JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,391
- 9,665
Ama kweli mchawi mpe mtoto akulelee.
Hapo mwanzoJ Makamba akiwa kwenye mazingira alikuwa kwenye jopo la kuandaa report Uharibifu wa mazingira ya bonde la mto rufiji ambako bwawa la Umeme la Nyerere linajengwa.
Katika report ile pandekezo yalikuwa ni kutojenga lile bwawa kwa sasa litaharibu Ecosystem.
Sasa kapewa asimamie lile bwawa akiwa kama waziri wa Nishati.
Bahati nzuri tu ni kwamba hata UNESCO walishaamua lijengwa baadaya mvutano mkubwa sana ikiwemo kupigiwa kura kwamba lile bonde liondolewe kwenye urithi wa dunia. Wakati wa kupiga kura wengi waliamua lisiondolewe.
January anaweza asilihujumu kweli?