umeme

  1. Rais Samia usiende China ukaacha nchi haina maji wala umeme

    Kinachoendelea Tanzania ni Uhaini unaofanywa na baadhi ya Mawaziri wa serikali ya awamu ya sita, haiwezekani mgao wa maji ufike mpaka Vijijini hivi ninavyoandika nipo Marangu mtoni maji yanatoka kwa Don mmoja aliyechimba maji chini. Kama hiyo haitoshi leo ni siku tatu umeme unakatika saa kumi...
  2. TANESCO kumaliza tatizo la umeme Tanga kufikia Machi 2023, waelezea kuzalisha umeme kwa njia ya jua

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeweka wazi mipango yake ya kumaliza tatizo la umeme kwa asilimia 100 Mkoani Tanga kufikia Machi 2023, huku kukiwa na mikakati ya kuzalisha umeme kwa njia ya jua kufikia mwishoni mwa mwaka huu (2022). Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Hashim Mgandilwa...
  3. Unakabiliana vipi na changamoto ya umeme kwenye biashara yako?

    Wanajukwaa! Ningependa tujadili ni namna gani iliyo bora na gharama nafuu ambayo inaweza kukabiliana na ukosefu wa umeme kwenye biashara. Kama tunavyoshuhudia ni kuwa kuna kupoteza wateja na kutofikia malengo husika. Karibuni!!
  4. Mgawo mkali wa umeme na maji unaoendelea nchini ni wazi kabisa watendaji wa Serikali mnaihujumu Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Hiki kinachoendelea kimyakimya ni mchakato wa kuturudisha kuleee miaka ilee ya 2005, 2006, 2007...... miaka ambayo Dar Es Salaam na Tanzania kwa ujumla ilikua imepambwa na mikokoteni ilishosheheni madumu ya korie yaliyobeba maji na magari yenye matank ya maji kila kona. Kwa kasi ya ajabu...
  5. Special Thread: Ku-track kukatika kwa umeme

    .
  6. Kukata umeme siku mbili mfululizo kazi zitafanyika saa ngapi?

    Mlikuwa mnakata kwa kuruka siku. Haikuwa mbaya sana. Sasa hii ya kukata siku mbili mfululizo kazi zitafanyika saa ngapi?
  7. Mambo ya ajabu yamelighubika taifa letu. Umeme unakatika ovyo huku Waziri mwenye dhamana anadai kuna Megawatts 14000 za ziada

    Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme. Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku. Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
  8. Tatizo la mgawo/kukatika toka hivyo kwa umeme ni aibu sana kwa Serikali ya Tanzania chini ya Chama Cha Mapinduzi!

    Kama kuna eneo ambalo serikali ya JMT inayoongozwa na TANU/ASP kisha CCM tangu uhuru 1961 imefeli spectacularly kisera na kimipango ni la upatikanaji wa huduma bora na ya kuaminika ya nishati ya umeme. Ni aibu sana kuwa na umeme usioeleweka na unaokatikakatika hata mara 50 kwa siku. Sababu...
  9. Maeneo ya Dar es Salaam kukosa umeme Oktoba 24 & 25, 2022, TANESCO yasema kuna maboresho ya mitambo

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kukosekana kwa umeme katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kutokana na uwepo wa matengenezo kadhaa, leo Jumatatu Oktoba 24, 2022 kuanzia saa moja asubuhi hadi saa nane mchana. Matengenezo yanayofanyika katika mtambo namba mbili wa kuzalisha...
  10. Kuuliza sio ujinga, kwa sasa kuna mgao wa Umeme?

    Kila kukicha umeme unakatika siku nzima tena wilaya nzima au mkoa mzima. Ninauliza Tanesco, Tanzania tumeanza mgao wa umeme? Nimeuliza ili tuanze kununua generator
  11. Hivi chanzo cha huu mgao wa maji na umeme ni nini?

    Hivi kweli unawezaje kujitembeza bila aibu eti unafanya royal tour, halafu watalii wakija wanakuta nchi ina mgao wa maji na umeme? Huu mgao ulianza lini? Mbona wananchi hatuna taarifa? Au ndio siasa yenyewe hii?
  12. Rais Samia azindua mradi wa Umeme Nyakanazi, yaelezwa utasaidia kuokoa Tsh Bilioni 60 za jenereta

    Rais Samia Suluhu Hassan, Oktoba 16, 2022, amezindua mradi wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme mkubwa wa 220kV/33kV cha Nyakanazi Mkoani Kagera ambao umekamilika. Aidha, Rais amezindua maeneo manne ya mradi huo ambayo ni; Njia ya umeme msongo wa Kilovoti 220 kutoka Geita mpaka...
  13. Ujenzi Mradi wa Umeme Bwawa la Julius Nyerere wafikia 74%, Kamati ya Nishati na Madini yaridhishwa

    Ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere umefikia 74%, hatua ambayo imebainishwa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini iliyofanya ziara katika mradi huo Oktoba 15, 2022. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Stella Manyanya amesema...
  14. Hivi ni kwanini TANESCO wanashindwa kutoa ratiba ya mgao wa umeme?

    Karibu nchi nzima, maeneo tofauti tofauti yanakatika katika umeme kila siku hususani kwa siku za karibuni pasipo kutolewa taarifa na Tanesco, na jambo hilo linaathiri sana maisha ya watu na shughuli zao. Sote tunajua Tanzania tupo kwenye mgawo wa umeme. Sasa kuna ugumu gani kwa TANESCO kutoa...
  15. Kituo cha kupoza Umeme cha Mpomvu kuipa Geita umeme wa Megawati 90

    Uwepo wa kituo cha kupokea, kupoza na kusafirisha umeme mkubwa wa kilovoti 220/33 kutoka Bulyanuhlu hadi Mpomvu Geita sasa utaifanya Geita kupata umeme wa Megawati 90 wakati mahitaji yao kwa sasa ni Megawati 18. Kukamilika kwa kituo hiki kunaifanya Geita pia kuanza kupata umeme wa kutosha kwa...
  16. Hali inatisha, Kariakoo hakuna umeme, uchumi wa majenereta umerudi?

    Tunaomba taarifa TANESCO , nini kinaendelea =========================== Inaumiza sana
  17. Kama TANESCO wameshindwa kazi na wamekosa dira, kwanini wasiruhusu makampuni binafsi yagawe umeme?

    Hili huwa najiuliza mara kwa mara Sana Naombeni JamiiForums msilichanganye kule kwenye thread ya TANESCO macomment mengi sana huenda hata hawataona maana hii imekua kero sana kwa sisi Raia. Waziri na wizara kwa ujumla sijui kama Wana Mkakati wowote wa kuondokana na Tatizo La Mgao wa Umeme naona...
  18. B

    Wanajamvi nahitaji jagi la umeme kuchemshia maji ya lita na nusu

    Nashindwa kujua ni kampuni ipi naweza kupata jagi konki (original), naomba msaada wa mawazo tafadhali. Liwe automatic (maji yakichemka ufikia centigrade mia linajikata lenyewe), ila lisiwe lakukaliza kwenye kitako nataka liwe limeunganika.
  19. TANESCO yatangaza baadhi ya maeneo katika mikoa 17 itakayokosa umeme kwa siku mbili Oktoba 9 & 10, 2022

    TANESCO imeweka wazi sababu kuwa ni kuzimwa kwa laini 2 kubwa za umeme Kilovoti 220 kutoka Morogoro hadi Kinyerezi na Morogoro hadi Kidatu. Baadhi ya Maeneo yatakayoathirika ni Dar es Salaam, Pwani, Tanga, Arusha, Morogoro, Iringa, Mbeya, Ruvuma, Njombe, Shinyanga, Tabora, Mwanza, Mara, Simiyu...
  20. P

    Ili upigaji uwe rahisi na miradi kutokukamilika na umeme uwe wa mgao, lazima JPM azodolewe kwa sababu nyepesi na za kipuuzi

    Mtu aliyekuwa anajua mbinu zote za wafanyakazi wa Tanesico kwamba, kipindi hichoo cha wao kuongoza, kulikuwepo na kikundi maalumu cha kufungulia maji ya mtela ili tu kutengeneza mgao haramu wa umeme na wao kutengeneza biashara za majenereta Mbinu hiyo iliwafumbua watanzania wengi, na tangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…