Umoja wa Mataifa (UN) yafikiria kusitisha shughuli zake Nchini Afghanistan

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Umoja wa Mataifa unaangazia kusitisha shughuli zake nchini Afghanistan baada ya Taliban kuwazuia wanawake kufanya kazi kwenye mashirika ya umoja huo nchini humo.

Taarifa iliyoachapishwa mapema leo imesema, ujumbe wa Umoja wa Mataifa umesema zuio hilo la Taliban linakiuka sheria ya kimataifa na kwa maana hiyo hawakubaliani nao.

Umoja huo aidha umezionya mamlaka za Taliban kuwa tayari kubeba mzigo utakaosababishwa na kile ilichokitaja kama mzozo kwa watu wa Afghanistan.

Taliban iliwaagiza wafanyakazi wanawake kuacha kazi kwenye mashirika hayo, isipokuwa kwa majukumu muhimu tu, ikiwa ni hatua ya karibuni zaidi katika msururu wa vizuizi dhidi ya wanawake kufanya kazi.

//////////////////////

UN to review presence in Afghanistan following Taliban ban

The United Nations said Tuesday it is reviewing its presence in Afghanistan after the Taliban barred Afghan women from working for the world organization — a veiled suggestion the U.N. could move to suspend its mission and operations in the embattled country.

Last week, Afghanistan's Taliban rulers took a step further in restrictive measures they have imposed on women and said that Afghan women employed with the U.N. mission could no longer report for work. They did not further comment on the ban.

The U.N. said it cannot accept the decision, calling it an unparalleled violation of women’s rights. It was the latest in sweeping restrictions imposed by the Taliban since they seized power in Afghanistan in August 2021 as U.S. and NATO troops were withdrawing from the country after 20 years of war.

The Taliban have banned girls from going to school beyond the sixth grade and women from most public life and work. In December, they banned Afghan women from working at local and nongovernmental groups — a measure that at the time did not extend to U.N. offices.

Tuesday's statement by the U.N. said its head of mission in Afghanistan, Roza Otunbayeva, has "initiated an operational review period" that would last until May 5.

During this time, the U.N. will “conduct the necessary consultations, make required operational adjustments, and accelerate contingency planning for all possible outcomes,” the statement said.

It also accused the Taliban of trying to force the U.N. into making an “appalling choice” between helping Afghans and standing by the norms and principles it is duty-bound to uphold.

“It should be clear that any negative consequences of this crisis for the Afghan people will be the responsibility of the de facto authorities,” it warned.

Aid agencies have been providing food, education and health care support to Afghans in the wake of the Taliban takeover and the economic collapse that followed it. But distribution has been severely impacted by the Taliban edict banning women from working at NGOs — and, now, also at the U.N.

The U.N. described the measure as extension of the already unacceptable Taliban restrictions that deliberately discriminate against women and undermine the ability of Afghans to access lifesaving and sustaining assistance and services.

Source: Yahoo
 
Hiyo nchi waachwe tu, wameshindwa jilinda pamoja na vifaa walivyopewa
 
Wa kulaumu ni USA aliyeondoka hapo na kukabidhi nchi kwa Taleban. He did a terrible mistake!
 
Hiyo nchi waachwe tu, wameshindwa jilinda pamoja na vifaa walivyopewa
Hakuna viumbe duni na dhalili kama waarabu... fikiria dakika mbili tu yalikua nashangaa Taliban ikichukua nchi pamoja na jeshi la nchi houo kujengewa uwezo kwa miaka mingi!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom