Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.
Happy new year 2026 MMU.
Kuna binti wa ki-islamu nimefikiria nianze kufanya mchakato wa kufikisha taarifa kwa wazazi wake kuhusu nia ya kutaka kumuoa binti yao. Hii ni baada ya penzi la mtu wangu wa muda mrefu kufa kabisa.
kabla sijaamua kufikisha taarifa kwa wazazi wa huyu binti wa...
Biblia Isemavyo Kuhusu Umri wa Kuishi
Katika biblia mtu aliyeishi miaka mingi kuliko wote, ni Methusela, mwana wa Henoko aliyetwaliwa na Mungu.
Biblia inasema Methusela aliishi miaka 969, na hakuna mwingine aliyerekodiwa kuishi miaka mingi kuliko yeye.
Mwanzo 5:25 “Methusela akaishi miaka mia...
Habari Tanzania !
Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo.
Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja kwenye hilo wazo lako.
Mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam...
Epiphyllum Dream:
hii movie ina story line bora sana katika movie zote za china nlizowahi kuziona, Sjajua mtunzi na director ni nani ila walifanya kazi moja kubwa sana hapa, japo ni ya mda kidogo
Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
bila
dola
fake
huru
kufanya
kujali
kuondoa
kupambana
kushinda
maridhiano
mda
mikononi
mtu
sana
tafadhali
umri
vyombo
vyombo vya dola
wahuni
wako
wapi
watawala
wenyewe
Bunge la Djibouti limepiga kura kwa kauli moja kuondoa kizuizi cha umri wa kugombea urais, hatua inayomruhusu Rais Ismail Omar Guelleh kugombea muhula wa sita madarakani
Guelleh, anayejulikana pia kama IOG, amekuwa madarakani tangu mwaka 1999 akiongoza taifa hilo dogo lililoko Pembe ya Afrika...
Habari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k
Sifa zangu.
Najishughulisha
Mpole
Siyo muongeaji sana
Mkweli na muwazi
Kimo cha kawaida
Rangi maji ya kunde
Mwili wa kawaida
Sifa za rafiki...
Mimi naamini duniani lolote linaweza kutokea hata bibi wa miaka 90 kuzaa Mtoto,
Je tuna wanawake ambao wapo Tayari Kufikisha 35 years bila kuwa na mtoto na ukawa na amani kusubiri zaidi Siku yako ?
Au ndio tunafikiri Mungu ni Mungu wa Yes kila kitu ?
1. Huna muda wa kushinda na mpenzi wako kutwa nzima mkipiga stori za mapenzi
2. Ukihitaji kufanya mapenzi mahali unakokufikiria ni kitandani
3. Unaanza kujaza friji lako kwa vyakula zaidi kuliko pombe
4. Muziki unaoupenda unausikia ukiwa kwenye lifti ama kwenye gari lako ukienda na kutoka...
Nimekua nikipitia profile ya Rais Samia mara kwa mara lkn hakuna sehemu nimewahi kuona kuwa Rais Samia aliwahi kupitia jkt kama ambavyo watu wa rika lake walifanya mfano Magufuli,Majaliwa na wengine wengi.
Ilikuaje huyu mtu yeye akakwepa kwenda jkt halafu leo tumuite ni mzalendo na mpambanaji?
Habar wakuu Mzee wangu alifanyiwa operation kwenye korodani tar 13/9/2025,baada ya korodani kugeuka nakuwa na maumivu makali kwa siku5 ikabid afanyiwe operation,
Sasa baada ya operatio alikaa wiki mbili nje ya hospital kuangalia maendeleo,Kisha wakamruhusu kurud mkoani,
Sasa amekua...
Wakuu,
FBI wameashaanza kutoa clue huko kuhusu nani alihusika na kumpiga risasi Charlie Kirk.
Kwenye briefing yao wamesema kwamba aliyehusika kwenye unyama huo wameshamfahamu lakini details kuwa yeye ni nani hawatazitoa sasa hivi
Wamesema umri wake ni kama wa mwanachuo na bunduki...
Bila kupoteza muda mm ni kijana mwenye umri tajwa hapo juu mwenye mke na mtoto mmoja, nawaza kuamua kutatua mgongano WA ki fikra juu yangu binafsi Kwa kuamua Moja, kurudi darasani.
Nilipata four ya 27 mwaka 2015, Sasa nataka nikaitafute elimu ya juu zaid kwakutudia mtihani na kuendelea mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.