umeme

  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Kiwanda kikubwa cha kijeshi Urusi chatiwa kiberiti

    Putin alipokua anapiga vyanzo vya umeme kule Ukraine, hakujua na kwake sio mbali kihivyo, kwamba hakufikiki, haya. --- Another suspicious fire has started in Russia as the country struggles amid the Ukrainian war. The military-linked Zvezda engineering plant in St Petersburg caught ablaze –...
  2. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Mgawo wa umeme na maji na tozo mbalimbali zimeamua matokeo ya NEC

    Nimetafakari kwa kina matokeo ya NEC nikaona umeme, maji na tozo ndio sababu kuu zilizotuletea matokeo hayo. Nawashukuru wajumbe kwa matokeo mazuri sana! Wahusika wajitafakari kwa mstakabali wa maisha yao ya kisiasa ndani na nje ya chama! Mungu ibariki Tanzania nchi yetu.
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Nyerere likikamilika umeme utapanda bei ama utashuka bei?

    Kutokana na uwekezaji kwenye Bwawa la Nyerere kuhusisha na mikopo pia, je, lile bwawa likikamilika, bei ya umeme itapanda ama itashuka?
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO yasema imepunguza tatizo la upungufu wa umeme lakini mvua hazijatosha kuongeza uzalishaji

    TANESCO yataja jitihada zinazoendelea kufanyika kukabiliana na hali ya upungufu wa umeme.
  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Huu umeme wetu unakatika kama Angel Nyigu

    Naona finally kama yalivyokuwa matarajio yao, Watanzania tumenywea kama nini sijui. Tuko busy kujadili Harmonize kuachana na Kajala. Na embu tuchukulie kweli hili tatizo liko nje ya uwezo wa serikali kulitatua, embu tuchukuliè tu ni kweli. Hivi kwa nini sijawahi kuona serikali ikihamasisha watu...
  6. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Treni ya umeme naona imeanza kazi

    Haya limewashushuka shuuuu.. Wapinzani wote wanaobeza kazi za mama yetu... Mama yetu anaupiga mwingi... Tayari keshafanikisha. Yale mabehewa yetu mapya yaliyoletwa ya treni yetu ya UMEME yameanza kupiga kazi... Na yanapendeza kweli... MAMA ANAUPIGA MWINGI.
  7. Transistor

    JamiiForums Tanzania Mfungo wa umeme wenye kupunguza uwezekano wa moto katika jengo

    "Wall and underground concealed conduit wiring" Habari wakuu, Ningependa kuelezea aina hii ya ufungaji umeme kwenye makazi,tofauti na ule wa kupitisha waya juu ya dari na ukuta. Katika mfumu huu kiasi kikubwa cha wire zinapita katika ukuta na chini ya sakafu. Mara nyingi upitishaji wa...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima alitudanganya kuwa amepata Umeme Megawati 250 kutoka Ujerumani kwa ajili ya Tanzania

    Salaam Wakuu, Huyu Baba wetu wa Kiroho nimeanza kumkatia tamaa. Ana ahadi za Uongo. Alidai kanunua vichwa vya treni ya Mwendo kazi kwa Matumizi ya Tanzania, akadai ataleta bodi za Uvuvi na kuwapeleka Vijana wa Jimbo la Kawe Marekani na Japan kubadilishana Uzoefu. Tutachambua moja moja ila leo...
  9. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme ndilo litakuwa janga kuu la kura za CCM 2025. Mabadiliko ya haraka ya sekta hii ni muhimu

    CCM imekamilisha kupanga timu ya kusaka kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Mabadiliko ya watendaji serikalini yanatarajiwa kufanyika hivi punde kwa lengo hilo hilo la kuvutia kura za wananchi. Katika harakati zao hizo ni vyema wakazingatia ushauri ufuatao: - Janga namba moja kuu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 61, chama chenye maarifa mengi (CCM), kimeshindwa kutatua tatizo la maji na umeme!

    Sisemi mengi. Hivi inakuingia akilini kuwa CCM ni chama chenye maarifa mengi kama kwa miaka 61 sasa watanzania wanakabiliwa na shida ya maji na umeme wakati nchi imezungukwa na mito, maziwa na hata bahari? Yaani watu walioshindwa kutumia maji ya maziwa (mfano ziwa victoria) katika kupambana na...
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Asikwambie mtu, Mgao wa umeme wamiliki wa viwanda wanaisoma Namba

    Hivi ndivyo ninavyoweza kusema kwa ufupi, hali ni mbaya sana kwa wamiliki wa viwanda Tanzania tangu kuondoka kwa uncle mambo yamebadilika sana. inawezekana baadhi ya wawekezaji walifurahia kuondoka huyu mwamba ila wakati wanaopitia kwa sasa mungu mwenyewe anajua. iko ivi viwandani huwa...
  12. Desierto

    JamiiForums Tanzania Hivi haiwezekani kuwa na makampuni ya umeme kwenye nchi yetu?

    Habari za humu wana jukwaa natumaini hamjambo. Nimekuja na mada hii baada ya kulala giza kila wakati, pia kushindwa kufanya kazi zangu za kiuchumi. Yaani serikali yenyewe iwe inachimbia tu nguzo halafu kuwepo na makampuni ya kupitisha waya za umeme, naamini nguzo moja kuna uwezekano wa...
  13. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bei ya kununua umeme kupanda kuanzia January unit kuuzwa 511

    Kuna tetesi nimepewa na mtu wangu wa huko wizarani kuwa kuna bei mpya ya units kuanzia january Bei itapanda kutoka Tsh 357 kwa unit bei ya sasa hadi kufika 511 kulingana na nilivyoambiwa Halafu nimeambiwa pia tarrif 4 ile ya kununua umeme wa 5000 unapewa units 40 kwa vijijini inaondolewa...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

    Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na maji mchini, amshambulia vikali mwandishi, asema "Kuwa na shukrani".
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Mtambo wa kuzalisha Megawati 20 za umeme umewasili Nchini ukitokea Marekani

    Ijumaa Desemba 2, 2022, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilitoa taarifa ya jitihada za muda mfupi zilizokamilika pamoja na zinazoendelea kufanyika katika kukabiliana na upungutu wa umeme. Leo Jumanne Desemba 6,2022, TANESCO imetoa ripoti kuwa tayari mtambo wenye uwezo wa kuzalisha Megawati...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Hali ya umeme yawa ya matumaini baada ya juhudi za Serikali pamoja na mvua kuanza kunyesha maeneo mbalimbali nchini

    Ndugu zangu kwa Sasa Hali ya umeme inarejea katika Hali yake ya kawaida,kwa Sasa shughuli za kiuchumi zinazotegemea umeme zinakwenda vyema, Mioyo ya wananchi wajasiriamali na wafanyabiashara imeanza kuwa na Tabasamu na matumaini ya kufanya kazi muda wote,Taa ya Matumaini inawaka mioyoni mwa watu...
  17. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Doctor wa heshima na umeme wa mgao

    Kwangu Mimi angesubiri kwanza miaka mitano ili nimpe marks Ila kwa sasa naona ana 45% tu kwenye utendaji. Labda kwa kuruhusu watu kulamba asali na wengine kuangalia kwa macho ndio heshima yenyewe. Umeme changamoto bado, mfumuko wa bei, japo maji ametatua baada ya kelele nyiiiiingi .
  18. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Mvua zikiendelea kunyesha katika mabwawa, changamoto ya upungufu wa umeme itapungua

    Changamoto za Upungufu wa umeme Kupatiwa Ufumbuzi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Bw. Maharage Chande akizungumza na waandishi wa habari leo December 2, 2022 kuhusu hatua za muda mfupi na muda mrefu kumaliza upungufu wa umeme . Mkurugenzi ameongeza kuwa mvua zinazonyesha muda huu nchini bado...
  19. stineriga

    JamiiForums Tanzania Janga la umeme linaloendelea, tujuzane wapi unaweza kwenda kufanya kazi zako kwa kulipia au kununua wanachouza

    Ni miezi miwili au mitatu sasa hakuna umeme wa uhakika kabisa, nijikite kwenye mada. Wapi kwa Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, au kwingine ukiwa na kazi za ofisini kwenye laptop unaweza kwenda kufanya kazi zako pindi umeme unapokatika. Maana yake wengine tutakufa njaa na kazi za watu...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kwenye miradi ya kuzalisha umeme ya gesi na mafuta mpaka iwe chanzo cha kuibia Watanzania na kuwapora nishati ya umeme?

    Kwa nini watawala wasio na nia njema na CCM hawataki mradi wa JNHP ukamilike na kutatua kero ya umeme hapa nchini? Kisingizio kinakuwa hali ya hewa. Tangu mlete miradi ya na majenereta ya mafuta na gas tukawa tunaibiwa na Dowans Aggrekoz, Iptl na utapeli wa Richmond nyie CCM vibaka mbona hamna...
Back
Top Bottom