Isaka Jimmy
New Member
- May 17, 2024
- 3
- 1
Kwa asilimia kubwa Sana taifa limekua liki tafuta na kuwepo katika jukwa la kimataifa kuzungumzia utajiri hasiria ambao Umekua kua ukichangia Sana katika pato la taifa pamoja na watu binafsi. Uwepo wa utajiri huo Bado ahutoshi kua kitambulisho cha taifa leo hii uki uliza watu waliopo Nje ya nchi wanahifahamu Tanzania vipi basi Uta ambiwa mlima Kilimanjaro;
Jambo Ambalo naona ni zuri lakini haikupaswa mazingira yako hasiria yawe utambulusho wako ambapo tunaweza kua na vitu vingi kua sababu ya utambulusho wetu katika majukwa ya kimataifa kama vile kushiriki mashindano ya Kiteknolojia duniani.
Mashindano ya kidiplomasia ata pia mashindano ya kisayansi. Yote haya yametokana nakutokuwepo na msukumo mzuri katika sekta za Kielimu na zile zinazo husika na eneo usika mfano ni kazi sana leo hii kumshawishi mtoto wa shule kupenda mambo ya sayansi kwakua ya mekua yakifanywa kimazoea kutoka kwa walimu wanao fundisha kwakua ni utimizaji wa wajibu kama mwalimu ila sio sabu anapenda kile afundishacho kwakua nae ame pokea kutoka kwa mtu ambae alikua akifundisha kwa kuhisi ni wajibu nasio sabu anapenda hivyo ni ngumu mtu huyo kua na uwezo wakumshawishi mwanafunzi apende sayansi ambayo leo hii ingeweza kua moja ya kitu ambacho tungeweza kutangaza katika majukwa ya kimataifa