umeme

  1. Protector

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza upungufu wa Umeme kwenye Gridi ya Taifa kutokana na Ukame

    Leo tarehe 22/11/2022 TANESCO wametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuelezea sababu za mgao unaoendelea nchini. Kwa habari zaidi soma Press release Hapa chini ==== Shirika la Umeme Tanzania limetangaza upungufu wa Megawati 155 za Umeme wa Maji uliosababishwa na Ukame kwenye Mabwawa ya Kihansi...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu wa kukatika ovyo kwa umeme kunavyotutesa tutake tusitake tutamkumbuka Magufuli

    Haya mambo ya kukatika kwa umeme tulishayasahau tangia mwanzoni mwa utawala wa awamu ya tano. Tunaotegemea umeme kwa majukumu yetu ya kila siku, imekuwa shida kubwa sana kwa kiwango ambacho shughuli zetu zinaathirika sana. Kwa hali ilivyo sasa hakuna namna usimkumbuke Magufuli, maana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kukatika kwa umeme vs Mjadala wa Bashiru haumsaidii mnyonge

    Habari kuna mijadala mingi inaendelea ambayo haina faida kwa mwananchi Mnyonge hasa kuhusu Bashiru, Tuna tatizo kubwa sana la umeme,Kimara siku ya pili tuko gizani kira kitu kimelala,wahusika wafuate walau zamu ya mgao wa kimyakimya.hayo ya Bashiru sizani kama yanatusaidia.
  4. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Suala la umeme Tanzania ni uzembe wa Serikali

    Wanyamwezi tuna usemi "if it ain't broke, don't fix it." Tulikua tunaenda vizuri tu, umeme ukikatika hauendi muda mrefu unakua umerudi. Lakini tukaona hapana, tupindue meza. Kalemani kaa pembeni ili aje January. Makamba tungeweza kumuweka hata wizara ya mambo ya nje, lakini wapiii? Kalemani...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme: Wa kulaumiwa ni CCM au mabadiliko ya tabia ya nchi?

    Watanzania tunaotumia mtandao huu wa Jamiiforums, tutoe maoni yetu ni nani anapaswa kulaumiwa kati ya CCM iliyokaa madarakani kwa miaka 62 sasa au ni mabadiliko ya tabia ya nchi. Karibuni kwa maoni mlioa tayari kushiriki.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 61 tangia tupate Uhuru bado tunategemea Umeme wa Maji

    Hivi shida ni nini? Kwanini wanaotuongoza wanaonyesha uwezo mdogo wa fikra ama ni kutokujali. Kwanini hatuna umeme wa Gesi? Kwanini Hatuna umeme wa Makaa y mawe? Kwanini hakuna mfumo wa kukinga maji yanayotengeza umeme yasipotee kwa 100%, ili yaweze kutumika tena.? Naamini shida sio TANESCO...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tulionya umeme wa maji sio wa kutegemewa, Hayati Magufuli akatia kiburi, leo tuna mgao

    Tulionya umeme wa maji sio wa uhakika kwa sababu mvua hazitabiriki siku hizi kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani. Umeme wa uhakika ungekuwa ule wa gesi kule kusini. Lakini watu wakatia pamba masikioni na kutekelekeza mradi wa gesi uliokuwa umegharimu mabilioni tayari. Hayo...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Huu mgao wa umeme kwa sasa hauvumiliki

    Jana wamekata saa 1 asubuhi. Umerudi usiku saa sita. Saa hizi saa moja wamekata. Huu siyo mgao, ni kama tu hakuna umeme. Nafikiri serikali imeshindwa kuzalisha na kusambaza umeme. Na hata hilo Stigla halitaleta unafuu wowote kama tu gesi tuliyokuwa na matumaini nayo ambavyo haikuleta unafuu...
  9. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Wakuu tunaomba matokeo kombe la Dunia- Huku kwetu hakuna umeme

    Wakuu heshima sana. Huku kwetu madongo kuinama hukuna umeme. Mitaa ya matejoo,Kambi ya Fisi,Matevesi,Olkeriani,Olkokola,Kaloleni,Ngarenaro,Daraja II,Mkonoo na vitongoji vingi hakuna umeme. Kwakuwa Sisi waTanzania tumejaa upendo,tunawaomba wale wote waliojaliwa kumiliki majenereta wasisite...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga upigaji madili kupitia mgao wa wa Umeme. Waziri Makamba alituambia tuna ziada ya MW 1400. Huu mgao wa nini?

    Hapa tunaibiwa kiwaziwazi kabisa. Yaani mkuu wa wizara anayehusika na umeme anatamka wazi kuwa tuna ziada ya Mw 1400. Halafu ghafla naibu wake anadai kuna upungufu! Halafu mgao unatamalamaki nchi nzima. Tuandamane kupinga huu wizi. Tuandamane watanzania.
  11. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme umeturudisha zama za mawe za kale

    Imagine leo hii kila mtu ana TV na king'amuzi nyumbani, lakini tunalazimika wote kwenda kurundikana bar za vichochoroni zenye jenereta ili kuangalia mechi ya ufunguzi..!! Kwenye mitandao ya kijamii watu wanaulizana ni bar gani kuna jenereta watu wawahi siti.
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kuhusu umeme tumuamini nani? Maharage au Byabato? Kuna namna hapa

    Huyu ni Maharage. Huyu ni Byabato
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania TANESCO tunaomba umeme usikatike kipindi hiki cha Kombe la Dunia

    Najua mpo humu tena ngoja niwatag TANESCO Poleni na majukumu makubwa sana ya kutukatia umeme kila uchwao, sasa mimi nikiwa kama mdau wa soka, kombe la dunia linaanza leo hivyo tunawaomba sana msitukatie umeme mkatunyimba burudani ya soka ambayo huja kila baada ya miaka minne. Kwakuwa TBC1...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mgao mkali wa umeme Tanzania

    Umeme unakatwa saa 1 au 2 asubuhi unarudi saa 6 usiku. Huu mgao mkali kupata kutokea, kwanini isiwe saa walau 8 kwa siku?
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ethiopia yaanza kuuza umeme kwa Kenya

    Ethiopia imeeleza kuwa inatarajiwa kuingiza Dola Milioni 100 (Tsh. Bilioni 232) kwa mwaka kutokana na biashara hiyo, tamko lililotolewa wiki moja baada ya kusaini mkataba huo wa kuuza umeme kwa muda wa miaka 25 ijayo. Mkataba huo utaifanya Ethiopia kuuza Megawatts 600 kwa Kenya kutoka katika...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini iwe wao tu wakishika hatamu ndio wanatutesa na sakata la umeme? Ina maana wao hawana huruma? Wazee wa madili

    Yaani mkulu wa Bagams alipokuwa madarakani tuliteseka sana na umeme. Nchi ikawa gizani. Makelele ya jenereta yakawa komoni. Sasa najiuliza mbona ule upande mwingine wa akina Mpina uliposhika hatamu haya ya mgao wa umeme yalipotea? Ina maana hawa jamaa hawana huruma na sisi?
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Kumbe bwawa la Nyerere yalikuwa maono, Kenya yafunga mkataba wa miaka 25 kununua umeme wa bwawani kutoka Ethiopia

    Ethiopia imeanza kuzalisha umeme kutoka kwenye bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme barani Afrika maarufu kama 'Grand Ethiopian Renaissance Dam (Gerd)' likitarajiwa kuzalisha megawatts 5000 ambayo ni mara mbili ya umeme uliokuwa unazalishwa Ethiopia kabla ya bwawa hilo. Kenya wamewahi kwa...
  18. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Eti wao wajanja Magufuli mshamba; si maji wala umeme hakuna

    Walimuita Magufuli mshamba kwa maana wao wajanja. Ujanja wenyewe kupiga dili kuhujumu maendeleo ya nchi. Awamu ya nne tuliambiwa gesi ndio itatatua tatizo la umeme. Tukaacha kwanza mpango wa kuiuza nje tuzalishe umeme kinyerezi. Mabomba yakalazwa urefu wa kilomita elfu na zaidi. Sasa tayari ziko...
  19. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu anajua kuhusu hii umeme kukatika, nini kinaendelea au shida nini??

    Please naona sasa tunaenda mwendo kimya kimya imekuwaje umeme unakatwa kila siku hatupewi taarifa, nini shida maana tukipata taarifa inakuwa nafuu tunajua namna ya kujipanga na ratiba sasa hii kimya kimya unaamka unakuta wamechukua unajipa moyo sijui utarudi sasa hivi mara inagonga jioni. Hebu...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama tu French Revolution ya 1789 ilitokana na Bei ya Mkate kupanda hata Kwingineko Tozo, Mgawo wa Maji na Umeme unaweza Kuivuruga nchi

    Endeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
Back
Top Bottom