umeme

  1. JamiiForums Tanzania Serikali yaifutia TANESCO deni la Tsh. Trilioni 2.4

    Kwa kuwa bei ya umeme haiendani na uhalisia wa mauzo, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema halipati mtiririko mzuri wa mapato, hivyo kushindwa kulipa madeni yake ya muda mfupi, hali inayowakimbiza wawekezaji. Hali hii inatokana na ukweli kwamba mara nyingi, Serikali huwa inakopa kisha...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Miaka 60+ ya CCM, hakuna uhakika wa kula, Maji wala umeme

    Toka tupate uhuru ni miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM lakini watanzania hatuna uhakika wa kula, kuoga wala kuona usiku. Nikimaanisha kwamba hakuna chakula cha kutosha, hakuna uhakika wa maji wala umeme. Leo unga wa sembe kilo ni zaidi ya shilingi elfu 2, maharage yako shilingi elfu 4...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Maji na umeme Dar es Salaam

    Mlioo karubi na Mhesimiwa Rais Samia mwambieni haya: Dar maji imeshafikika lita 20 shilingi mia tano, watumiaji umeme kujipatia mkate wao hawana kazi Sasa mwambieni sifa za Aweso za "NANI. KAMA MAMA, na Makamba za MAJIKO YA GESI KILA KIJIJI kwetu sisi tunotoa zaidi ya 70% ya pato la seriikali...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia usiende China ukaacha nchi haina maji wala umeme

    Kinachoendelea Tanzania ni Uhaini unaofanywa na baadhi ya Mawaziri wa serikali ya awamu ya sita, haiwezekani mgao wa maji ufike mpaka Vijijini hivi ninavyoandika nipo Marangu mtoni maji yanatoka kwa Don mmoja aliyechimba maji chini. Kama hiyo haitoshi leo ni siku tatu umeme unakatika saa kumi...
  5. JamiiForums Tanzania TANESCO kumaliza tatizo la umeme Tanga kufikia Machi 2023, waelezea kuzalisha umeme kwa njia ya jua

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeweka wazi mipango yake ya kumaliza tatizo la umeme kwa asilimia 100 Mkoani Tanga kufikia Machi 2023, huku kukiwa na mikakati ya kuzalisha umeme kwa njia ya jua kufikia mwishoni mwa mwaka huu (2022). Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Hashim Mgandilwa...
  6. JamiiForums Tanzania Unakabiliana vipi na changamoto ya umeme kwenye biashara yako?

    Wanajukwaa! Ningependa tujadili ni namna gani iliyo bora na gharama nafuu ambayo inaweza kukabiliana na ukosefu wa umeme kwenye biashara. Kama tunavyoshuhudia ni kuwa kuna kupoteza wateja na kutofikia malengo husika. Karibuni!!
  7. JamiiForums Tanzania Mgawo mkali wa umeme na maji unaoendelea nchini ni wazi kabisa watendaji wa Serikali mnaihujumu Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Hiki kinachoendelea kimyakimya ni mchakato wa kuturudisha kuleee miaka ilee ya 2005, 2006, 2007...... miaka ambayo Dar Es Salaam na Tanzania kwa ujumla ilikua imepambwa na mikokoteni ilishosheheni madumu ya korie yaliyobeba maji na magari yenye matank ya maji kila kona. Kwa kasi ya ajabu...
  8. JamiiForums Tanzania Special Thread: Ku-track kukatika kwa umeme

    .
  9. JamiiForums Tanzania Kukata umeme siku mbili mfululizo kazi zitafanyika saa ngapi?

    Mlikuwa mnakata kwa kuruka siku. Haikuwa mbaya sana. Sasa hii ya kukata siku mbili mfululizo kazi zitafanyika saa ngapi?
  10. JamiiForums Tanzania Mambo ya ajabu yamelighubika taifa letu. Umeme unakatika ovyo huku Waziri mwenye dhamana anadai kuna Megawatts 14000 za ziada

    Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme. Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku. Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
  11. JamiiForums Tanzania Tatizo la mgawo/kukatika toka hivyo kwa umeme ni aibu sana kwa Serikali ya Tanzania chini ya Chama Cha Mapinduzi!

    Kama kuna eneo ambalo serikali ya JMT inayoongozwa na TANU/ASP kisha CCM tangu uhuru 1961 imefeli spectacularly kisera na kimipango ni la upatikanaji wa huduma bora na ya kuaminika ya nishati ya umeme. Ni aibu sana kuwa na umeme usioeleweka na unaokatikakatika hata mara 50 kwa siku. Sababu...
  12. JamiiForums Tanzania Maeneo ya Dar es Salaam kukosa umeme Oktoba 24 & 25, 2022, TANESCO yasema kuna maboresho ya mitambo

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kukosekana kwa umeme katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kutokana na uwepo wa matengenezo kadhaa, leo Jumatatu Oktoba 24, 2022 kuanzia saa moja asubuhi hadi saa nane mchana. Matengenezo yanayofanyika katika mtambo namba mbili wa kuzalisha...
  13. JamiiForums Tanzania Kuuliza sio ujinga, kwa sasa kuna mgao wa Umeme?

    Kila kukicha umeme unakatika siku nzima tena wilaya nzima au mkoa mzima. Ninauliza Tanesco, Tanzania tumeanza mgao wa umeme? Nimeuliza ili tuanze kununua generator
  14. JamiiForums Tanzania Hivi chanzo cha huu mgao wa maji na umeme ni nini?

    Hivi kweli unawezaje kujitembeza bila aibu eti unafanya royal tour, halafu watalii wakija wanakuta nchi ina mgao wa maji na umeme? Huu mgao ulianza lini? Mbona wananchi hatuna taarifa? Au ndio siasa yenyewe hii?
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua mradi wa Umeme Nyakanazi, yaelezwa utasaidia kuokoa Tsh Bilioni 60 za jenereta

    Rais Samia Suluhu Hassan, Oktoba 16, 2022, amezindua mradi wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme mkubwa wa 220kV/33kV cha Nyakanazi Mkoani Kagera ambao umekamilika. Aidha, Rais amezindua maeneo manne ya mradi huo ambayo ni; Njia ya umeme msongo wa Kilovoti 220 kutoka Geita mpaka...
  16. JamiiForums Tanzania Ujenzi Mradi wa Umeme Bwawa la Julius Nyerere wafikia 74%, Kamati ya Nishati na Madini yaridhishwa

    Ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere umefikia 74%, hatua ambayo imebainishwa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini iliyofanya ziara katika mradi huo Oktoba 15, 2022. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Stella Manyanya amesema...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini TANESCO wanashindwa kutoa ratiba ya mgao wa umeme?

    Karibu nchi nzima, maeneo tofauti tofauti yanakatika katika umeme kila siku hususani kwa siku za karibuni pasipo kutolewa taarifa na Tanesco, na jambo hilo linaathiri sana maisha ya watu na shughuli zao. Sote tunajua Tanzania tupo kwenye mgawo wa umeme. Sasa kuna ugumu gani kwa TANESCO kutoa...
  18. JamiiForums Tanzania Kituo cha kupoza Umeme cha Mpomvu kuipa Geita umeme wa Megawati 90

    Uwepo wa kituo cha kupokea, kupoza na kusafirisha umeme mkubwa wa kilovoti 220/33 kutoka Bulyanuhlu hadi Mpomvu Geita sasa utaifanya Geita kupata umeme wa Megawati 90 wakati mahitaji yao kwa sasa ni Megawati 18. Kukamilika kwa kituo hiki kunaifanya Geita pia kuanza kupata umeme wa kutosha kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Hali inatisha, Kariakoo hakuna umeme, uchumi wa majenereta umerudi?

    Tunaomba taarifa TANESCO , nini kinaendelea =========================== Inaumiza sana
  20. JamiiForums Tanzania Kama TANESCO wameshindwa kazi na wamekosa dira, kwanini wasiruhusu makampuni binafsi yagawe umeme?

    Hili huwa najiuliza mara kwa mara Sana Naombeni JamiiForums msilichanganye kule kwenye thread ya TANESCO macomment mengi sana huenda hata hawataona maana hii imekua kero sana kwa sisi Raia. Waziri na wizara kwa ujumla sijui kama Wana Mkakati wowote wa kuondokana na Tatizo La Mgao wa Umeme naona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…