Leo ni 26 JAN lakini Wiki Yote hii nimekuwa wa kupishana na umeme kila siku wanatukatia Umeme Usiku saa 1 kurudi had saa 6 kila siku, yani tunarudi majumbani hakuna kitu tunafanya na Giza ni kulala tu, inakwaza mnoo, na mchana huwa wanakata basi vitu vinaaribima kwenye Friji, yan hata kutuandaa...