umeme

  1. Matango

    JamiiForums Tanzania Umeme ni maafa ya taifa- Afrika kusini

    Rais wa Afrika ya Kusini ameshalitangazia Taifa hilo kubwa kuwa sasa Umeme umekuwa janga la Taifa na Mamlaka za kushughulikia majanga zimeanza kufanyia kazi hali hiyo ili kulinusuru Taifa hilo kutokana na madhara ya kukosekana kwa umeme. Hali ni mbaya mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia...
  2. exaud morrey

    JamiiForums Tanzania Serikali itafute mbadala wa TANESCO

    Habari zenu wana jamvi natumai muwazima. Kama kichwa cha habari kinavyo sema mimi naona kiukweli TANESCO kuna sehemu wamekwama haiwezekani mvua kidogo umeme unakatika pia shirika hili linaonesha limeshindwa kumudu kwenda na wakati. Mimi maoni yangu kwa serikali nawashauri waliuze au waruhusu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kampuni bora za umeme wa jua (solar)

    Nawasalimu wanajamvi. Habarini za mapumziko ya Jumamosi. Niende kwenye mada. Kwa wajuzi na wataalamu wa aina ama kampuni Bora za Sola. Tunafahamu kuwa kuna sehemu/vijiji ambavyo bado umeme wa REA haujafika. Hivyo nahitaji kwenda kumfungia umeme wa sola mama yangu. Mwenye ufahamu juu hili...
  4. Poker

    JamiiForums Tanzania Haya mawe yanawasha umeme pamoja na Generator!

    Haya ni mawe ambayo yanauwezo wa kuwasha umeme na hata generator. Yanapatikana nchini DRC na ndio sababu vita vya wenyewe kwa wenyewe haviishi. Swali kwa wataalamu je ni kweli mawe yanaweza kuwasha umeme hii imekaaje?
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bosi wa Toyota ajiuzulu kupisha mabadiliko ya kampuni kuingia kwenye Magari ya Umeme

    CEO na Rais wa Toyota Group ametangaza kuachia nafasi yake ya kuisimamia Toyota. Akio Toyoda ni mjukuu wa muanzilishi wa Toyota - Kiichiro Toyoda. Akio amekuwa President na CEO tangu mwaka 2009 hivyo amekuwa kiongozi mkuu wa kampuni hiyo kwa miaka 14. Akio alikuwa Man of Year wa mwaka 2012...
  6. Tarimofundiumeme

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Miundombinu ya UMEME huanza Kuwekwa Kwenye hatua Ipi katika Ujenzi wa Nyumba Yako?

    -Kipengele Cha Umeme katika Nyumba ni moja ya kitu muhimu sana,na inashauriwa kutumia wataalamu wa fani husika kwakua umeme ni hatari pia. ◾️Kwa Nyumba Ambazo sio za Ghorofa, Inashauriwa Kabla hujaanza Kupiga Plasta Jengo lako, Fundi atahusika Kutindua,kujenga box za switch&sockets,round box...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme unaoendelea unasababishwa na nini?

    Inasikitisha sana kuona bado kuna mgao wa umeme wakati tumeambiwa maintenance imekamilika na mvua zimeshajaza mabwawa, sasa huu mgao unaoendelea unasababishwa na nini?
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Uzalishaji wa Umeme na Gesi Asilia umeongezeka

    Imeelezwa kuwa uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme iliyoungwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa umeongezeka na kufikia megawati 1,777.05 Desemba 2022 sawa na ongezeko la asilimia 4.87, ikilinganishwa na megawati 1,694.55 zilizokuwepo hadi kufikia Septemba 2022. Aidha, katika kipindi cha Julai hadi...
  9. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukatika kwa umeme

    Hadi sasa sijaona barua rasmi kutoka TANESCO ya kuomba radhi au kutoa sababu za kukosekana kwa umeme kwa muda wa siku nzima katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya UBUNGO hapo jana tarehe 20 January, 2023. TANESCO
  10. N

    JamiiForums Tanzania Umeme wa uhakika hadi vijijini

    Waziri wa Nishati January Makamba amesema, hali ya miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme imeendelea kuimarika na kuwezesha upatikanaji umeme wa uhakika. Kutokana na kuboleshwa kwa miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme, Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limefanikiwa...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mara: Kijana apanda kwenye grid ya taifa

    Angalia hapa
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Congo wagundua mawe yenye umeme, tutarajie ugomvi zaidi?

    Mambo ya Congo haya,
  13. Zogolo1550

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao jijini DAR

    Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao kwa kutumia mashine (CHAINSAW). TUNAPATIKANA MBEZI MWISHO Kwa mawasiliano :0758700852
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Serikali kushtakiwa kwa kushindwa kutoa huduma ya Umeme wa Uhakika

    Makundi ya Upinzani, Chama cha Wafanyakazi na Wamiliki wa Biashara Wameandika barua ya madai kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Shirika la Serikali la Eskom, Andre de Ruyter, wakisema kuwa Shirika hilo inakiuka wajibu wake wa kutoa huduma ya umeme. Pia, wameipa Serikali hadi Januari 20, 2022...
  15. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kuhusu Hoteli ya Alkael Mbowe kutumia umeme wa wizi

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoani Kilimanjaro limeikatia umeme hoteli ya Aish hotel inayomilikiwa na Mbunge wa Hai (CHADEMA), Freeman Mbowe kwa madai kuwa wamebaini inatumia umeme wa wizi na kuisababishia Serikali hasara ya shilingi milioni 10.8. Akiungumza, Meneja wa Tanesco Mkoa wa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mliomshambulia January Makamba njooni mumpongeze baada ya hali ya umeme kutengemaa

    Ndugu zangu watanzania, Uongozi Unahitaji kuwa na ngozi ngumu, Unahitaji kuwa na msimamo, Unahitaji kuwa mvumilivu na mwenye Subira, Unahitaji kuwa na Nidhamu ya kimaamuzi, Unahitaji kutoyumbishwa na upepo uvumao, Unahitaji kujuwa unasimamia Nini, Unahitaji kujuwa kuwa huwezi ukawafurahisha...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuunganishiwa umeme

    Ndugu Wana jamvi naomba munisaidie, hivi iliuunganishiwe umeme na Tenesco unatakiwa kufanya nini? Mimi ni mwenyeji Wa Mwanza, nimefanya jitihada zote ili niunganishiwe umeme imeshindikana. Ndio maana nauliza wanaounganishiwa umeme wanatumia njia gani?
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania January Makamba, miradi ya umeme yenye dhamani ya 57 Bilioni imekwama kanda ya ziwa au hujawalipa wakandarasi?

    Kuna shida inayoendelea kunyemelea uongozi wa awamu ya 6. January Makamba, waziri wa Nishati alipita mikoa ya kanda ya ziwa na kusema ametuma fedha za miradi ya umeme takribani 57 Bilioni. Cha kushangaza na kusikitisha hakuna mkandarasi site mikoa yote ya kanda ya ziwa na wanaccm wanasubiri...
  19. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Waliofilisiwa biashara zao kwa mgao wa umeme 2022 watafidiwa na nani?

    Mwaka 2022 unaelekea kufikia mwisho ni mwaka ambao watanzania wengi wamefilisika na biashara zao nyingi zimekufa na kupoteza wateja hasa zile biashara zilizokuwa zinategemea nishati ya umeme chini ya uongozi wa Waziri Januari Makamba(MNEC). Watu wa biashara za saluni za kike na za kiume...
  20. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mgawo wa umeme ulivyowaachia umasikini watanzania 2022

    12 Septemba 2021 ni siku ambayo Tanzania iliingia kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi baada ya kuteuliwa Januari Makamba(MNEC) kuwa Waziri wa Nishati. Mwaka 2022 unaelekea kufikia mwisho ni mwaka ambao watanzania wengi wa hali ya chini wamefilisika na wengine biashara zao nyingi zimekufa na...
Back
Top Bottom