Kwanini watu wanapenda kujisifia umri mkubwa?

Kwanini watu wanapenda kujisifia umri mkubwa?

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,039
Reaction score
3,084
kuna watu wanafanya umri wa kuzaliwa kama ni mashindano, na pale wanapogundua wao ni wakubwa wanafarijika na wanajisifia sana vitu vitokanavyo na ukubwa wao

watu wa namna hii huwa wananifikirisha na ninaiona hii kama changamoto ya afya ya akili kwasababu kimsingi umri wa kuzaliwa unaonyesha tu kutangulia kuzaliwa napia kama ulitangulia kuzaliwa utatangulia na kuzeeka na hamna kitu special zaidi
 
Soma nyuzi zako kwa umakini , na soma nyuzi za mshana , ndio utagundua kwanini watu hawataki kuonekana wadogo

Umri kama ni mkubwa ni mkubwa tu, hakuna haja ya kuficha ficha kama bangi
 
Soma nyuzi zako kwa umakini , na soma nyuzi za mshana , ndio utagundua kwanini watu hawataki kuonekana wadogo

Umri kama ni mkubwa ni mkubwa tu, hakuna haja ya kuficha ficha kama bangi
na wengine wanaficha ukubwa hasa mabinti.

lakini busara hazitegemei umri kwasababu pia kuna wazee wa hovyo
 
Back
Top Bottom