umeme

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sipati umeme siku ya tatu leo, tatizo ni nini?

    Luku hipo lakini umeme auwaki tatizo ni nini arafu nilikuwa naongeza luku nikajua imeisha inasomaa arafu aimarizi inazima leotena nimejaribu kuuhingiza ule umeme naambiwa umeshatumika lkn umeme auwaki tatizo ni nini? TANESCO
  2. maroon7

    JamiiForums Tanzania Siku ya tatu bila umeme makumbusho, biashara zinakufa

    Kwakweli inchi ishaanza kuwa ngumu, siku ya 3 mtu unatoka home unafika ofisini kwako makumbusho hamna umeme na shughuli zote za kukuingizia kipato zinahitaji umeme. Na hii ni kila wiki lazima wakate. Hakyanan tunakoelekea sijui maana hakuna hata anaejali. Ujasiliamali unaanza kutushinda hivihivi...
  3. MHP

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Umeme kukatika kwa muda mrefu limerudi tena Dar es Salaam

    Habari Ndugu zangu popote pale mlipo Leo nimeingia Ofisini kwangu Mida ya saa 3 asubuhi ninakuta umeme umekatika. Na mpaka sasa ninapo andika ujumbe huu saa 7 na Daakika 55 mchana bado pakavu. Ndo najiuliza je, Tumesharudi Misri kwenye swala la upatikanaji wa umeme Mjini? Maana katika kipindi...
  4. Mtuflani Official

    JamiiForums Tanzania Umeme wa 5,000 nimekatwa 2000. Hii haiko sawa!

    Ndugu leo nimenunua umeme wa tshs. 5000 nimekatwa tshs. 2000 jumla sawa na asilimia 45%. Hapa ndo tumefikia na serikali yetu ndugu zangu. Hivi kama ni kodi ya uzalendo kwa nini viongozi wasioneshe mifano. Asilimia 5 ikatwe kwenye mishahara ya hawa watu: (Rais na makamu, Waziri Mkuu na...
  5. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Umeme wa Shilingi 5,000 nimepata Units 8.5. Je, tutafika?

    Kodi ya majengo imeanza kutushughulikia, yaani Tshs. 5,000 naishia kupata Unit 8.5 badala ya 14.1 kama ilivyokuwa zamani. Tunakoelekea kutakuwa na tozo ya tozo, maana anaupiga mwingi!
  6. rr4

    JamiiForums Tanzania Serikali iliunganisha umeme kwa Shilingi 27,000 ili kupata watu wengi wa kukata tozo

    Na nimeelewa sasa kuwa 1. Umeme kwa 27,000 ilikuwa plan ya muda mrefu kwanza vijijini halafu Sasa mjini ili wapate vichwa vingi vya tozo. 2. Watu flani walioishika serikali wanataka wafanye biashara zao za solar na magenerator hivyo wakachampion tozo ili watu wachukie wahamie kwenye Sola Kama...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Ili upate umeme kwa mwezi Agosti, nunua wa zaidi ya Tsh. 2,000/-

    Shirika Umeme nchini (TANESCO) limesema Wanachi hawataweza kununua umeme wa chini ya Tsh. 2,000 kwa mwezi huu Limesema ni ili Wananchi waweze kulipa kodi ya majengo ya mwezi Julai (Tsh. 1,000) na Agosti (Tsh. 1,000) Shirika hilo limefafanua kuwa Tarehe 20 Agosti ni kuanza kwa makato lakni kodi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini nadhani umeme kijijini hautawashwa Japo nyumba Zina umeme?

    Natafakari tu kwamba REA wamepeleka umeme vijijini lakini wananchi awautumii, waliweza kumudu kuwasha taa chache ndani na kwa muda mfupi saa yaani saa moja Hadi saa nne usiku then ukipita vijiji vingi saa tano utadhani umeme hakuna. Wakati wanawasha taa chache kwa muda mchache walikuwa...
  9. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Tanzania VIFAA VYA UMEME VINAHITAJIKA

    Wakuu habari ja jioni! Natumaini wote humu ndani my wazima kabisa. Nahitaji vifaa vya umeme vifuatavyo. 1.Continuity tester (tester phone ) ex tronic 2.Battery - Energizer 9vRL 3.Battery charger( Energizer 9V) 4. Ganish hole-6mmx200mm. Mwenye kufAhamu wapi nawza kuvipata au hata anipe Bei Vin...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Usambazaji wa umeme vijiji (REA) Ilikuwa mbinu ya kuongeza idadi walipa kodi ya Majengo?

    Leo Nyumba duni zenye umeme ukinunua umeme lazima utakatwa kodi ya jengo, hii ni kwa sababu hakuna mfumo wowote TANESCO unaoonyesha nyumba duni na nyumba bora. Mfumo wao unatambua namba ya mita tu baasi. Je, ule usambazaji wa umeme wa REA vijijini ulilenga kuongeza kodi zaidi ?
  11. mshale21

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo tozo za LUKU kuanzia August 20-2021

    Ukinunua Umeme utalipia Kodi nne: 1. VAT - 18% 2. Ewura - 3% 3. REA - 1% 4. Kodi ya Jengo (Tsh 1000- Tsh 5000) Awamu ya sita, tozo ziendelee!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

    Naomba kuuliza maswali machache. Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa? Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji? Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake? Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tuishukuru CCM kwa kusambaza umeme vijini

    Ni adui muombee njaa lakini sio kila wakati. Pia mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini. Huko nyuma mafuta ya taa yalikuwa yanamwakigia kwenye mboga na ugali usiku wakati akina mama wakitumia koroboi kupika,leo ni umeme tu wa ReA Tuwapongeze...
  14. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Nchi imeanza kurudi nyuma kwa kasi ya ajabu, bila rushwa TANESCO hawafungi umeme

    Nimekuwa nikiripoti Mara nyingi jinsi nchi yetu inavyokwenda kwa sasa tumeanza kurudi nyuma , Huduma zimekuwa mbovu ukiende kwenye ofisi kupata huduma customer care mbaya wahudumu wanakujibu ovyo. Mfano Mzuri ni shirika letu la Tanesco Maeneo Mengi watu wanalalamika, likiwemo eneo letu...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TANESCO haina tena nguzo za kusambaza umeme majumbani

    Katika Hali isiyo ya kawaida ,Kwa mara ya kwanza tangu awamu ya tano,imetokea Hali isiyo ya kawaida ya kukosekana Kwa nguzo za kuunganisha wateja umeme Tanzania. Hakuna wilaya hata moja nchini insyotoa huduma ya kuwapatia wateja nguzo ili wananchi waweze kupata huduma ya umeme. Kila ukiuliza...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme wa magari na diagnosis

    Habari zenu wakubwa' Naitwa Kelvin mwasanjobe Nina miaka27 ' Mimi ni fundi umeme wa magari na diagnosis' Nina uzoefu wa miaka9 ' kimtaji kiukweli sijafanikiwa kufungua ofisi yangu'hivo nilikuwa naomba mwenye connection ya kazi kwenye workshop au garage yoyote aniunganishe 0629177983
  17. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu tembelea wananchi wako wa Mji wa Kisesa wanateseka na Changamoto ya Umeme na Maji

    Mji wa Kisesa katika jiji la Mwanza ni Mji mkubwa unakua kwa kasi ambao kipindi cha Marehemu Magufuri aliahidi kuwa halmashauri ya Mji wa Mwanza ,wananchi wake wanalia kwa kutofungiwa umeme na shirika la Tanesco ,huku likionesha hilo shirika katika kituo chake cha Nyakato kuzidiwa nakuwa na...
  18. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Ukiitegemea biashara yako mpya ikulishe, ikulipie kodi ya nyumba na kadhalika, jiandae kuanguka

    Habari wakuu, Ukosefu wa ajira serikalini, taasisi mbali mbali, viwandani n.k imekuwa ndio chanzo cha vijana wengi mpaka wazee kukimbilia kwenye biashara, Wengi tunapoanza biashara huwa hatuna uelewa wa kutosha, maarifa tunayoyapata kwa kuulizia ulizia kwa watu, mtandaoni au kwa ndugu na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani usikubali Mgao wa Umeme Dar

    Baadhi yetu tunalijua hili shirika vizuri sana from experience, Tangu juzi lilipotokea tatizo la kuungua substation Morogoro maeneo mengi ya jiji la Dar yana changamoto ya umeme kukatwa kwa muda mrefu (zaidi ya masaa 7). TANESCO ni wasumbufu mno. Ni shirika linalopaswa kuendeshwa kwa mkono wa...
  20. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Kukatika kwa Umeme ni Dar es Salaam yote au baadhi ya maeneo tu?

    Leo umeme umekatika majira ya saa nne hivi asubuhi, mi niko Kariakoo Jiji la Ilala mkoa wa Dar es Salaam, kwa style ulivyokatika umeme sikuona kama kuna tumaini la umeme huu kurejea mapema. Nikaamua kuuliza maeneo mengine kama Tabata nk nako hakuna Umeme pia. Nambie we uko wapi? Kwako kuna umeme?
Back
Top Bottom