umeme

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali za CCM miaka 70 ya uhuru zimeweza nini mbona vitu muhimu kama Maji na umeme bado shida kuu?

    Hawa jamaa wa CCM wanapenda kutawala kupita kiasi, lakini performance yao ni ndogo kupita maelezo Huwa wanapenda kujilinganisha na chama cha Kikomunisti cha China, lakini wenzao huko China wameshafanikiwa kusolve tatizo la vitu basic kama maji na umeme na sasa wanajiposition kuwa superpower wa...
  2. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Kuhusu umeme: Kalemani alimdanganya Rais Samia

    Gazeti la Mwananchi la Machi 16,2021, lilikuwa na habari kwamba Samia Suluhu Hassan, ambaye wakati huo alikuwa Makamu wa Rais, amesema kwamba tatizo la kukatika kwa umeme litafikia mwisho siku hiyo. Ukienda kusoma taarifa hiyo, utaona Rais Samia (akiwa Makamu wa Rais0 alisema kwamba amezungumza...
  3. mirindimo

    JamiiForums Tanzania 2013 mlisema tunaanza kuuza umeme nje ya nchi. Je, tumeshafanikisha?

    Pia, soma https://www.jamiiforums.com/threads/tanzania-kuuza-umeme-nje-ya-nchi-kuanzia-mwakani.488637/ https://www.jamiiforums.com/threads/maajabu-tanzania-kutoka-kuuza-umeme-nje-ya-nchi-hadi-kununua-umeme-cheap-toka-ethiopia.1228928/
  4. Cannabis

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Mikoa 11 kukosa umeme kwa masaa 12 tarehe 15 Novemba 2021

    Mikoa 11 ya Tanzania itakosa umeme kwa saa 12 Novemba 15 mwaka huu kutokana na matengenezo yanayofanywa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika njia ya kusafirisha umeme wa kilovolti 220 kutoka Kidatu hadi Iringa. Umeme utakatika kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 12 jioni ili kupisha...
  5. Majighu2015

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukatika Umeme ni Dar es Salaam yote au?

    Wadau hivi hii katikakatika ya umeme inayoendelea ni huku kwetu tu au ni jiji zima la Dar? Huku maeneo ya kawe, mbezi beach, tegeta tunateseka sana. Naamini na maeneo mengine hali ni hiyo hiyo. Kwa muda wa karibu mwezi mmoja kumekua na hii shida kwa kiasi kikubwa sana. Nakumbuka kipindi cha...
  6. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania January Makamba unaturudisha Misri

    Hapo vip!! Kwanza huwa na kukubali kwasababu ni moja wa viongozi vijana unayejielewa na unabusara pia. Ila lazima nikuchane inapotokea jambo ambalo halijakaa vizuri!! Hili swala la mgawo wa umeme tena ya kushtukiza na kimya kimya..ni tafsiri mbaya kwa wanzania. Kumbuka swala la umeme ni swala...
  7. LUKAMA

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme na maji Moshi

    Tanesco wamezidi sana kuanzia weekend umeme unakatika ikifika saa tatu usiku na unarudi usiku wa manane, watu wengine shughuri zetu tunafanya usiku pia kuna viwanda vinavyofanya kazi hasa kipindi cha usiku Shida nyingine maji yakatika sana hasa mitaa ya KCMC na rau, ivi ninavyo andika hapa Rau...
  8. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera Kenya. 92.3% ya umeme wetu ni wa nishati mbadala (renewable energy)

    92.3% ya umeme wetu ni renewable energy. Tutagonga 100% kabla ya mwaka wa 2030. Renewables Provided 92.3% Of Kenya’s Electricity Generation in 2020! As the world races to decarbonize, Kenya’s electricity sector is well on the way to being powered by 100% renewables. According to the latest...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kasi ya kupeleka umeme vijijini imepungua sana, kulikoni?

    Ni vigumu kusafiri kwenda mbali kusema habari za mazingira kama wananchi bado wanawasha moto wa Kuni ili TU kupata mwanga wa kumulikia usiku kusoma na kupika jikoni. Kama Mtu hana njia nyingine ya kupika chakula chake lazima awashe moto wa Kuni au mkaa hayo mazingira yatatunzwa namna gani...
  10. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Hapa Rujewa, Mbarali umeme kwa sasa ni kitu ghali mno na nadra sana kupatikana

    Ndiyo,ni hapa Rujewa. Leo ni karibu miezi 6 sasa upatikanaji wa umeme hapa Rujewa ni wa kiwango Duni ambacho hakielezeki! Mfano, kwa wiki moja upatikanaji wa umeme hauzidi masaa 48 na tatizo halieleweki ni nini. Mbaya zaidi, si Tanesco ama kiongozi yeyote hawasemi ama kutangaza kama upo mgawo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar es Salaam wahaha shida ya maji na umeme

    Kufeli kwa serikali ya CCM sasa kumegonga pentagoni. Jiji la Dar es laam sasa limegeuka jiji la uhaba wa maji na umeme. Kwenye ishu ya maji, kuna mgao wa siku tatutatu na maji yanatoka masaa machache kisha yanakatika. Hali hiyo imefanya watu waanze kuhangaika na ndoo na madumu kutafuta maji...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni Orodha ya vifaa vya umeme kuanzia biashara

    Wadau, Mafundi na wenye uzoefu wa biashara ya vifaa vya umeme wa majumbini naomba mnitajie orodha ya vifaa vinavyohitajika na vinavyotoka haraka kibiashara zaidi. Nimepata fremu ndogo ya biashara, kwa mazingira ya mtaa huo hakuna duka la vifaa vya umeme kwa maeneo ya karibu, hivyo nimeona...
  13. Kiturilo

    JamiiForums Tanzania January Makamba ni lini utaanza kufanya ziara kukagua usambazwaji wa umeme?

    Ni miezi kadhaa sasa imepita tangu waziri mpya wa nishati bwana January Makamba ateuliwe na rais Samia Suluhu kushika nafasi hiyo. Waziri Makamba tangu ateuliwe amefanya ziara Kigoma tu tena mjini mjini baada ya kupewa maagizo na makamu wa rais afike huko kutatua kero ya kukatika katika umeme...
  14. Bavaria

    JamiiForums Tanzania Nina maswali kuhusu gari za umeme

    Hello. Nina swali moja kubwa kuhusu gari za umeme hasa charging system. Hivi ukinunua gari ya umeme ambayo inakuja na ile charging set yake. Uki install nyumbani kwako na ukawa unacharge gari yako. Je charging speed itakuwa sawa na ile recommended kwenye manuals za gari au itakuwa tofauti...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ni bora kuishi maskini Karne hii nakuendelea kuliko walioishi enzi hakuna umeme kimsingi Mungu katupendelea sisi

    Huwa najiuliza hivi Mimi na mfalme Suleiman nani anafaidi maisha? Au Mimi na Vasco da Gama Nani anainjoi maisha? Imagine wewe na karli Peter's Nani amebarikiwa? Au Kuna raha gani aliyoipata William Shakespeare kunizidi Mimi? Kiufupi hao niliowataja hapo juu hawakupata neema tunayoipata sisi...
  16. JF Member

    JamiiForums Tanzania January Makamba anajisikiaje kusimamia Bwawa la Umeme la Nyerere?

    Ama kweli mchawi mpe mtoto akulelee. Hapo mwanzoJ Makamba akiwa kwenye mazingira alikuwa kwenye jopo la kuandaa report Uharibifu wa mazingira ya bonde la mto rufiji ambako bwawa la Umeme la Nyerere linajengwa. Katika report ile pandekezo yalikuwa ni kutojenga lile bwawa kwa sasa litaharibu...
  17. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba ujue siyo kila kitu ni cha kubinafisisha

    Waziri wa Nishati January Makamba ajulishwe kuwa kwenye taifa siyo kila kitu ni cha kubinafisishwa kwa masilahi mapana ya taifa. Umeme Bandari Reli Viwanja vya ndege Mbuga etc Baba wa taifa Mwl Nyerere kwenye hotuba yake moja mwaka 1995 alikemea vikali akili ya kuchukua mali ya uma na...
  18. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Mwambieni January Makamba kwamba umeme umeanza kukatika ovyo Dar es Salaam

    Huku Dar umeme umeanza kukatika hovyo hovyo tena sahivi unakatika muda mrefu sana hadi masaa 8. Juzi nilikua sehemu fulani nje ya mji umeme ulikatika kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 1 usiku ndo walirudisha. Dalili za kuonyesha hali sio shwari ni pale umeme ukirudi watu wanashangillia hii sio...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Hizo tozo kwenye umeme nazo zipunguwe walau kwa nusu kama kule kwenye mafuta

  20. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

    Ujenzi wa bwawa la JN-HPP pamoja na Usambazaji wa umeme vijijini Rais Samia ameongeza bajeti kwa 230% kutoka TZS 1.01T FY2020|21 hadi TZS 2.34T FY2021|22, === Tufahamu lengo la Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ni ifikapo mwaka 2026 Tanzania iwe na umeme wa Uhakika unaofikia...
Back
Top Bottom