Ili upigaji uwe rahisi na miradi kutokukamilika na umeme uwe wa mgao, lazima JPM azodolewe kwa sababu nyepesi na za kipuuzi

Paulsylvester

JF-Expert Member
Oct 15, 2021
1,467
3,381
Mtu aliyekuwa anajua mbinu zote za wafanyakazi wa Tanesico kwamba, kipindi hichoo cha wao kuongoza, kulikuwepo na kikundi maalumu cha kufungulia maji ya mtela ili tu kutengeneza mgao haramu wa umeme na wao kutengeneza biashara za majenereta

Mbinu hiyo iliwafumbua watanzania wengi, na tangu tamko hilo Kutoka Kwa Amiri Jeshi kamanda na Jiwe JPM (hayati) lilipotoka, hakukuwepo mgao wa umeme tena!

Ili sauti hiyo ipotee na watanzania waamini, ni lazima hao hao ambao walikuwa wakifumgulia mabwawa ya umeme enzi za utawala wao wapangue hoja za ukweli za hayati JPM Kwa maneno ya dhihaka, kejeli na uwongo mwingi ili kuhalarisha kile wanataka kufanya ili hali pia wakijua hayupo duniani na hawezi kusema tena

Wengi wa wa watanzania ni watu wa kusahau mapema saana! 2015 wakati JPM akiingia madarakani, mwaka huo kulikuwepo ukame Mkubwa sana wa mvua, lakini umeme nchini haukusumbua kama wanavyofanya sasa

Sasa kinachofanywa na wizara hiii Kwa sasa, ni propaganda za kuhalarisha madudu yao,

Propaganda hizi, zilianzia kwenye ujenzi wa Bwawa la JKNHP, na kiukweli Kwa propaganda zao, wamewaweza watanzania wajinga wale wafoji vyeti!

Mbwembe hizi zoote zinazofanywa Kwa press ama machapisho mengi mitandaoni kuhusu ukweli wa namna nchi ilivyo na inavyotakiwa iwe, kwa sababu hiyo, hizi ni njia tu za wao kutaka kuitafuna nchi

Miradi iliyokuwa ikijengwa bila tozo sielewi kama inaendelea ama la, Kwa sasa tuna tozo juu, lakini hadi Leo Bwawa linalotazamiwa kuzalisha umeme Mgw2000 iwapo linaendelea na mpango wa lini linakamilika ni lini haijulikani!

Nchi ya ajabu hii

Basi tumejua JPM alituvuruga, Basi nyinyi leteni unafuu wa maisha yetu Basi!

Mmekalia kumseme tuu, lakini mmefanya nini napo haijulikani!
 
Kitu ambacho hamkumbuki ni kuwa ile miaka mitano ya magufuri kulikuwa na mvua ya kutosha ndo maana hatukuona tatzo la umeme sana maana maji yalipatikana ya kutosha kama sio mvua ya kutosha hata wakati wake umeme ungetusumbua tu
 
Kosoa Serikali ya sasa bila kumhusisha Magufuli kwa sababu KAFA na hatarudi kugombea

Kuna mapungufu ya hii serikali na lazima ikosolewe lakini sio kwa kumsifia yule shetani mtu
Muda mwingi unatumika kuonesha kuwa JPM hakuwa kiongozi mzuri kuliko kueleza uzuri wa uongozi huu uliyopo, ukihoji ukikosoa au kuhoji huu uongozi mara utaambiwa nenda kazikwe nae chato.
 
Kitu ambacho hamkumbuki ni kuwa ile miaka mitano ya magufuri kulikuwa na mvua ya kutosha ndo maana hatukuona tatzo la umeme sana maana maji yalipatikana ya kutosha kama sio mvua ya kutosha hata wakati wake umeme ungetusumbua tu
Na issue ya kutofanyia marekebisho mitambo kwa miaka 5 nayo vp?
 
Mtu aliyekuwa anajua mbinu zote za wafanyakazi wa Tanesico kwamba, kipindi hichoo cha wao kuongoza, kulikuwepo na kikundi maalumu cha kufungulia maji ya mtela ili tu kutengeneza mgao haramu wa umeme na wao kutengeneza biashara za majenereta

Mbinu hiyo iliwafumbua watanzania wengi, na tangu tamko hilo Kutoka Kwa Amiri Jeshi kamanda na Jiwe JPM (hayati) lilipotoka, hakukuwepo mgao wa umeme tena!

Ili sauti hiyo ipotee na watanzania waamini, ni lazima hao hao ambao walikuwa wakifumgulia mabwawa ya umeme enzi za utawala wao wapangue hoja za ukweli za hayati JPM Kwa maneno ya dhihaka, kejeli na uwongo mwingi ili kuhalarisha kile wanataka kufanya ili hali pia wakijua hayupo duniani na hawezi kusema tena

Wengi wa wa watanzania ni watu wa kusahau mapema saana! 2015 wakati JPM akiingia madarakani, mwaka huo kulikuwepo ukame Mkubwa sana wa mvua, lakini umeme nchini haukusumbua kama wanavyofanya sasa

Sasa kinachofanywa na wizara hiii Kwa sasa, ni propaganda za kuhalarisha madudu yao,

Propaganda hizi, zilianzia kwenye ujenzi wa Bwawa la JKNHP, na kiukweli Kwa propaganda zao, wamewaweza watanzania wajinga wale wafoji vyeti!

Mbwembe hizi zoote zinazofanywa Kwa press ama machapisho mengi mitandaoni kuhusu ukweli wa namna nchi ilivyo na inavyotakiwa iwe, kwa sababu hiyo, hizi ni njia tu za wao kutaka kuitafuna nchi

Miradi iliyokuwa ikijengwa bila tozo sielewi kama inaendelea ama la, Kwa sasa tuna tozo juu, lakini hadi Leo Bwawa linalotazamiwa kuzalisha umeme Mgw2000 iwapo linaendelea na mpango wa lini linakamilika ni lini haijulikani!

Nchi ya ajabu hii

Basi tumejua JPM alituvuruga, Basi nyinyi leteni unafuu wa maisha yetu Basi!

Mmekalia kumseme tuu, lakini mmefanya nini napo haijulikani!
Yaani we jamaa unaonaga Magufuli ni mungu kabisa asiyekosea!
 
Ni akili zako tu za kijinga zinazokutuma useme hivyo!

Na umesema bila hata ya kusoma ukaelewa!

Basi Kwa JPM tulibugi, rekebisheni basi mambo yaende sawa na vitu vishuke bei ili maisha angalau yapungue ukali
 
Mtu aliyekuwa anajua mbinu zote za wafanyakazi wa Tanesico kwamba, kipindi hichoo cha wao kuongoza, kulikuwepo na kikundi maalumu cha kufungulia maji ya mtela ili tu kutengeneza mgao haramu wa umeme na wao kutengeneza biashara za majenereta

Mbinu hiyo iliwafumbua watanzania wengi, na tangu tamko hilo Kutoka Kwa Amiri Jeshi kamanda na Jiwe JPM (hayati) lilipotoka, hakukuwepo mgao wa umeme tena!

Ili sauti hiyo ipotee na watanzania waamini, ni lazima hao hao ambao walikuwa wakifumgulia mabwawa ya umeme enzi za utawala wao wapangue hoja za ukweli za hayati JPM Kwa maneno ya dhihaka, kejeli na uwongo mwingi ili kuhalarisha kile wanataka kufanya ili hali pia wakijua hayupo duniani na hawezi kusema tena

Wengi wa wa watanzania ni watu wa kusahau mapema saana! 2015 wakati JPM akiingia madarakani, mwaka huo kulikuwepo ukame Mkubwa sana wa mvua, lakini umeme nchini haukusumbua kama wanavyofanya sasa

Sasa kinachofanywa na wizara hiii Kwa sasa, ni propaganda za kuhalarisha madudu yao,

Propaganda hizi, zilianzia kwenye ujenzi wa Bwawa la JKNHP, na kiukweli Kwa propaganda zao, wamewaweza watanzania wajinga wale wafoji vyeti!

Mbwembe hizi zoote zinazofanywa Kwa press ama machapisho mengi mitandaoni kuhusu ukweli wa namna nchi ilivyo na inavyotakiwa iwe, kwa sababu hiyo, hizi ni njia tu za wao kutaka kuitafuna nchi

Miradi iliyokuwa ikijengwa bila tozo sielewi kama inaendelea ama la, Kwa sasa tuna tozo juu, lakini hadi Leo Bwawa linalotazamiwa kuzalisha umeme Mgw2000 iwapo linaendelea na mpango wa lini linakamilika ni lini haijulikani!

Nchi ya ajabu hii

Basi tumejua JPM alituvuruga, Basi nyinyi leteni unafuu wa maisha yetu Basi!

Mmekalia kumseme tuu, lakini mmefanya nini napo haijulikani!
Tuache makundi, tujenge nyumba Moja na nchi yetu isinge mbele
 
Back
Top Bottom