umoja wa mataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wakati nchi za EAC zikiunga mkono Azimio la Baraza la Usalama UN kuitaja Urusi kuondoka Ukraine, Tanzania ili-dodge kikao

    Habari Wadau. Wakati Nchi wanachama wa EAC Zikiunga Mkono azimio la Umoja la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuitaka Russia kuondoa Majeshi yake vamizi Nchini Ukraine,Tanzania imekimbia Kikao bila kutokea kwenye upigaji kura. Kuliko Nchi yetu kuendelea kukimbia vikao vya UN mara kutopoga...
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania Uganda yasitisha shughuli za Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu nchini humo

    Serikali yasitisha shughuli za Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu (OHCHR) nchini Uganda OHCHR, idara ya Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa, imepewa mamlaka ya kukuza na kulinda furaha na utambuzi kamili kwa watu wote, na haki zote zilizowekwa katika Mkataba wa Umoja wa...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania UN: 50% ya dawa eneo la Afrika Magharibi ni feki au hazikidhi viwango

    Umoja wa Mataifa (UN) imetoa angalizo hilo katika ripoti yake kuhusu biashara haramu ya bidhaa za matibabu. Biashara hiyo inaweza kusababisha dawa za kuua wadudu kutofanya kazi au maambukizi ya magonjwa hatari, pia kudhoofisha mifumo ya afya kwa watumiaji. Kati ya Januari 2017 hadi Disemba...
  4. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Mcheza Filamu Maarufu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa (IFAD), Davos, Uswizi akutana na Rais Samia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amemuondoa Prof. Kennedy Gastorn Umoja wa Mataifa kwa kashfa za Rushwa na Ufisadi

    Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na Balozi nchini Marekani, Prof. Kennedy Gastorn Jumanne alifutwa kazi kutokana na kashfa ya ufisadi ambayo maelezo yake hayakuwekwa wazi. Uamuzi huo wa ghafla ulikuja miezi kadhaa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Waziri wa...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Msumbiji yachukua nafasi ya Kenya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC)

    Taifa hilo kutoka Kusini mwa Afrika limeingia rasmi katika #BarazalaUsalama la Umoja wa Mataifa (UNSC), likianza muhula wa miaka 2 baada kuchaguliwa Juni 2022 pamoja na Nchi za #Ecuador, #Japan, #Malta na #Switzerland. Msumbiji inaungana na #Ghana na #Gabon kuhudumu katika Baraza hilo, huku...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa waiondolea DRC zuio la kununua Silaha mpya

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limechukua hatua hiyo iliyowekwa kwa Majeshi ya Serikali ya DRC kutonunua Silaha mpya hadi wapate kibali kutoka Kamati ya Vikwazo ya UN. Wajumbe wa Baraza hilo wamesema wanatambua Hali Mbaya ya Usalama nchini humo na hivyo kuondoa vikwazo hivyo ni katika...
  8. Jackal

    JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani linataka Urusi iondolewe kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Congress Wants to Boot Russia From U.N. Security Council The Biden administration is also interested in watering down Russia’s influence at the United Nations. By Jack Detsch, a Pentagon and national security reporter at Foreign Policy., and Amy Mackinnon, a national security and intelligence...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Marekani yafanikisha kuiondoa Iran kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa la ECOSOC

    Umoja wa Mataifa kupitia Baraza la Uchumi na Kijamii la Umoja wa Mataifa limepiga Kura na kuchukua hatua hiyo baada ya kuripotiwa matukio mengi ya Ukatili dhidi ya Wanawake na Wasichana nchini humo. Pia, Baraza Kuu la Kimataifa linalopigania Usawa wa Kijinsia chini ya Ufadhili wa Marekani...
  10. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Tozo hadi malipo UN (Umoja wa Mataifa)

    SAMAHANINI, mdogo wangu anafanya kazi Serikalini, amenisumbua nimtumie pesa za matumizi huko DSM alihitaji kununua vitu, nilipomuuliza alienda kufanya nini, akasema alikuwa anafanya shughuli na shirika moja na UN na badala ya kuwalipa malipo ya kiUN, wamewalipa malipo ya kibongo, walipouliza...
  11. JumaKilumbi

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Morocco 🇲🇦 na Sahara Magharibi, kisa na mkasa

    Na Jumaa Kilumbi 10.11.2022 KaskazIni Magharibi mwa Afrika kuna mzozo kati ya nchi ya Morocco na nchi ya Jamhuri ya Waarabu ya Kidemokrasia ya Sahara (Sahrawi Arab Democratic Republic, SADR, Sahara Magharibi). Morocco inadai kuwa Jamhuri ya Sahara Magharibi ni sehemu ya nchi yake huku Jamhuri...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo

    Kwa mujibu wa Mkurugenzi wake wa Mawasiliano Hussein Mohamed, Rais William Ruto atatoa hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) leo Jumatano saa 3 usiku katika Jiji la New York, Marekani. Katika hotuba yake ya kwanza kwa Umoja wa Mataifa, Ruto...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania RIPOTI UN: Rais Maduro anatumia Idara za Usalama kufanya uhalifu dhidi ya binadamu

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa imemtaja Rais Nicolás Maduro kuhusika na kuagiza vyombo vya usalama kutekeleza unyanyasaji dhidi ya wakosoaji kwa lengo la kufuta kabisa upinzani nchini humo. Maduro na kiongozi wa chama tawala cha PSUV, Diosdado Cabello wametajwa kutoa amri kwa Idara za Kijasusi...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Libya: Umoja wa Mataifa watoa wito wa kusitishwa mapigano

    Wito umetolewa kusitishwa mara moja kwa mapigano makali yanayohusisha makundi mawili ya Kisiasa yanayowania kuchukua Utawala wa Serikali katika mji mkuu wa Tripoli. Taarifa ya Umoja wa Mataifa iliyoungwa mkono na Balozi wa Marekani nchini Libya, Richard Norland imesema kuwa mapigano hayo...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa kwa Vijana leo

    Ikiwa leo dunia inaadhimisha siku ya vijana duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa jamii kuwasaidia vijana kwa kuwekeza kwenye kuwapatia elimu na kuwajengea uwezo wa kiujuzi kupitia mikutano pamoja na kufanya mabadiliko katika mifumo ya elimu. Vijana, ni nusu...
  16. AMRANI NURUDINI SAMWAJA

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kwanini vijana wa Tanzania wenye ndoto za kupata fursa za kiuchumi, elimu, kujitolea katika nchi za Umoja wa Mataifa huishia kutapeliwa

    KWANINI VIJANA WA TANZANIA WENYE NDOTO ZA KUPATA FURSA ZA AJIRA,ELIMU,KUJITOLEA KATIKA NCHIZA ZA UMOJA WA MATAIFA( NCHI ZA NJE) HUISHIA KUTAPELIWA,KUPATA VYUO VYA UCHOCHORONI AU KUKOSA NAFASI KABISA? Tanzania ina vijana wasomi Tena wengi sana kutokana na wimbi la kukosekana ajira wanajikuta...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Umoja wa Mataifa afukuzwa DRC

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imemtaka msemaji wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa, Mathias Gillmann kuondoka Nchini humo haraka iwezekanavyo baada ya Wizara ya Mambo ya Nje kumshutumu kwa kutoa "taarifa zisizoeleweka na zisizofaa" kuhusiana na Nchi hiyo Takriban watu 30...
  18. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Hatari: UN yatoa tahadhari kuhusu UKIMWI

    Umoja wa Mataifa umesema jana kasi ya kupunguka kwa AIDS imepunguka. KUNDI LA MSINGI LILILOATHIRIWA Nchini Marekani, mashoga wa kiume wamejumuisha zaidi ya robo tatu ya visa vyote vya UKIMWI. Asilimia ya mashoga kati ya jumla ya wagonjwa wote wa UKIMWI imebakia kluwa vile vile. Ulaya, mashoga...
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Watano wauawa katika maandamano ya Kupinga Vikosi vya Umoja wa Mataifa Nchini DR Congo

    Takriban watu watano wameuawa na wengine hamsini kujeruhiwa katika siku ya pili ya maandamano ya kupinga vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mamia ya Waandamanaji wanadaiwa kulazimisha kuingia katika kituo cha ujumbe wa...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Julai 25: Siku ya Kuzuia Kuzama Maji Duniani (World Drowning Prevention Day)

    Mnamo Aprili 2021, UN ilipitisha Julai 25 kuwa Siku ya Kuzuia Kuzama Maji Duniani inayolenga kuangazia athari za Ajali hizo na kuweka mikakati ya kuzizuia Kuzama kunatajwa kuwa tatizo kubwa la Afya ya Umma duniani, na inakadiriwa watu wapatao 236,000 huzama kila mwaka. Inaelezwa kuwa, Nchi za...
Back
Top Bottom