umoja wa mataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Je ni nani Mwenyekiti wa Umoja wa Mataifa?

    Napenda Kuuliza Tumezoea kuona Taasisi kubwa Duniani zikiwa na uongozi kamili kuanzia Ngazi ya juu hadi ngazi ya Mwisho leo napenda kuuliza je Ni nani Mwenyekiti wa Umoja wa Mataifa Maana Tumekuwa tukisikia cheo kimoja cha katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo apokea hati za utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini

    WAZIRI KOMBO APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thatib Kombo amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bi. Susan Namondo katika Ofisi Ndogo...
  3. econonist

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuiondoa VETO Umoja wa Mataifa

    Kwenye charter ya umoja wa mataifa maarfu kama UN Charter Ibara ya 27 (3) imeweka wazi kwamba maamuzi ya Baraza Kuu la Usalama yatapitishwa kwa Kura ya Pamoja kutoka kwa wanachama wa kudumu wa Baraza Hilo ambao ni USA, Russia, China, UK na Ufaransa. Ukisoma kifungu hicho vizuri, linataka maamuzi...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Hamas wamepora chakula chote kwenye magari 109 ya Shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi (UNRWA), Shirika lawatupia lawama Israel

    Msafara wa magari 109 ya Shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi, ulivamiwa, madereva walitishiwa bunduki washuke, misaada yote imeibiwa, magari 97 hayaonekani. Baadhi ya magari yalibeba ngano iliyotakiwa kupelekwa kwenye viwanda vya ngano vya umoja wa matafa Gaza, viwanda hivi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Utafiti unafanywa kupendekeza Israel ifukukuzwe uanachama wa Umoja wa Mataifa, Indonesia, Malaysia, Norway, Namibia, Qatar zikiunga mkono wazo hili

    Matukio ya hivi karibuni huko Gaza na Lebanon ambayo yameonwa na wadau wengi kuwa ni ukiukwaji mkubwa wa Israel wa haki za binadamu na kuvunja kanuni za Umoja wa Mataifa, yamefanya baadhi ya nchi kuanza mkakati wa kuandaa pendekezo la kuwaondolea Israel uanachama wa Umoja wa Mataifa. Nini...
  6. econonist

    JamiiForums Tanzania Iran yapeleka malalamiko rasmi Baraza la Usalama la umoja wa mataifa

    Iran imepelekea ombi mbele ya Baraza la Usalama la umoja wa mataifa likitaka kulijadili Israel kutokana na mashambulizi yake ndani ya eneo la Iran. Ombi Hilo limeungwa mkono na Urusi, China na Algeria. Iran inadai Israel imetenda kosa Chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1945...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Wapalestina waneemeka na chakula kingi cha msaada wa umoja wa mataifa baada ya walinzi wa magodauni ya hamas kulikimbia jeshi la Israel

    moved
  8. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Oktoba 24: Siku ya Umoja wa Mataifa, una maoni gani kwa Taasisi hii ya Kimataifa na mchango wake kwenye masuala ya amani duniani?

    Siku ya Umoja wa Mataifa huadhimishwa Oktoba 24 kila mwaka ikiwa ni lengo la kukuza Amani, Usalama, Ushirikiano kati ya Nchi na Nchi na Maendeleo ya Haki za Binadamu duniani kote. Hati rasmi ya siku hii ilitiwa saini mwaka 1945 lakini siku hii ilianza kuadhimishwa mwaka 1948 na baadaye, mwaka...
  9. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Rais Macron wa Ufaransa amwambia Netanyahu asisahau kuwa Israel imepatikana kwa azimio la Umoja wa mataifa 1948 hivyo aache kuidharau

    Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo. Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana. Tafadhali naomba wale wazee wa miaka...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Netanyahu asema umoja wa mataifa lazima iondoe haraka majeshi yake Lebanon, asema uwepo wao unasaidia kuimarisha magaidi ya Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau ameicharikia UN na kuitaka iondoe mara moja majeshi yake Lebanon akiashiria yamekuwa kikwazo kwenye operesheni za kijeshi dhidi ya magaidi hao. Netanyahu amemueleza Antonio Guterres Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa katika ujumbe wa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Antonio Guterres apigwa marufuku kukanyaga Israel kwa kushindwa kulaani shambulizi la Iran na kuunga mkono magaidi

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Israel imempiga marufuku personal non grata Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa Antonio guterres kwa kushindwa kulaani shambulizi la makombora ya masafa marefu ya Iran dhidi ya Israel. Israel pia inamtuhumu kuwa na sera zenye uelekeo wa kutetea na kuunga...
  12. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya Kwanza UN yawalaani Hamas - Katibu mkuu aongea kwa masikitiko unafiki umemshinda Dunia imejifunza kuwa utekaji sio tabia ya kibinadamu

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres analaani Hamas kwa kutoruhusu Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu kuwatembelea mateka huko Gaza. "Ningependa kulaani ukweli kwamba Shirika la Msalaba Mwekundu haliruhusiwi hata kuwatembelea mateka hao," Guterres anasema, katika hotuba yake...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Lebanon asema watatekeleza azimio la umoja wa mataifa kwa kupeleka Jeshi mpaka wao wa Kusini kuchukua nafasi ya Hezbollah!

    Wadau hamjamboni nyote? Huku dalili zikiwa dhahiri kuwa muda wowote IDF wataanzisha operesheni ya ardhini Kusini mwa Lebanon Waziri Mkuu wa nchi hiyo amesema kuwa sasa wapo tayari kupeleka Jeshi kulinda amani kwenye mpaka wake uliopo Kusini badala ya Jeshi la Hezbollah Taarifa kamili hapo...
  14. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya China yaendana na “Mkataba wa Zama Zijazo” wa Umoja wa Mataifa

    Mkutano wa Kilele wa Zama Zijazo wa Umoja wa Mataifa hivi karibuni ulipitisha “Mkataba wa Zama zijazo”, ambao unaelezea muhtasari wa maendeleo ya siku zijazo duniani. Lengo la Mkataba huo ni kuboresha mfumo wa usimamizi wa dunia, na kustawisha utaratibu wa pande nyingi, ili kukabiliana vizuri na...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mabunge Duniani wajihakikishia ushirikiano endelevu na Umoja wa Mataifa

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amethibitisha kuwa ushirikiano endelevu baina ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Umoja wa Mataifa (UN) ni wa muhimu katika kutekeleza ajenda mbalimbali za pamoja kwa manufaa ya...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Rais Samia hajaenda New York kuhudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa?

    Tangu aapishwe Rais Samia amekuwa akihudhuria kila mualiko anaoupata kutoka nchi za nje na Jumuiya za Kimataifa. Lakini ajabu safari hii amemtuma Kassim Majaliwa kumuwakilisha na badala yake yuko Songea kuhudhuria tamasha la utamaduni! Je ameogopa maandamano ya yule dada Mange ambaye alikuwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Aimiminia Sifa Na Pongezi Tanzania kwa Kuwa Kinara wa Amani Barani Afrika.

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Antonio Guterres Ameimiminia sifa na pongezi kubwa sana Tanzania chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kuwa Kinara wa Amani...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Balozi Yakubu akutana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Comoro, James Tsok Bot

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Comoro, Mhe. James Tsok Bot aliemtembelea Ubalozini tarehe 17 Septemba, 2024. Katika mazungumzo yao wamezungumzia maeneo kadhaa ya ushirikiano mintarafu uwakilishi wao nchini Comoro.
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Angellah Kairuki: Tanzania imepata fursa ya kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN )

    Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Tanzania imepata fursa ya kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN ),Kanda ya Afrika kuhusu utalii wa vyakula vya asili litakalofanyika mwaka 2025. Ameyasema hayo leo jijini Victoria...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yaomba Umoja wa Mataifa usaidie kuachiwa kwa mateka Warusi walioshikiliwa na HAMAS

    Hivi kama shida yenu huwa Marekani na Israel, hawa Warusi mumewashikilia kwanini, ukizingatia Urusi huwashobokea hususan kwa kubwa la magaid yenu Iran. ============== June 11 (Reuters) - Russia's Human Rights Commissioner said on Tuesday she had issued a fresh appeal to senior U.N. and other...
Back
Top Bottom