umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Watu hudhania kila mzee ni wa kuomba ushauri na guidance, wengi wao wanaweza kuchefuka na hatua kubwa uliyopiga ambayo wao katika umri huo hawakugusa

    Roho mbaya ikizeeka haikauki. Anaweza tu kukuona umewazidi maendeleo watoto wake haina budi kukuelekeza shimoni.
  2. MANAGER DOCTOR WENGER

    JamiiForums Tanzania Hivi Juma Nature ana umri gani? Mbona hazeeki

    Tangu nimeanza kumsikia juma nature enzi hizo alikua mbaba eti mpaka Leo bado yupo vilevile
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Leo nimetimiza umri wa miaka 35, nishauri chochote

    Niliambiwa na wazazi wangu kuwa nilizaliwa April 30, 1991 Na Leo nimetimiza miaka 35 Mimi ni mme na baba, Nina watoto 2 Ni mfanyabiashara wa nafaka, mkulima na mfugaji Nitakie heri na nishauri chochote
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa tuhuma za kujaribu kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 80 mkazi wa Sinoni - Arusha

    Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine Masejo amesema wanamtafuta mtu mmoja anayedaiwa kujaribu kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 80 mkazi wa Sinoni Jijini Arusha kufuatia picha mjongeo inayoonekana katika mitandao ya kijamii ikimuonesha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilikufanya ugundue Umri umeenda?

    Kuna muda mtu unakuwa na mambo mengi hadi unasahau kama upo kwenye "Age go" unaongeza miaka ila ni kama unajiona bado mdogo tu mpaka ukutane na jambo fulani ndio unastuka kumbe umri wangu ushaenda hivyo. Kuna wengine ongezeko la shikamoo ndio linawastua wengine kuitwa kwneye vikao vya ukoo nk...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanapenda kujisifia umri mkubwa?

    kuna watu wanafanya umri wa kuzaliwa kama ni mashindano, na pale wanapogundua wao ni wakubwa wanafarijika na wanajisifia sana vitu vitokanavyo na ukubwa wao watu wa namna hii huwa wananifikirisha na ninaiona hii kama changamoto ya afya ya akili kwasababu kimsingi umri wa kuzaliwa unaonyesha tu...
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Tunawaheshimu wazee kwa sababu wamefikisha umri mkubwa, au tunawaheshimu kwa sababu wanakuwa na busara?

    Tunaamini vibaka, wezi, wahuni, na watu wasiokuwa na tabia njema, nao pia huzeeka. Je, katika uzee wao, huwa tunawachukuliaje, kuna cha kujifunza chochote kutoka kwao? Je ni sahihi kuwaheshimu?
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vipaumbele vikuu vya mwanaume mwenye umri wa miaka 30+

    VIPAOMBELE VIKUU VYA MWANAUME MWENYE UMRI WA MIAKA 30+ Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Kila umri unavipaombele vyake. Umaana wa maisha unauleta wewe kupitia vipaombele vyako. 2. Ili ufanikiwe utahitaji kuzingatia vipaombele kulingana na umri wako, fursa zinazokuzunguka, mbinu, uwezo na...
  9. Red black

    JamiiForums Tanzania Tafiti;waliopo kwenye ndoa wanaishi maisha marefu yenye sonona tofauti na walioko singo?

    Marriage license ==== Fahamu Zaidi Tafiti: Waliopo kwenye ndoa, huishi maisha marefu zaidi tofauti na waliopo 'singo'!
  10. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayetafuta mwanaume mtandoni wengi wa athirika wa ukimwi, umri umeenda au single maza

    Kama sio mwathirika wa ukimwi uyo basi umri umeenda sana yupo 30 na kuendelea na pia ana watoto kuanzia wawili na ametelekezwa anatafuta wa kumtulia shida zake Uwezi kumkuta mwanamke yupo chini ya 30 hana changamoto ya feza na hana ukimwi akatafuta mwanaume mtandaoni
  11. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Adui mkubwa wa mwanamke ni UMRI

    Hakuna la kuongeza wala kupunguza apo adui mkubwa wa mwanamke ni umri
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ulikua na umri gani ulipogundua hiyo mikunjo nyuma ya mswaki ni kwa ajili ya kusafishia ulimi?

    Ulikua na umri gani ulipogundua hiyo mikunjo nyuma ya mswaki ni kwa ajili ya kusafishia ulimi?
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu flani ukishakuwa 35+ unapaswa kuwa na majibu yao, huu sio tena umri wa kujiuliza uliza na kutokuwa na msimamo wa kile unachokiamini

    Unapaswa uwe na jibu binafsi la kama unamiini Mungu yupo na unamtumainia au lah. Unapaswa kuwa na malengo tayari unayoyaamini na unaya pambania kwa jasho na damu ili upige hatua zaidi ya ulipoyafikia. Huu sio umri tena wa kuwaza kama kijana wa miaka 22 "hivi nifanye kitu gani" Ni umri ambao...
  14. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Umri wa kustaafu uwe miaka 45/Utumishi kikomo iwe miaka 15

    Ninafikiri kwamba, Umri wa kustaafu utumishi wa umma ushuke na kuwa angalau miaka 45 hivi, ama tuweke ukomo wa utumishi wa umma uwe miaka 15 tu, ili mtu akistaafu apate fursa ya kuyaishi maisha mengine ya kujitafutia kipato nje ya utumishi akiwa na nguvu zake kamili, na kuruhusu kizazi kingine...
  15. bwawani90

    JamiiForums Tanzania Nina umri wa miaka 49 Natafuta mke awe na sifa zifuatazo

    1. mweupe kiasi si michubuko 2. umri kati ya miaka 25 hadi 30 3. Elimu ya kidato cha 4 mwisho cha 6 4. awe tayari kusimamia biashara 5. Asiwe na mtoto 6. utepe ni muhimu(code) wenye D mbili wameelewa 7. Dini( awe na hofu ya mungu) 8. awe anaishi kwao sio gheto 9. mwembamba kidogo 10. urefu 150...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ulegevu wa via vya uzazi husababaishwa na nini kingine zaidi ya umri wa muhusika?

    Ipo changamoto ya uke wa mwananmke kua legevu sana, uliopoa na usio na ladha kabisa, lakini pia uume wa mwanaume kua legevu na usioweza kufanya chochote. Wanaume wengi wenye changamoto hii huishia kujificha kwenye kutumia mdomo kulamba au kunyonya uke wa mwanamke kuficha fedheha hiyo. Na...
  17. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa na umri gani ulivyojua kuwa kirefu cha MOM ni My Own Mother

    Nasoma comment na kama ndio umejua leo basi comment ''JF shule''
  18. E

    JamiiForums Tanzania Je Mtoto wa kike anapaswa Aanze kufundishwa kufanya usafi wa ndani na Mazingira akiwa na umri gani?

    Je mtoto wa kike anapaswa kuanza kufundishwa kufanya usafi wa nyumbani akiwa na umri gani
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania 50% ya wavulana wenye miaka 20 hawajahi kufanya mapenzi, lakini kwa wasichana wenye umri huo ni 1% tu

    Tafiti iliyofanywa na Taasisi ya Mahusiano na Unyumba imebaini kuwa ni 1% tu ya wasichana hufika miaka 20 wakiwa bado hawajawahi kufanya mapenzi. Sababu zikidaiwa kuwa ni :- 1. Kushindwa kuhimili vishawishi. Mtoto wa kike huanza kutamaniwa na kuanza kushawishiwa kufanya ngono mara tu anapoanza...
  20. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Ebu bashiri umri wa members humu JF

    Mshana Jr 46 cocastic 31 Binti wa zamani 40 Hannah 35 Kiranga 37 secretarybird 31 ELI COHEN 34 ERoni 36 hamis77 35 FaizaFoxy 48 ephen_ 36 dosho12 30 Vincenzo Jr 31 Maxence Melo 48 Chica Gee 27 Dr am 4 real PhD 42 Mallerina 28
Back
Top Bottom