Hivi chanzo cha huu mgao wa maji na umeme ni nini?

FourTwoNet

JF-Expert Member
Aug 4, 2022
1,235
2,497
Hivi kweli unawezaje kujitembeza bila aibu eti unafanya royal tour, halafu watalii wakija wanakuta nchi ina mgao wa maji na umeme?

Huu mgao ulianza lini? Mbona wananchi hatuna taarifa? Au ndio siasa yenyewe hii?
 
Si mlichagua kwa kishindo? Tulia dawa iwaingie
 
Maji kwa Dar wanasema Ruvu kina kimeshuka.

Nadhani na umeme watasema bwawa linakauka.
 
Hivi kweli unawezaje kujitembeza bila aibu eti unafanya royal tour, halafu watalii wakija wanakuta nchi ina mgao wa maji na umeme?

Huu mgao ulianza lini? Mbona wananchi hatuna taarifa? Au ndio siasa yenyewe hii?
Mbona Tanesco walishasema maji yamepungua kwenye mabwawa?
 
Naona wewe una majenereta ya kutosha. Mbona miaka mitano iliyopita kabla ya mama, maji hayakupungua?
Kwani hata kama niwe nayo au nisiwe nayo ndio itakusaidia nini Kuhusu umeme?

Umeme sio blaa blaa kama haupo ni haupo tuu..

Jitoleze upewe wewe Tanesco tuone utakavyotuletea umeme basi maana huwa mna chuki binafsi zisizo na msingi.
 
Hivi kweli unawezaje kujitembeza bila aibu eti unafanya royal tour, halafu watalii wakija wanakuta nchi ina mgao wa maji na umeme?

Huu mgao ulianza lini? Mbona wananchi hatuna taarifa? Au ndio siasa yenyewe hii?
Dah nilkuwa nawaza huyu Ni form four au Kwan mpaka uelezwe kuwa Kuna ukame ebu tujitqmbue jmn hii nchi yetu wote kwan chanzo chetu Cha umeme na maji na maji chqnzo chake Ni mvua lazima tuathirike kwa namna moja ama nyingine Kama ni akili ya kuambiwa changanya na zako
 
Mkuu, sasa mbona makasiriko? Si ni mimi ndio nafaa kukasirika?
 
Hivi kweli unawezaje kujitembeza bila aibu eti unafanya royal tour, halafu watalii wakija wanakuta nchi ina mgao wa maji na umeme?

Huu mgao ulianza lini? Mbona wananchi hatuna taarifa? Au ndio siasa yenyewe hii?
Kifo cha Mzee Magu ndio mwanzo wa tabu zote za kijinga na kujitakia...
 
Chama Dollar
Chama Dume
Tatizo Ndiyo Hilo Sasa Na Wamesema Hawatatoka Mpaka Keki Iishe
 
Dah nilkuwa nawaza huyu Ni form four au Kwan mpaka uelezwe kuwa Kuna ukame ebu tujitqmbue jmn hii nchi yetu wote kwan chanzo chetu Cha umeme na maji na maji chqnzo chake Ni mvua lazima tuathirike kwa namna moja ama nyingine Kama ni akili ya kuambiwa changanya na zako
Chanzo lazima kiwe maji? Tazama nchi zinazokuzunguka je zina migao kama kwenyu?
 
Back
Top Bottom