umoja wa mataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Umoja wa Mataifa unatambua ‘internet’ kama haki ya binadamu?

    Julai 2016, Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa (UN) lilitambua na kuweka wazi kuwa Upatikanaji wa Matandao ni haki ya msingi ya binadamu. ‘Internet’ ni moja kati ya namna ya kuongeza uwazi kwa kuongeza ushirikishwaji wa wananchi katika kujenga jamii inayojali demokrasia...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wahimiza kuheshimiana kwa dini zote na imani ili kukuza utamaduni wa udugu na amani

    Mwakilishi Mkuu wa Muungano wa Umoja wa Mataifa (UN), Miguel Angel Moratinos, amehimiza kuheshimiana kwa dini zote na imani na kukuza utamaduni wa udugu na amani. Moratinos, katika taarifa yake ya maandishi, ameelezea wasiwasi mkubwa juu ya visa vinavyoongezeka na mvutano uliosababishwa na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Afisa wa Umoja wa Mataifa hapa nchini akana gari zilizotumia namba za UN huko Hai kwenye tukio la kushambulia walinzi wa Mbowe

    Ni Zlatan Milisic ambae ni UN Resident Coordinator kwa hapa nchini na ameandika hivi kupitia twitter: Fake UN plates! I wish to clarify that cars with UN license plates reported in Hai today at more than one location have nothing to do with the UN. They are not UN cars; these are not official...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anasisitiza amani Tanzania

    Umoja wa Mataifa watoa wito kwa viongozi wa kisiasa na wafuasi wao kujiepusha na visa vya vurugu nchini Tanzania Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa Tanzania kuhakikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 unafanyika kwa njia ya amani. Katika taarifa siku ya Jumatatu iliyotolewa kwa niaba ya Bw. Antonio...
  5. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Guterres: Hatutakiwi kuyasahau hata maisha ya mtu mmoja aliyetutoka

    Vifo vinavyotokana na maabukizi ya virusi vya corona vimezidi watu milioni moja, kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu cha John Hopkins, huku Shirika la Afya Duniani likionya kuwa idadi hiyo inaweza kuwa ndogo zaidi ikilinganishwa na uhalisia kutokana na changamoto katika upatikanaji wa takwimu...
  6. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Nini kitarajiwe kutoka Mkutano Mkuu wa Baraza la Umoja wa Mataifa?

    Umoja wa Mataifa unatimiza miaka 75 mwaka huu; Mkutano Mkuu wa Baraza la Umoja wa Mataifa ulitakiwa kuwa mkutano mkubwa hasa kutokana na kusherehekea Jubilee hiyo ya Platinamu. Kama ilivyokuwa kwa miaka 74 iliyopita, viongozi kutoka mataifa mbalimbali duniani husafiri na kukusanyika mjini New...
  7. middo lulyheart

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri Kabudi Umoja wa Mataifa - UN, kwa niaba ya rais Magufuli - 27 Septemba 2019

    Leo Mh Paramagamba Kabudi amehutubia mkutano wa 74 wa Umoja 2a Taifa jijini NewYork marekani. Tanzania tumedhamiria kubadili maisha ya watu wetu: Kabudi Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania akihutubia Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa...
  8. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania UN kupinga mradi wa Steigler's Gorge ni uhujumu

    Nimesoma katika gazeti la The Guardian on sunday, tar 25 Feb 2018, ati UN(Umoja wa Mataifa), wanapinga kujengwa kwa kituo cha kuzalisha umeme kiasi cha 2,100MW ati kwa sababu za mazingira. Huu ni uhujumu, full stop! UN inatumiwa tu, ili ujumbe uonekane ati unatoka chombo ambacho ni fair...
Back
Top Bottom