umoja wa mataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jackal

    JamiiForums Tanzania Wapalestina Wavunja Ghala Za Umoja Wa Mataifa Huko Gaza Na Kupora Unga!

    Mytake: Wapestina ni wahuni tu kama Wahuni wengine 🤔 ..... https://m.jpost.com/breaking-news/article-770670
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wapitisha azimio kutaka vita isitishwe, Israel yapinga na yaongeza mapigo Gaza

    Kwa sauti moja hapo jana baraza kuu la umoja wa mataifa lilipitisha azimia likitaka vita visitishwe kwa muda ili kutoa fursa ya majadiliano na kuwezesha misaada kuingia Gaza. Kinyume chake taifa la Israel limepinga azimio hilo na katika kipindi cha masaa 24 wameongeza mapigo makali kuzidi ukali...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dkt. Salim, Dkt.Tulia atairudisha nchi katika unguli wa diplomasia ya kimataifa. Tumuombee, anaweza kuwa Katibu mkuu ajaye wa UN

    Kwanza, ninampongeza sana Spika Dkt.Tulia kwa ushindi wa kishindo kama Rais wa IPU, kama Taifa linajivunia juhudi na jitihada zake za kuitangaza nchi kimataifa. Spika Tulia au tumuite Rais wa IPU ni jasiri na mpambanaji na historia yake inajieleza vema. Kwa ufupi ni mwanamke wa shoka na yuko...
  4. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kwa vita ya Hamas na Israel, Marekani na Umoja wa Mataifa zishtakiwe

    Kitendo cha kuigawia uhuru wa dola nchi ya ISRAEL mwaka 1948 haikuwa sahihi na huenda ilikuwa ni mpango mkakati wa kuivuruga amani pamoja na uchumi wa dunia hii inatokana kuwapo na histosia kubwa katika nchi ya palestina. Kwa machafuko mengi ya kidunia huyu jamaa anatakiwa apigwe sanction za...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN) Nchini Tanzania kuadhimisha Miaka 78 tangu ilipoanzishwa

    Umoja wa Mataifa (UN) nchini Tanzania unatarajia kuadhimisha miaka 78 tangu ilipoanzishwa mwaka 1945. Akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatoa ufafanuzi Umoja wa Mataifa (UN) kutetea hatua za kunusuru uhifadhi wa Loliondo na Ngorongoro

    Na Mwandishi Maalum, New York, Marekani Nchi ya Tanzania imeshiriki mkutano mkuu wa 78 wa Umoja wa Mataifa ulioanza 25 Septemba, 2023 katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa Jijini New York, nchini Marekani ambapo imetumia mkutano huo kuelezea hatua za Serikali kunusuru uhifadhi na maendeleo ya...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Wanawake wameachwa nyuma kwenye nafasi za kazi za Sayansi, Uhandisi na TEHAMA

    Mwaka 2022, watu bilioni 2.7 bado hawakuwa na upatikanaji wa intaneti. Tofauti hii inatishia kuongeza kutokuwiana baina na ndani ya nchi. Kutofikia teknolojia na taarifa kunakoendelea kutaendelea kuyatenga makundi ambayo tayari yako nyuma, ikiwa ni pamoja na wanawake na wasichana wa vijijini na...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Wapalestina 200,000 wabaki bila makazi, wanaishi kwa misaada ya Umoja wa Mataifa (UN)

    Huku Waarabu weusi wa Bongo wakiendelea kuchekelea na kufurahia uchokozi wa HAMAS kisa ni ndugu zao katika dini, ifahamike wahanga wa hii vita ni hao hao Wapalestina ambao mabomu yamelipua makazi yao na wameishia kwenda kuishi kwa misaada ya wazungu. Mataifa ya Waarabu na Iran wapo pembeni...
  9. Salahan

    JamiiForums Tanzania Barua ya Palestina kwenda Umoja wa mataifa

    Barua hii nimeitoa Ukurasa rasmi wa ofisini ya Serikali kuu mtandao wa X na nitaiweka kama ilivyo na nitaiweka kwa tafsiri ya kiswahili kwa msaada wa Google Translator. Naomba radhi kwa namna yoyote ya ukoseaji wa tafsiri hiyo ijapo itakuwa msaada kwa Waswahili. Vita vya jumla vimepigiwa...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Viongozi kadhaa wa mataifa ya Afrika katika mkutano wa kila mwaka wa Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa

    Miongoni mwa waliosimama jukwaani kuhutubia alikuwa ni rais Paul Kagame wa Rwanda. Alijikita kuzungumzia mzozo wa madeni unavyoyatia kitanzi mataifa yanayoendelea na kuyapunguzia kasi ya kutimiza Malengo ya Maendeleo Endelevu ikiwa ni pamoja na kutokomeza umasikini. Amesema sababu ya hali hiyo...
  11. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Samia hajaenda kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN)?

    Niko nafwatilia speech za viongozi wa afrika huko UN lakini mpaka sasa sijaona jina la rais wetu Samia. Je nini tatizo? NB: Mara ya mwisho nilimuona juzi akiwa jukwaani huko mtwara na akina Harmonize.
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini Umoja wa Mataifa hauendeshwi kidemokrasia?

    Nchi kubwa kubwa kama Marekani, Uingereza na Ufaransa hupigia sana kelele na kuhubiri uzuri wa demokrasia, na hasa wakishinikiza nchi changa zifuate demokrasia. Lakini watu hao hao hawataki taasisi kubwa zaidi duniani, Umoja wa mataifa iendeshwe kidemokrasia. Nchi hizo pamoja na Russia na China...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Umoja wa Mataifa wafunga Ofisi za Haki za Binadamu baada ya Rais Museveni kukataa kutoa kibali kingine

    Kwa mujibu wa Kamishna wa Haki za Binadamu wa UN, hatua hiyo inafuatia uamuzi wa Serikali ya Rais Yoweri Museveni kutohitaji kuendelea kwa Makubaliano ya uwepo wa Ofisi hizo nchini humo. Katika taarifa yake, UN imetilia shaka kukosekana uwazi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2026...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wasitisha shughuli zake nchini Niger

    Uamuzi huo unakuja saa 24 baada kikundi cha Wanajeshi kumuondoa Rais Mohamed Bazoum kwa kile kilichoelezwa kuwa ameshindwa kusimamia Uchumi wa Nchi pamoja na hali mbaya ya Usalama. Pia, Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres amelisihi Jeshi limwachie huru na bila masharti, Rais Bazoum ambaye...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa waitahadharisha Tunisia kuhusu Ukandamizaji wa Vyombo vya Habari

    Umoja wa Mataifa umetoa tahadhari hiyo baada ya Mamlaka za Tunisia kudaiwa kuminya Uhuru wa Kujieleza huku kukiwa na taarifa za Mwandishi wa habari maarufu kukamatwa kwa tuhuma za kumtusi Rais Kais Saied. Kamisheni ya Haki za Kibinadamu imesema "Msako dhidi ya Majaji, Wanasiasa, Viongozi wa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Ghaamid Abdulbasat, ateuliwa na Umoja wa Mataifa katika Kamati ya Ushauri IAC

    Umoja wa mataifa umemteua Ghaamid Abdulbasat kuwa mwanachama wa Kamati ya Ushauri (IAC) kwa niaba ya vijana Afrika na duniani kutekeleza itifaki ya Nagoya ya mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Bioanuwai/Mazingira. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari, uteuzi wake unalenga...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN) yafikiria kusitisha shughuli zake Nchini Afghanistan

    Umoja wa Mataifa unaangazia kusitisha shughuli zake nchini Afghanistan baada ya Taliban kuwazuia wanawake kufanya kazi kwenye mashirika ya umoja huo nchini humo. Taarifa iliyoachapishwa mapema leo imesema, ujumbe wa Umoja wa Mataifa umesema zuio hilo la Taliban linakiuka sheria ya kimataifa na...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Taliban yapiga marufuku wanawake wa Afghanistan kufanya kazi kwenye UN

    Umoja wa Mataifa umesema Jumanne kwamba utawala wa Taliban nchini Afghanistan umewaarifu kwamba umepiga marufuku wanawake kufanya kazi katika taasisi hiyo, ikiwa hatua ya karibuni zaidi ya kuweka masharti kwa haki za wanawake nchini humo Katibu mkuu wa UN, Antonio Guterres, amesema kwamba, “...
  19. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Urusi yatwaa urais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa licha ya hasira ya Ukraine

    Urusi imechukua kiti cha urais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa licha ya Ukraine kuwataka wanachama kuzuia hatua hiyo. Kila baraza la wajumbe 15 huchukua nafasi ya urais kwa mwezi mmoja, kwa utaratibu wa kupokezana. Mara ya mwisho Urusi ilikuwa na nafasi ya urais ilikuwa Februari 2022...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Aweso ahitimisha ratiba ya kikazi Umoja wa Mataifa New York, atoa shukrani kwa Kaimu Mwakilishi wa Kudumu

    Waziri wa Maji ameshiriki kikao cha Shukrani na kuagana na watumishi wa Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa Mataifa, New York. Watumishi hao wameongozwa na Mhe. Balozi Dkt. Suleiman Haji Suleiman, Kaimu Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa...
Back
Top Bottom