboa hasa nimeiona hapa kwenye hili jukwaa la mapenzi. Mtu anaweza akaanzisha mada yake vizuri tu hapa, watu badala wajikite kwenye kuchangia mada wao wanaanza kumuiliza mleta mada eti una umri gani?sasa najiuliza umri wa mtu na mada aliyoleta vina...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Uingereza yashusha umri wa watu kupiga kura hadi miaka 16

    Vijana wa miaka 16 na 17 wataweza kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao, kufuatia mpango wa serikali wa kushusha umri wa chini wa kupiga kura. Ahadi hiyo ni sehemu ya hatua kadhaa zinazopendekezwa kupitia Muswada mpya wa Uchaguzi (Elections Bill). Mabadiliko mengine yaliyopendekezwa ni pamoja...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Umri wa kuishi wa Watanzania kufikia wastani miaka 75, mwaka 2050

    Serikali kupitia Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 imepanga kuongeza umri wa wastani wa kuishi kwa Watanzania kutoka miaka 68 ya sasa hadi kufikia miaka 75. Lengo hilo linatokana na mikakati ya kuboresha huduma za afya, lishe, usafi wa mazingira na maisha bora kwa wananchi. Kupitia dira hiyo...
  7. G.T.L

    JamiiForums Tanzania Umri wa Humphrey Polepole

    Wakuu, nilikua nimechill na jamaa yangu hapa tunajiuliza huyu Gwiji atakua na umri gani kutokana na muonekano wake. Sisi tulidhani anaweza kuwa kwenye 46 yrs. Ikabidi tuingie Google tukakutana na hii kwamba ana Umri wa miaka 55. Je, Ni kweli kwa wale wanaomjua au ni Google imeingia chaka? Ni...
  8. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa zamani wa Nigeria, Muhammadu Buhari, afariki dunia

    Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametangaza kifo cha Rais wa zamani Muhammadu Buhari, ambaye amefariki Jumapili mjini London baada ya kuugua kwa muda mrefu. Licha ya tangazo hilo familia ya Mohamed nayo imethibitisha kifo hicho cha Raisi huyo Baada ya taarifa hiyo Makamu wa Rais Kassim Shettima...
  9. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Namshauri Lissu akitoka aachane na siasa. Aungane na CCM ale pesa umri umeenda

    Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee. Nimejiuliza anachohangaikia ni kipi, anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake, anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona anateseka, wanaishia kukomenti "no reform no election" mtandaoni kama wanaangalia muvi. Kinachonifurahisha...
  10. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Katika utafutaji tunatarajia wenye umri mkubwa wawe na pesa nyingi na maisha mazuri

    Ni kweli! Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara Inashangaza...
  11. G Sam

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa huenda ana umri mkubwa kuliko mzee Majaliwa

    Kwa muonekano wake tu huyu jamaa umri wake umeenda namba. Huenda ana umri mkubwa kuliko Majaliwa na Mpango. Jinonee wewe utoe tathimini yako.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hii mada ni kwa Wanaume miaka 50 na kuendelea: Uhusiano kati ya Kuongezeka kwa Tezi Dume na Ukosefu wa Nguvu za Kiume kwa wenye umri zaidi ya 50

    Ombi: Hii mada inafaa kujadiliwa na makundi matatu yafuatayo:- i. Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50 au zaidi; ii. Akinamama wenye wenza (mume au mchepuko) wenye umri wa miaka 50 au zaidi; na iii. Wenye wazazi ambao wanasumbuliwa na Matatizo ya Tezi Dume. Utangulizi: Nilihamasika kuanzisha...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Padre Lui Shayo wa Jimbo Katoliki Moshi aadhimisha Jubilei ya almasi (miaka 75) ya Upadre akiwa na umri wa miaka 106

    Tumsifu Yesu Kristo! Katika Kathedrali ya Jimbo Katoliki Moshi imefanyika ibada ya Misa Takatifu ya Jubilee ya Miaka 75 ya Upadre wa Padre Lui Shayo. Padre Lui Shayo alipata daraja Takatifu la Upadre mnamo June 25, 1950. Pamoja na Jubilee ya miaka 75 ya Upadre, pia Padre Lui anaadhimisha...
  14. Knock life

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, kwa umri wa miaka 65 ya Kassim Majaliwa ni sahihi kwake kuendelea kuwa Mbunge Kweli?

    Eti wakuu , umri wa miaka 65 ni sahihi MTU kuendelea kuwa Mbunge . Maana kwa kumtazama Majaliwa amechoka Sana ukiachana na Super Black kichwani Ila sifikirii Kama ni sahihi Sana .
  15. Jkitamoga

    JamiiForums Tanzania Mtamba wa kisasa anaweza kupandwa akiwa na umri gani?

    Kwa wataalam naomba msaada nina Mtamba wangu Ana umri wa miezi 13 aliingia heat mara ya kwanza mwezi machi . Upi ni umri sahihi wa kumpandisha?
  16. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi kuwa boda boda mwisho umri gani nataka nikajribu upande huo maana hali tete

    Wadau msaada maana hali tete sikujipanga kimaisha naona naelemewa na maisha sasa naona kazi ya haraka ni boda boda Ila mimi umri umeenda sasa sijui naweza pambana uko
  17. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Usipochukua hatua mapema ewe kijana Nilichogundua 40 years kwa mwanaume ni umri wa majuto,fedheha na kejeli

    Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike...
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania Je umri wa miaka 32 ni umri sahihi wa kuoa na kuanzisha Maisha ya kifamilia?

    Wakuu , Kutokana na Changamoto za Maisha nimefikiria kusogeza siku mbele hasa kuhusu kuoa. Je umri wa miaka 32 ni rafiki na unafaa MTU kuanzisha familia au MTU anakuwa amechelewa? Ahsante.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

    Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19 Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa...
  20. Olivia olivia

    JamiiForums Tanzania Ulijenga nyumba yako ya kwanza ukiwa na umri gani ?

    Ilikuaje ukajenga ?? Kipato cha kudunduliza Tupeni mbinu Ulifafanyeje ?.
Back
Top Bottom