Wakuu
Walee tunaonunua ndinga mikononi mwa watu bila kubadili umiliki tumefikiwa.
TRA imesema kuanzia January 20 itaanza kutumia mfumo unaoitwa IRAS ambao hautaruhusu alieuziwa chombo cha moto kubadili umiliki, badala yake alieuza chombo hicho ndiye atakua na uwezo wa kubadili umiliki pekee...
Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri mkubwa, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali
Mimi Mr Why nataka nishare experience yangu ya umiliki wa nyumba na ardhi
Nimemiliki nyumba na ardhi kwa muda mrefu lakini havikunipa fedha za kutosha
Mwanzo nilidhani kuwa...
Taarifa hii inaonyesha kuwa kuna utata katika uhamisho wa leseni za madini kutoka kampuni ya Bafex Mining kwenda Shanta Mining.
Hapa kuna mambo machache ambayo yanaweza kutokea:
Uhamisho wa leseni haukuendana na sheria: Huenda sheria za Tanzania zinahitaji serikali kuwa na hisa fulani katika...
Kwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba na Umiliki wake wa Crown Media ( halafu zingatieni pia katika Body Languages zao ) na mkimaliza...
Wazo hili linahusu matumizi ya teknolojia ya blockchain katika usimamizi wa ardhi na hati za umiliki ili kuongeza uwazi, usalama, na ufanisi katika sekta ya ardhi nchini Tanzania.
Blockchain ni teknolojia ya kuhifadhi taarifa katika mfumo wa kidijitali ambao ni salama na haubadiliki. Kila...
Kwa asilimia kubwa Sana taifa limekua liki tafuta na kuwepo katika jukwa la kimataifa kuzungumzia utajiri hasiria ambao Umekua kua ukichangia Sana katika pato la taifa pamoja na watu binafsi. Uwepo wa utajiri huo Bado ahutoshi kua kitambulisho cha taifa leo hii uki uliza watu waliopo Nje ya nchi...
Habari za muda huu ndugu zangu,
naombeni msaada wenu, nimenunua nyumba mwezi mmoja sasa hapa jijini dar es salaam, mita ya maji na lukuya umeme inasoma majina ya mwenye nyumba wa zamani (ambaye ameniuzia mimi), nilikuwa naomba utaratibu wa kufata ili niweze kubadili majina pamoja na namba ya...
junta WA Mali anataka umiliki wa migosi ya dhahabu asilinia 30 huku akitageti kuumiliki Moja kwa .ojo mgodi mku WA WA barrick kama watadelay kukubali umilikiwa hisa asilimia 30.Tanzania ya mama Samia inakwama wapi?
Ukibadilisha umiliki wa biashara binafsi kwenda kampuni inabidi upate tin no nyingine ya kampuni ambayo ni tofauti na ile ya mwanzo (biashara binafsi)
swali.
Endapo tin no ya mwanzo ina deni (TRA) , je hilo deni litaamishiwa kwenye kampuni?, au litabaki kwa mtu binafsi?
Ahsanten
Habari.
Nina nyumba ninataka kuiuza. Ila kiwanja kimeshapimwa lakini hati ya umiliki bado haijatoka.
Je, ninaweza kuuza bila ya hati ya umiliki kutoka? Na ni taratibu gani ninatakiwa kuzifuata ikiwa taarifa za upimaji wa ardhi zilichochukuliwa ni zangu?
habari wadau.
wataalamu wa sheria naomba majibu yenu.
JUMA anamiliki kiwanja chenye sqm 1200.
amepatwa na shida ameamua kumuuzia AMINA sehemu ya kiwanja chake. kamuuzia sqm 400 na yeye JUMA amebaki na Sqm 800.
wameandikishana kwenye mkataba wao wa makubaliano. kuwa baada ya kupokea hela...
Sambamba na hilo, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mzee wa miaka 80 mkazi wa Kijiji cha Madundasi Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya aitwaye PASCAL MWANGO kwa tuhuma za kupatikana na bunduki aina ya Gobole bila kuwa na kibali cha umiliki halali.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin...
ISHMAEL ALIZAA MASEYIDI(WATOTO) 12 AMBAO NDIO WAARABU WA LEO. ENEO LAO LA UMILIKI NI KUANZIA SAUDI ARABIA KUELEKEA Ashuru NA MASHARIKI YA MISRI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kuna Watu wengi wanachanganya Madesa, kuchanganya waarabu na jamii zisizo na uhusiano na waarabu. Jamii za waarabu...
Serikari haina umiliki halali yaani moja kwa moja wa mafuta ya hakiba hivyo hupelekea mlipuko wa bei.
Bei hupanda na kushuka hata kama kuna changamoto zinazo epukika mfano plani ya miaka kadhaa katika sekta.
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Simba kucheza mpira usiovutia, au wengine wanaita papatu papatu. Kuna wengine wamekuwa wanasifia uchezaji wa Yanga hivi sasa. Ngoja niwagusie mbinu mojawapo ninayoijua mimi ya kuwajenga wachezaji kuweza kucheza mpira wa umiliki yaani possession football...
Mtalaka aliyefungwa jela kwa kughushi umiliki wa ghorofa la wanandoa kisha akapewa dhamana kusubiri rufaa aliyokata, amerejeshwa gerezani kumalizia kifungo.
Tuwaha Samson Muze, ambaye alikuwa mtunza fedha wa kampuni ya World Wide Movers, alihukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Dar es...
Ikumbukwe wakati sheria ya kulinda rasilimali za taifa inatungwa mwaka 2017 Mh Waziri mkuu alikuwepo,Spika alikuwepo wakati huo alikuwa Naibu Spika,Rais alikuwepo wakati huo alikuwa Makamu wa Rais,Waziri wa fedha alikuwepo wakati huo alikuwa Waziri wa Sheria, na wabunge waliopitisha bungeni ni...
Ardhi ni rasilimali hitajika katika nyanja za kiuchumi, kijamii, kisiasa. Mahitaji ya ardhi yakuwa kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu na shughuli za kiuchumi. Serikali ya Tanzania Kwa kujua umuhimu wa ardhi imeweka wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi kwaajili ya kuratibu...
Kinadharia, rasilimali za Tanzania, ikiwemo bandari, ni mali ya wananchi (umma) wa Tanzania. Kiuhalisia, mwenye maamuzi ya kuhusu lolote linaloweza kufanyika kwenye bandari ni Rais wa JMT. Kutokana na huu mjadala unaoendelea sasa, pengine ni wakati muafaka Watanzania wakaanza kuwekeza kidogo...
Kwa kuwa Watanzania wameonesha kukosa uwezo wa kuendesha reli zetu, mimi kama Mtanzania mzalendo tena kindakinda, natoa ushauri kwa serikali yetu tukufu waipe DP World watuendeshee SGR yetu.
Tukiwapa reli yetu DP World tutapata mafanikio zaidi ya hayo tunayotarajia kuyapata kwa kuwapa bandari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.