umeme

  1. PM Majaliwa: Bwawa la umeme kukamilika Juni 2022

    Waziri mkuu wa Tanzania Bwana Majaliwa leo ametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere na kuangalia maendeleo ya ujenzi. Majaliwa ameridhika na kasi ya ujenzi wa mradi huo na amesisitiza utakamilika kwa wakati mwaka 2022 mwezi wa 6 kama majubaliano yalivyo. PM amesema...
  2. Pamoja na kwamba Taifa la Norway lina kiwango kikubwa cha gesi linategemea kwa kiasi kikubwa umeme wa maji (Hydroelectric power)

    Pamoja na kwamba Taifa la Norway lina kiwango kikubwa cha gesi linategemea kwa kiasi kikubwa umeme wa maji (Hydroelectric power) Kwenye suala la umeme uchaguzi wa kutumia umeme wa maji (hydroelectric power) ni bora zaidi ukilinganisha na vyanzo vingine vya umeme. Nchi ya Norway ni moja ya...
  3. Kuhusu Nishati ya umeme haya ndiyo yaliyoahidiwa na CCM 2020-2025 Haitakiwi kushindikana!!

    Inaonekana kuna umuhimu wa kuwakumbusha wabunge hasa watoakanao na Chama cha Mapinduzi kusoma na kitembea na vitabu vya Ilani ya CCM iwapo hawaitaki wajiuzulu mapema maana wanyonge wa nchi hii wanawasubiri kwa hamu sana mshindwe kuisimamia ilani ya CCM ili wawanyoe kwa chupa. KWA HISANI YA WANACCM
  4. Sijapata kuona wanafiki kama Watz, haya huyu muingine (aliyekua timu misifa) aibuka na kuponda mradi wa ufuaji umeme wa Stiegler

    Mojawapo wa vitu nilivyoshuhudia sana kwa Watanzania, huwa wana unafiki uliopitiliza, yaani jamaa huongea kistaarabu na wanaweza wakakakusifia mpaka ufurahi sana ila subiri uondoke, utasemwa mpaka basi. Watakuita mkuu, wataongea na wewe kwa furaha mpaka uone kama vile uko bingu nyingine...
  5. Profesa Muhongo huna credibility ya kuwashauri watanzania kuachana na mradi wa JNHPP na usidanganye watu kuwa Hydro power zimepitwa na wakati

    Kwa hiyo wewe profesa ulietetea wizi wa fedha za Escrow kwa nguvu nyingi mpaka ukatukana watu ni matumbili leo hii unapata wapi ujasiri wa kutuambia watanzania kuwa umeme maji unachelewa kuanza kuzaa faida na umepitwa na wakati? Kwa hiyo huko Usa na China ambazo ni nchi zilizoendelea kwa kila...
  6. C

    Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

    Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati. Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema...
  7. J

    Dkt. Kimei: Serikali ikakope kwenye soko la nje ili ikamilishe miradi ya kimkakati SGR na Bwawa la umeme

    Mbunge wa Vunjo mh Kimei ameitaka Serikali kukopa fedha nje ili iweze kukamilishz miradi ya kimkakati ya SGR na Bwawa la umeme. Kimei amesema ni lazima miradi mikubwa ikamilike kwa wakati hivyo Serikali ikakope kwenye soko la nje ambako riba ni nafuu kati ya 5% hadi 6% Chanzo: Star tv...
  8. CAG atupe hasara ya kutotekelezwa kwa mradi wa umeme kwa miaka 50

    Iwapo maamuzi ya kujenga mradi wa umeme wa rufiji yalifikiwa miaka ya 70 ningependa kujua ni hasara kiasi gani nchi imepata kwa kutotekeleza mradi huu. Yaani kwa miaka takribani 50 CAG atueleze tumenunua umeme wa mitambo ya mafuta kwa Tsh ngapi? Je, tumeshindwa kuendeleza uchumi kwa kiasi gani...
  9. Hivi inawezekana ukahama na mita yako ya umeme?

    Swali langu ni je inawezekana ukahama na mita yako ya umeme? Mfano ulipanga chumba cha biashara sehemu na hiyo sehemu hakukuwa na umeme ukafanya michakato TANESCO ukavuta umeme. Baada ya muda ukajenga chumba chako cha biashara na unataka kuhama hapo ulipopangisha. Je, inawezekana ukawaomba...
  10. Wanaokatakata umeme wajiandae kubeba virago, Aprili 15

    Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema mameneja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ambao hawatawaunganishia umeme wateja waliolipia huduma hiyo hadi Aprili 16 mwaka huu watapoteza ajira zao. Agizo hilo amelitoa juzi, mara baada ya kutembelea miradi ya umeme katika kata ya Ntyuka...
  11. Waziri Kalemani: Umeme ukikatika eneo lako toa taarifa, mameneja wa wilaya wakizembea siku 15 nawashusha vyeo

    Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akikagua Miundombinu ya Umeme eneo la Ntyuka Jijini Dodoma 1 Aprili 2021, amewataka Wananchi kutoa taarifa sahihi na mapema pale Umeme unapokatika katika maeneo yao ili TANESCO iweze kuwafikia haraka na kurejesha Umeme mapema. Waziri Kalemani ameeleza...
  12. J

    Anthony Mavunde aishukuru Serikali kwa kuanza utekelezaji wa miradi ya umeme Jijini Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde ameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Nishati kwa kuanza rasmi kwa utekelezaji wa miradi ya usambazaji wa umeme kupitia miradi ya PERI URBAN na DENSIFICATION yenye jumla ya gharama ya Tsh 68bn, ambayo itayafikia maeneo zaidi ya 120 katika...
  13. K

    Chato: Wananchi walilipia umeme wa REA tangia mwezi wa tisa lakini hadi sasa hajapewa umeme

    Wananjamvi-Mbunge Kalemani aliahamaisha sana watu kufanya wiring tayari kwa kuvuta umeme, Vijiji vya Bikaka na Nyakakarango tukafanya hivyo hadi tukaletewa Control namba ya kulipia umeme mnano mwezi wa tisa lakini hadi hivi sasa haujapata umeme. Je, huu waziri wa Nishati na Pia Mbuge sijui...
  14. Fundi Umeme

    Zoezi la kufunga Submita hizi za PREPAY Hizi ni Mita Binafsi Ambazo ni maalumu kabisa kwa wale Watu wanaotumia mita moja ya LUKU zaidi ya mtuu mmoja limekamilika Faida za hii Mita nikwamba owapo mtumiaji mmoja kati ya wale wanaotumia umeme Luku moja zaidi ya wawili akiishiwa umeme hatapata tena...
  15. Kama unahitaji fundi umeme wa nyumba ya ndoto yako

    Tv showcase iliyofanyiwa design ya umeme kwa kazi nzuri kama hizi wasiliana na Fundi George 0622313163 0622313163 tunapatikana Dar es salaam.
  16. Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

    Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania WAKAZI WA DAR...
  17. Kalemani Jiuzulu umeshindwa kuwajibisha wanaotukwamisha kwenye suala la umeme

    Wana JF Tulipoingia awamu ya Tano W. Kalemani alitamba kuwa wenye viwanda kawekeze kwani hali ya umeme katika grid ya taifa ipo njema. Na akaisitiza mkoa utakaokatiwa umeme mameneja watawajibishwa. Leo hii nipo kikazi sehemu nasubiri umeme siku ya tatu. Kiwanda kimesimama. Moshi na Arusha...
  18. Kwa wataalam wa umeme

    Mimehamia nyumba yangu mpya ambayo umeme haujafiaka. Nimeplani ninunue solar ya kawaida tu lakini si hizi za makampuni. Ninachohitaji kujua, tv na sub woofer yangu vyote vina njia mbili ya umeme na ya solar. Je, nahitaji kuwa na inveta kuviendesha hivyo vifaa? Au njia ya solar naweza connect...
  19. Mtwara: Wanafunzi wasababisha tatizo la umeme kwa wilaya nne

    Wilaya nne za mkoa wa Mtwara zimekosa nishati ya umeme kwa takribani saa ishirini na nne na kupelekea baadhi ya shughuli za kiuchumi kusimama, baada wanafunzi wa kidato cha tatu na cha pili wa shule ya sekondari Mnyawi kuchezea laini kubwa ya umeme kwa kurusha miti na kufurahia mwanga pale nyaya...
  20. B

    Umeme kukatika katika, subira tafadhali, mambo kumbe iko Kidatu

    Mabibi na mabwana hii clip inajieleza wazi: Kumbe mambo yote ya hii kadhia yenye sura ya mgawo yako kidatu? Kumeagizwa bearings hivi zinatengenezwa. Matengenezo yake tokea kwake beberu yanachukua muda kama clip inavyojieleza. Tuwe na subira kidogo mwali wetu anakua. Hata kama walisema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…