Leo nimetimiza umri wa miaka 35, nishauri chochote

Nawatakia kila lenye heri likawe upande wa wazazi wako. Wewe bado ni mvulana pamoja na kuwa na watoto 2 ndani unao shindana nao kwenye "hepibesideitoyu".
Mungu azidi kuwatunza wazazi wako waendelee kukuvuta vuta kimawazo.
Hepi besidei kijana wangu
 
Amen
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom