Wapalestina 200,000 wabaki bila makazi, wanaishi kwa misaada ya Umoja wa Mataifa (UN)

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,440
Huku Waarabu weusi wa Bongo wakiendelea kuchekelea na kufurahia uchokozi wa HAMAS kisa ni ndugu zao katika dini, ifahamike wahanga wa hii vita ni hao hao Wapalestina ambao mabomu yamelipua makazi yao na wameishia kwenda kuishi kwa misaada ya wazungu.

Mataifa ya Waarabu na Iran wapo pembeni hawajui la kufanya...
======================

At least 200,000 Palestinians have been displaced in the Gaza Strip amid ongoing Israeli airstrikes, the UN humanitarian office said on Tuesday.

“In Gaza, at least 200,000 of the 2.2 million residents have been displaced after fleeing for fear of their lives or their houses were destroyed by airstrikes,” the UN Office for the Coordination of Humanitarian Affairs (OCHA) said in a statement.

“Most of them are taking shelter in UNRWA (UN Relief and Works Agency) schools, at least two of which have already been damaged by airstrikes in the area,” it added.

The UN office feared that the number of displaced Palestinians in Gaza would increase amid continuing Israeli attacks and Hamas rocket fire.

The situation escalated in the Gaza Strip following an attack by Palestinian group Hamas on Israeli towns near the seaside territory. Israel retaliated with massive airstrikes in Gaza and placed the enclave under total blockade.

More than 1,800 people were killed in the violence, including at least 830 Palestinians and 1,000 Israelis.

Israel has also cut water and electricity supply to Gaza, inevitably worsening the already dire humanitarian situation.

Home to nearly 2.2 million people, the Gaza Strip has already been reeling under a crippling Israeli siege since 2007.
 
Hii bado ni trailer tu, mpaka waseme yote.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
kwann wasiwakatae hao HAMAS ?
Ndiyo maana mimi sasa hivi nikiwaona wanavyolia na kubeba maiti za watoto wao kuzionyesha hadharani naona kama wamechanganyikiwa tu.Wanakumbatia tatizo halafu wapo kupanua midomo yao hadi unaona makoromeo yao wakilia ili waonewe huruma.Wameamua kuwatoa sadaka watoto wao ili mradi tu wawafiche HAMAS.Acha wachapike mpaka akili ziwakae sawa.
 
Ona sasa wanauwawa mpaka watoto wadogo wasiokuwa na hatia.
 
Ndiyo maana mimi sasa hivi nikiwaona wanavyolia na kubeba maiti za watoto wao kuzionyesha hadharani naona kama wamechanganyikiwa tu.Wanakumbatia tatizo halafu wapo kupanua midomo yao hadi unaona makoromeo yao wakilia ili waonewe huruma.Wameamua kuwatoa sadaka watoto wao ili mradi tu wawafiche HAMAS.Acha wachapike mpaka akili ziwakae sawa.
Hii vita suluhu iwe ni nini?
Maana wayahudi wanazidi kutanua makazi tofauti na mkataba wa awali wa mgawanyo. Na wamekua wakiwatesa majirani zao. Hebu toa neno.
Mind you mimi sina ushabiki hapa. Yangu, ya ndugu zangu na ya nchi hii tu yananitosha.
 
Ndiyo maana mimi sasa hivi nikiwaona wanavyolia na kubeba maiti za watoto wao kuzionyesha hadharani naona kama wamechanganyikiwa tu.Wanakumbatia tatizo halafu wapo kupanua midomo yao hadi unaona makoromeo yao wakilia ili waonewe huruma.Wameamua kuwatoa sadaka watoto wao ili mradi tu wawafiche HAMAS.Acha wachapike mpaka akili ziwakae sawa.
Aisee.
 
Update
Israeli death toll rises to more than 1,200
While 900 Palestinian have killed so far.

Source:BBC
 
Mungu huyo, Alishindwaje kuwasaidia kabla ya vita kuanza?

Mungu huyo Hayupo.

Mungu gani ana shuhudia vita na maelfu ya watu wakifa afu yeye katulia zake huko aliko?

Kama Mungu huyo yupo, Basi ni mkatili sana.
Hiyo ndiyo ukisikia free will.

Ufanye mema au ufanye mabaya, Mungu hayampunguzii wala hayamzidishii.

Kazi ni kwako.
 
Back
Top Bottom