Ni bora kuishi maskini Karne hii nakuendelea kuliko walioishi enzi hakuna umeme kimsingi Mungu katupendelea sisi

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
9,263
2,000
Huwa najiuliza hivi Mimi na mfalme Suleiman nani anafaidi maisha? Au Mimi na Vasco da Gama Nani anainjoi maisha? Imagine wewe na karli Peter's Nani amebarikiwa? Au Kuna raha gani aliyoipata William Shakespeare kunizidi Mimi?

Kiufupi hao niliowataja hapo juu hawakupata neema tunayoipata sisi. Maana haijui whasap Twitter tik tok internet umeme tv computers magari ndege meli na kila kitu kinachosapoti mfumo wa maisha yetu ya Sasa.

Imagine Suleiman na fahari yake yote hajawahi kuona TV.

Mshukuru mungu kuishi Karne hii wewe umependelewa kuliko hata Michelangelo na Cleopatra.

Kitu pekee tunachofanana nao ni kugegeda baaasi. Wao waligegeda mbunye/mbususu nasisi Leo tunagegeda mbunye/ mbususu.

Superbug
 
Nov 13, 2018
84
150
Kwa msimu wao, wali enjoy sana, leo unaenjoy ww. Kizazi kijacho kitashukuru na kuona kama sisi kuna vitu tulikosa
 
Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
9,263
2,000
Kwa msimu wao, wali enjoy sana,, leo unaenjoy ww...kizazi kijacho kitashukuru na kuona kama sisi kuna vitu tulikosa
But at least we can predict how the future world might be mzee imagine leo tunakula kuku wa kukaanga na chipsi au kitimoto ya kuchoma nanbia ; nna wasiwasi Sana Kama mfalme herode alikula kuku wa kukaanga.
 
Tmlekwa

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
241
250
.....Huuu uzi yaan nimecheka tu,...Hivi mtoa mada ulikaa ukafikiria nini hadi ukakumbuka haya?...dah,any way inafikirisha na ka ukweli kapo
 
Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
9,263
2,000
.....Huuu uzi yaan nimecheka tu,...Hivi mtoa mada ulikaa ukafikiria nini hadi ukakumbuka haya?...dah,any way inafikirisha na ka ukweli kapo
Mkuu nimewaza hivi Galileo Galilei na akili na umaarufu wake aliinjoi Nini Sasa Kama hakuona tik tok au Instagram.
 
dexterous

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
1,881
2,000
Usichokijua hicho unachoona una enjoy kwa asilimia kubwa ndo vinavyotumika kukuangamiza usipokuwa makini maisha yako yatakuwa yanaendeshwa badala ya wewe kuyaendesha.
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,987
2,000
Mkuu kipindi hicho mbona walikuwa fresh tu, sema ukiwachukua waje waishi kipindi cha sasa wataishia kufa kwa stress....
 
The Hyper

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,365
2,000
Huwa najiuliza hivi Mimi na mfalme Suleiman nani anafaidi maisha ? Au Mimi na Vasco da Gama Nani anainjoi maisha? Imagine wewe na karli Peter's Nani amebarikiwa? Au Kuna raha gani aliyoipata William Shakespeare kunizidi Mimi?

Kiufupi hao niliowataja hapo juu hawakupata neema tunayoipata sisi. Maana haijui whasap Twitter tik tok internet umeme tv computers magari ndege meli na kila kitu kinachosapoti mfumo wa maisha yetu ya Sasa.

Imagine Suleiman na fahari yake yote hajawahi kuona TV.

Mshukuru mungu kuishi Karne hii wewe umependelewa kuliko hata Michelangelo na Cleopatra.

Kitu pekee tunachofanana nao ni kugegeda baaasi. Wao waligegeda mbunye/mbususu nasisi Leo tunagegeda mbunye/mbususu.

Superbug
Nao walienjoy kuishi miaka mingi duniani,kuliko sisi leo umri wa
kula maisha ni mfupi sana.
 
Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
2,024
2,000
Maisha Yao ilikua adventure tupu wewe unadhani Vasco da Gama hakuenjoy?
Kila kizazi hufurahia vitu walivyonavyo Kwa nafasi Yao
Hata Columbus aliona anafaidi Sana yani naye Alikua anajiuliza watu waliwezaje kuishi sehemu ndogo vile Kama Ulaya yaani kanchi Kama uswis unazunguka na farasi unamaliza kote Kwa siku Moja
Hahahahahaha!
 
Masamila

JF-Expert Member
Jun 22, 2014
6,008
2,000
Walichopata na sisi hatuna ni kuwa enzi zao ardhi ilikuwa kubwa sana ya kulisha ng'ombe tofauti kabisa na sasa hivi ambapo malisho ni finyu

Wanyamapori waliwafaidi wa kila aina tofauti na sasa ambapo wapo wachache sana na pia aina pia zimepungua

Huko mbeleni sijui watu watalima wapi kwa idadi kubwa ya watu
 
dist111

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
3,466
2,000
Perception ni issue kubwa na ndo inatofautisha ukisema unaenjoy.

Wewe utaenjoy ukiwa kwenye V8, mwingine anaejoy akiwa na ng'ombe 10,000 hata kama Hana umeme wala V8.

So, hata wao waliebjoy kwa perceptions zao na die tuenjoy kivyetu.
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
9,624
2,000
Huwa najiuliza hivi Mimi na mfalme Suleiman nani anafaidi maisha? Au Mimi na Vasco da Gama Nani anainjoi maisha? Imagine wewe na karli Peter's Nani amebarikiwa? Au Kuna raha gani aliyoipata William Shakespeare kunizidi Mimi?

Kiufupi hao niliowataja hapo juu hawakupata neema tunayoipata sisi. Maana haijui whasap Twitter tik tok internet umeme tv computers magari ndege meli na kila kitu kinachosapoti mfumo wa maisha yetu ya Sasa.

Imagine Suleiman na fahari yake yote hajawahi kuona TV.

Mshukuru mungu kuishi Karne hii wewe umependelewa kuliko hata Michelangelo na Cleopatra.

Kitu pekee tunachofanana nao ni kugegeda baaasi. Wao waligegeda mbunye/mbususu nasisi Leo tunagegeda mbunye/ mbususu.

Superbug
Zama zetu mambo yamerahisishwa mno, kiasi kwamba hata sisi (baadhi yetu) tunaoishi gizani(kwenye lindi la umaskini na ujinga), tunafutahia kiasi, ugunduzi na maendeleo ya teknolojia uliofikiwa duniani.
Umewataja watu maarufu wa enzi hizo, kama Mfalme Suleiman, Karl Peters, Newton n.k., ambao ninachoamini ni kuwa, Kwa njia moja au nyingine ndio waliopelekea ugunduzi wa maendeleo baadhi yetu tunafaidi. Nafikiri wengi wetu tunajua mambo yaliyofanywa na uliowataja.
Sasa tuwafikirie mabavu zetu huku Tz na Afrika Kwa ujumla, maisha yao yalikuwa aje, ukizingatia mpaka sasa bado hatuna asilimia 100 ya teknolojia wenzetu wa dunia ya kwanza wanayotumia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom