Jana Arusha kutwa nzima hakuna umeme,usiku umeme ulirejea saa 7 asubuhi saa 1:43 wamekata.
Tumeshindwa kupasi nguo,vyakula kwenye fridge vimeharibika,tumelipia Dstv full package hatuna tunaweza kutazama.
Kipindi kuelekea Christmas 🎄 majumbani ukiwa mtupu.
Tunajuwa Makamba alihujumu TANESCO...