Nakumbuka miaka ya nyuma sikukuu umeme ulikuwa haukatwi

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,347
4,805
Yaani hata kama kulikuwa na mgao vipi lakini serikali ilihakikisha umeme unakuwepo then baada ya sikukuu ndio utaratibu wa katakata ya umeme inaendelea.

Niseme tu naumia sana kuona sikukuu yetu hii kubwa hatuna umeme huku nilipo.

Na hili simlaumu Mama bali nawalaumu watendaji wa Sector ya Umeme.

Ila Mama nikuombe uwe mkali kidogo itasaidia sana utendaji serikalini.

Sisi bila kutishiwa fimbo huwa hatuendi na ndivyo tulivyolelewa na wakoloni wetu wajerumani na waarabu
 
Back
Top Bottom