umeme

  1. The redemeer

    Inadaiwa Burkinabe wazee wote umeme na maji bure

    Ouagadougou, Burkina Faso – Serikali ya Burkina Faso Chini ya Rais Ibrahim Traore imetangaza kuwa wazee hawatalazimika tena kulipia huduma za umeme na maji. Tangazo hilo limetolewa na Kiongozi wa mpito wa nchi hiyo, Ibrahim Traore, ambaye amesema kuwa huduma hizo zitakuwa bure kwa wazee wote...
  2. W

    Waziri Mavunde azindua mradi wa matumizi ya umeme wa jua mgodini igunga- Tabora

    Imeelezwa kuwa mradi unaotumia teknojia ya kisasa ya uzalishaji umeme wa jua ni mkombozi kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini kwa kupunguza gharama za uzalishaji kwa zaidi ya asilimia 65. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde leo Mei 18, 2025 wakati akizindua mradi wa...
  3. Bueno

    TanesCo msipende kukata Umeme

    Habarini za sahizi watu wa humu jukwaani. Mimi nina kero na TANESCO. TANESCO msiwe mnakata umeme huku kuna watu wengine ni machizi radio vichwa vyao vimejaa stress. Umeme ukikata radio haziongei kwa hio wanaanza kuongea wao wenyewe bila kuongeleshwa na mtu. Kwa hio jitahidini umeme msiwe mnakata.
  4. Ngonidema

    Tanesco! Tanesco baadae 22:00 kuna Jambo la kidunia msikate umeme

    Tunawamba tanesco wasikate umeme dunia baadae itahamia Morocco kumuangalia mnyama akitoa kipigo
  5. PendoLyimo

    REA YAENDELEA NA UHAMASISHAJI MATUMIZI BORA YA NISHATI YA UMEME, NA UUNGANISHAJI WATEJA MKOA WA MOROGORO

    📌Wananchi wapewa elimu matumizi bora ya nishati ya umeme 📌Wahimizwa kujiunganisha na huduma ya umeme 📌Wananchi wahamasika na UMEME TAYARI ( Ready Board) Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuhamasisha matumizi sahihi na endelevu ya umeme kwa Watanzania ikiwa pamoja na kutoa elimu...
  6. Stroke

    Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2 tumsaidiaje?

    Wakuu, Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2, Tumsaidiaje??
  7. Arsenal Gunner

    Wakuu hivi kuvuta umeme nguzo Moja Bei gani

    Najiuliza hapa Bei ya kuvuta umeme nguzo Moja ni Bei Gani Kuna jamaa wameniambia 1m hivi ni kweli wakuu au wanataka kunipiga maana sielewi taratibu mnaojua mnijuze wakuu@Tanesco
  8. BigTall

    TANESCO mtakuja lini kuunganisha umeme Chanika Zingiziwa? Mmeweka nyaya kisha mmepotea

    Machi 16, 2025 kuna memba alitusaidia kufikisha ujumbe kwenye Jamii kuwa sisi Wakazi wa Chanika Zingiziwa tuna changamoto ya kutokuwa na umeme licha ya kwamba TANESCO wamekuwa wakija na kuondoka wakiwa na sababu ambazo hazieleweki. Alichoandika Memba wa kwanza soma hapa - Wakazi wa Chanika...
  9. K

    KERO Responded Miaka mitano Serikali inajenga kituo cha kupozea Umeme Simiyu. Hakuna kinachoendelea, tumedanganywa?

    Ilikuwa Machi 3, 2021 Siku ambayo aliyekuwa Waziri wa Nishati wakati huo Medard Kalemani alipoweka jiwe la msingi ujenzi wa kituo cha kupozea umeme (Sub Station) Mkoa wa Simiyu. Hafla ya kuweka Jiwe la Msingi ilifanyika katika eneo la Imalilo, eneo ambalo lilichaguliwa kituo kijengwe ni nje...
  10. Stephano Mgendanyi

    Serikali Inaboresha Miundombinu ya Umeme Kibiti Kuondoa Changamoto ya Umeme

    SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU YA UMEME KIBITI KUONDOA CHANGAMOTO YA UMEME Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inatekeleza miradi mbalimbali ya matengenezo na ukarabati wa njia za kusafirisha na kusambaza umeme katika Wilaya...
  11. sonofobia

    Naomba mwenye takwimu za vitongoji visivyo na umeme Mtwara na Lindi

    Wakuu natafuta sana takwimu za vitongoji visivyo na umeme mtwara na Lindi. Nahitaji sana hizi taarifa kwa ajili ya matumizi fulani ya kitaaluma. Nilikuwa nahitaji walau majina au source nayoweza kupata hizo data. Asante.
  12. Miss Zomboko

    CAG: Transfoma zenye uwezo mdogo kuliko zilizoainishwa zilinunuliwa na kufungwa bila kufanya tathmini ya mahitaji ya Umeme

    REA alishindwa kufanya utafiti wa mahitaji umeme kama inavyotakiwa na badala yake ilitegemea takwimu zilizopitwa na wakati, hali iliyosababisha makadirio yasiyo sahihi ya mahitaji ya umeme. Pia, kulikuwako na ongezeko la gharama ya Shilingi bilioni 15.34 kutokana na maandalizi hafifu ya...
  13. R

    Hivi nyie TANESCO huduma ya umeme ni biashara isiyo na hasara au ni hujuma Kwa watumiaji!!?

    Moja kati ya taasisi ya ajabu nchini ni Tanesco,uchunguzi wangu niliofanya nimegundua mambo yafuatayo! 1.Kuna mafundi au wahusika wanachezea umeme kama moto anavyochezea kibatari yaani wanakata na kuzima kata Zima kata Zima bila kujali watumiaji yaani wanafanya wanavyojisikia kuhusu umeme...
  14. Tuo Tuo

    Chimbo gani zuri kununulia vifaa vya umeme kwa ajili ya kuuza

    Chimbo gani zuri kununulia vifaa vya umeme kwa ajili ya kuuza
  15. Tuo Tuo

    Mliofanya biashara ya vifaa vya umeme ? Nipeni DO na DONT za hii biashara

    Najua wengi mmeshafanya hii biashara. Nipeni masharti Nipeni faida Nipeni basara za hii biashara
  16. Erick_Blocks_Machine

    Je Unahitaji, mashine bora za umeme kwaajili kufyatua Tofali?

    ERICK_BLOCKS_MACHINES watengenezaji na wauzaji wa mashine bora za umeme kwaajili ya kufyatua tofari imara. mashine zetu ni: Sand mixer machine Vibrated blocks machine (double) Vibrated block machine (single) Paving block machine (electric) Hall-block machine (electric) Luva block machine...
  17. Just Pray

    Serikali yaunda timu kufanya tathmini bei kubwa uunganishaji umeme

    "Mhe. Spika imeelezwa pia bei ya kuunganisha umeme vijijini na Mijini. Nieleze la kwanza kwamba bei ya kuunganisha umeme ni shilingi 27, 000 vijijini na kwenye Vijiji miji. Serikali inaendelea kuunganisha umeme kupitia mpango wa National energy Compact na kwa mwaka 2025/26 serikali kupitia REA...
  18. Ojuolegbha

    Maeneo 479 yasiyofikiwa na miundombinu yamepatiwa umeme

    MAENEO 479 YASIYOFIKIWA NA MIUNDOMBINU YAMEPATIWA UMEME Mradi wa Kusambaza Umeme katika Vijiji na Miji Awamu ya Tatu (Peri Urban III) unalenga kusambaza umeme katika vijiji-miji, mitaa, na vitongoji 508 ambavyo havijafikiwa na miundombinu ya umeme katika maeneo ya pembezoni mwa miji. Mradi huu...
  19. Ojuolegbha

    Ajira 31,148 zimezalishwa kwenye miradi ya umeme

    AJIRA 31,148 ZIMEZALISHWA KWENYE MIRADI YA UMEME Utekelezaji wa miradi ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme imezalisha ajira 31,148. Kwenye ajira Hizo wapo wanawake (4,915), wanaume (26,179) na walemavu (54). Kati ya ajira hizo, miradi ya uzalishaji iliajiri watu 4,018...
  20. Technophilic Pool

    Nipeni business plan ya biashara ya vifaa vya umeme??

    BEI Za Vifaaa na Faida yake katika kila kigaa
Back
Top Bottom