BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,372
8,108
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na Balozi nchini Marekani, Prof. Kennedy Gastorn Jumanne alifutwa kazi kutokana na kashfa ya ufisadi ambayo maelezo yake hayakuwekwa wazi.

Uamuzi huo wa ghafla ulikuja miezi kadhaa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje Liberata Mulamula kwa madai ya “kuvuka mipaka” alipokuwa katika ujumbe ulioongozwa na Makamu wa Rais Philip Mpango wakati ziara ya Marekani kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mwaka 2022.

Uamuzi huo unamruhusu Rais Samia kufanya mabadiliko ya kimkakati ndani ya Serikali yake, yanayoonekana kama sehemu ya matayarisho ya ndani ya Kisiasa akiwa tayari kutetea mamlaka yake katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.

=================

Tanzania's permanent representative to the United Nations and ambassador to the United States, Prof Kennedy Gastorn was on Tuesday fired over a corruption scandal whose details were not disclosed.

The abrupt decision came several months after Presient Samia Suluhu Hassan fired Foreign Minister Liberata Mulamula over alleged “overstepping” while in a delegation led by Vice President Philip Mpango during a tour of the US for the UN General Assembly last year.

The decision on Tuesday allows President Hassan to make strategic changes within her government, seen as part of the preparations on the domestic front politics in readiness to defend her incumbency in the 2025 general election.

The President appointed Chief Secretary Hussein Katanga, her closest aide at State House, to take over as envoy to the UN in New York and ambassador in Washington DC, and promoted Moses Kusiluka from permanent secretary in the President's Office to Chief Secretary, replacing Mr Katanga.
Reshuffle

The Director General of the Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), Diwani Athumani, has been moved to replace Mr Kusiluka. Mr Athumani's former deputy at TISS, Said Masoro, a Zanzibari, will now head the spy agency.

The new appointments take effect immediately, according to a statement from presidential spokesperson Zuhura Yunus.

Announcing the changes herself in a televised address from State House Dar es Salaam on Tuesday night, President Hassan said Prof Gastorn's recall had been prompted by general concerns raised in parliament last November over "funds misuse and abuse of power" in Tanzania's foreign embassies.

She did not give details of the specific allegations against the 46-year-old lawyer and diplomat who had held the dual positions since March 2020, but said his sacking marked the "start of government efforts to clean house and restore proper status in all its diplomatic offices abroad."

With the latest appointments, President Hassan appears to be consolidating her power base ahead of the 2025 elections when she will be seeking elective presidency for the first time.

There is speculation of a looming cabinet reshuffle with political analysts saying, she is likely to get rid of “detractors” and replace them with "loyalists".

The President herself hinted as much at a ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) National Congress in Dodoma last month when some party heavyweights insisted that there were some “detractors” within the ruling party who were derailing the implementation of the 2020 election manifesto.

She has made it clear that she intends to run for election by popular mandate in 2025 after initially being elevated from the position of vice president by constitutional decree following President John Pombe Magufuli's death in March 2021.

Under the current Tanzania constitution, by October 2025 President Hassan will have served more than two-thirds of what would have been Magufuli's second term, making her eligible to run for only one full term of elective office.

THE EASTAFRICAN
 
Ingekuwa enzi za magufuli wangeondolewa kisha umma kujulishwa sababu za kuondolewa kwao. Hawa wanaondolewa au kuhamishwa kimya kimya bila umma kujulishwa sababu zake. Ama kweli kila kiongozi mkuu ana mtindo wake wa kuongoza nchi
Ukumbuke hizi ni tuhuma so wanahaki hadi itakapothibitishwa vinginevyo.
Ni vyema kiongozi mkuu akawa na kifua cha kudhibiti hisia zake.
Kuna wengi wameharibiwa majina bila sababu na rais kamwe hawezi kuja kusimama kuwasafisha
 
Nini maana ya mwakilishi wa kudumu?

Ni ofisi ya balozi ya nchi yoyote katika Umoja wa Mataifa na makao yake ya Umoja wa Mataifa ni mji wa New York Marekani. Ni ofisi ya Kudumu maana nchi ya Marekani kufuatana na makubaliano haina uwezo wa kumtimua balozi wa nchi yoyote katika Umoja wa Mataifa New York wala kuifunga ofisi ya ubalozi wa nchi yoyote mwanachama wa Umoja wa Mataifa New York na ndiyo maana ya Mwakilishi wa Kudumu.

Mfano nchi kibao zina uhusiano mbovu na Marekani hadi kuwekewa vikwazo kama Syria, North Korea n.k lakini balozi wao wa kudumu ktk Umoja wa Mataifa anaingia kutoka na kufanya kazi nchini Marekani jijini New York Marekani bila bughudha ili mabalozi hao wanaowakilisha nchi zao hasimu ktk Umoja wa Mataifa waendelee na shughuli zao wa uwakilishi bila mkwamo.

Hivyo kwa nchi ya Marekani kukubali mji wa New York uwe makao makuu ya Umoja wa Mataifa, Marekani imekubali uhuru wa nchi zote kuwepo mjini New York au katika shughuli za Umoja wa Mataifa hata kama Fidel Castro au Che Guevara wa Cuba au Nicholas Maduro wa Venezuela n.k akatoa hotuba ya 'kuudhi' namna gani kuhusu Marekani hawawezi kumzuia Balozi wa nchi ya Cuba katika Umoja wa Mataifa kuishi na kufanya kazi ktk ubalozi wao wa kudumu wa nchi ya Cuba mjini New York Marekani.

Uzuri wenzetu wakikubaliana hawasukumwi na mihemuko ya ki-uchawa, au kinachoitwa lugha kali au 'matusi' n.k toka kwa mahasimu wao wakitoa hotuba katika baraza la Umoja wa Mataifa jijini New York kisha kutimua au kufunga balozi za kudumu kisa Marekani ni taifa kubwa lililo mwenyeji wa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.

Fikiria makao makuu ya Umoja wa Mataifa yangekuwa ktk nchi ya kiAfrika ungesikia machawa wakichagiza, wakijitokeza na mabango ktk ofisi za kudumu za balozi zilizotoa lugha kali au 'matusi' zifungwe au balozi wa kudumu atimuliwe mara moja !
 
Prof Kennedy Gastorn was on Tuesday fired
Mr. Gastorn Served as Secretary-General of the Asian-African Legal Consultative Organization (AALCO) in New Delhi, India, beginning in 2016 - 2020. He previously served as National Convenor for the Rule of Law Forum of his country’s International Development Law Organization from 2015 to 2017.

Director of International Affairs of the University of Dar es Salaam, Tanzania and the immediate past Head of the Department of Public Law, University of Dar es Salaam School of Law. He was also a member of the National Environmental Advisory Committee in the Vice President’s Office United Republic of Tanzania.

Mr. Gastorn holds a doctorate in law from the University of Bayreuth in Germany (2007), as well as bachelor’s and master’s degrees from the University of Dar es Salaam, United Republic of Tanzania. Source : Prof. Kennedy G. Gastorn | Tanzania Foreign Ministry Official List
 
Aliyefutwa Kazi Nchi Nyingine Alitakiwa Atupwe Ndani Haraka Haraka
 
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na Balozi nchini Marekani, Prof. Kennedy Gastorn Jumanne alifutwa kazi kutokana na kashfa ya ufisadi ambayo maelezo yake hayakuwekwa wazi.

Uamuzi huo wa ghafla ulikuja miezi kadhaa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje Liberata Mulamula kwa madai ya “kuvuka mipaka” alipokuwa katika ujumbe ulioongozwa na Makamu wa Rais Philip Mpango wakati ziara ya Marekani kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mwaka 2022.

Uamuzi huo unamruhusu Rais Samia kufanya mabadiliko ya kimkakati ndani ya Serikali yake, yanayoonekana kama sehemu ya matayarisho ya ndani ya Kisiasa akiwa tayari kutetea mamlaka yake katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.

=================

Tanzania's permanent representative to the United Nations and ambassador to the United States, Prof Kennedy Gastorn was on Tuesday fired over a corruption scandal whose details were not disclosed.

The abrupt decision came several months after Presient Samia Suluhu Hassan fired Foreign Minister Liberata Mulamula over alleged “overstepping” while in a delegation led by Vice President Philip Mpango during a tour of the US for the UN General Assembly last year.

The decision on Tuesday allows President Hassan to make strategic changes within her government, seen as part of the preparations on the domestic front politics in readiness to defend her incumbency in the 2025 general election.

The President appointed Chief Secretary Hussein Katanga, her closest aide at State House, to take over as envoy to the UN in New York and ambassador in Washington DC, and promoted Moses Kusiluka from permanent secretary in the President's Office to Chief Secretary, replacing Mr Katanga.
Reshuffle

The Director General of the Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), Diwani Athumani, has been moved to replace Mr Kusiluka. Mr Athumani's former deputy at TISS, Said Masoro, a Zanzibari, will now head the spy agency.

The new appointments take effect immediately, according to a statement from presidential spokesperson Zuhura Yunus.

Announcing the changes herself in a televised address from State House Dar es Salaam on Tuesday night, President Hassan said Prof Gastorn's recall had been prompted by general concerns raised in parliament last November over "funds misuse and abuse of power" in Tanzania's foreign embassies.

She did not give details of the specific allegations against the 46-year-old lawyer and diplomat who had held the dual positions since March 2020, but said his sacking marked the "start of government efforts to clean house and restore proper status in all its diplomatic offices abroad."

With the latest appointments, President Hassan appears to be consolidating her power base ahead of the 2025 elections when she will be seeking elective presidency for the first time.

There is speculation of a looming cabinet reshuffle with political analysts saying, she is likely to get rid of “detractors” and replace them with "loyalists".

The President herself hinted as much at a ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) National Congress in Dodoma last month when some party heavyweights insisted that there were some “detractors” within the ruling party who were derailing the implementation of the 2020 election manifesto.

She has made it clear that she intends to run for election by popular mandate in 2025 after initially being elevated from the position of vice president by constitutional decree following President John Pombe Magufuli's death in March 2021.

Under the current Tanzania constitution, by October 2025 President Hassan will have served more than two-thirds of what would have been Magufuli's second term, making her eligible to run for only one full term of elective office.

THE EASTAFRICAN
Ifike mahali; wasomi kama hawa wawe wananyang,anywa u-Profesa. Jopo la Maprofessa wenzao waliopo vyuoni, wapewe mamlaka ya kuunyakua u-profesa wao
 
Maprofesa wake vyuoni wahangaike na tafiti
Bado na utafiti wataendelea kufanya pia; kwa sababu swala la kumnyang'anya mtu cheo ni la sekunde kadhaa tu. Ni swala tu la watu kutoa tamko la dakika 5 kupitia vyombo vya habari
 
Nimemaanisha wasiwe wanateuliwa kwenye nyadhifa serikalini,wakae vyuoni au taasisi za utafiti wafanye tafiti
 
Ukumbuke hizi ni tuhuma so wanahaki hadi itakapothibitishwa vinginevyo.
Ni vyema kiongozi mkuu akawa na kifua cha kudhibiti hisia zake.
Kuna wengi wameharibiwa majina bila sababu na rais kamwe hawezi kuja kusimama kuwasafisha
Vipi mahakama zetu na vyombo vingine kama TAKUKURU havihusiki katika kuwachunguza na kuwashitaki viongozi? Viongozi wengi wamehusishwa na rushwa na ubadhilifu wa mali za umma ila mara ya mwisho kiongozi kupelekwa mahakamani ni lini? Hata kazi wanapoteza halafu baada ya muda wanateuliwa tena bila kusikia kama kulikuwa na uchunguzi wowote umefanyika dhidi yao.
 
mbombo ngafu ndiokwaaaanza kazi inaanza , yaani watajua hawajui maana bi mkubwa wao kaanza kazi rasmi Kinana JK etal ndio wanaongoza nchi kaeni mkao wa bata batani , naona na znz nao wametoa DG wa vipenyo , mwaka umeanza kwa fujo sana huu
 
Wadau naomba jibu hapa:-

Tanzania's permanent representative to the United Nations and ambassador to the United States, Prof Kennedy Gastorn was on Tuesday fired over a corruption scandal whose details were not disclosed.

Mlio karibu na mambo haya hebu fungukeni.
 
Permanent representative to the United Nations ana ofisi yake New York. Ambassador to the United States ni mtu tofauti na ofisi yake iko Washington D.C.
 
Back
Top Bottom