umeme

  1. Stability

    JamiiForums Tanzania Jamani kweli hii sio kuvuja kwa umeme? Unit 28 kwa siku 6

    Mimi mke wangu na watoto wawili wadogo TV, radio, friji inawashwa mara moja moja, taa tunazima Tusaidiane jamaani mawazo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kinatakiwa kiwanja 6m Dodoma sqm 1200 na zaidi eneo lenye umeme

    Dogo mpambanaji anataka kiwanja, kwa bei hiyo. Kuwe na huduma ya umeme
  3. USSR

    JamiiForums Tanzania Mh rais huyu Razaro Twenge wa TANESCO sisi watu wa kiruvya kisarawe tumemkosea nini tangu jana hakuna umeme.

    Mh Rais Samia suluhu Hasan nakupa hongera kwa kusimamia utekelezaji wa ilani hasa suala la upatikanaji wa umeme wa uhakika ila kuna tatizo pia . Tangu huyu DG mpya aingie ofisini na kuapa sisi wakati wa kiruvya, kisarawe, kwa omar,kwa sumaye ,makulunge hadi kwa masista hatuna umeme tangu...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Watanzania wameyakataa kabisa majiko ya umeme, hivi ni ujinga au ushamba?

    Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku." Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme? Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ataka Tanzania ianze kuzalisha umeme wa Uranium, asema rasilimali hiyo itumike kuinufaisha nchi kabla ya kuuzwa nje

    Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
  6. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Burkinabe wazee wote umeme na maji bure

    Ouagadougou, Burkina Faso – Serikali ya Burkina Faso Chini ya Rais Ibrahim Traore imetangaza kuwa wazee hawatalazimika tena kulipia huduma za umeme na maji. Tangazo hilo limetolewa na Kiongozi wa mpito wa nchi hiyo, Ibrahim Traore, ambaye amesema kuwa huduma hizo zitakuwa bure kwa wazee wote...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde azindua mradi wa matumizi ya umeme wa jua mgodini igunga- Tabora

    Imeelezwa kuwa mradi unaotumia teknojia ya kisasa ya uzalishaji umeme wa jua ni mkombozi kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini kwa kupunguza gharama za uzalishaji kwa zaidi ya asilimia 65. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde leo Mei 18, 2025 wakati akizindua mradi wa...
  8. Bueno

    JamiiForums Tanzania TanesCo msipende kukata Umeme

    Habarini za sahizi watu wa humu jukwaani. Mimi nina kero na TANESCO. TANESCO msiwe mnakata umeme huku kuna watu wengine ni machizi radio vichwa vyao vimejaa stress. Umeme ukikata radio haziongei kwa hio wanaanza kuongea wao wenyewe bila kuongeleshwa na mtu. Kwa hio jitahidini umeme msiwe mnakata.
  9. Ngonidema

    JamiiForums Tanzania Tanesco! Tanesco baadae 22:00 kuna Jambo la kidunia msikate umeme

    Tunawamba tanesco wasikate umeme dunia baadae itahamia Morocco kumuangalia mnyama akitoa kipigo
  10. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania REA YAENDELEA NA UHAMASISHAJI MATUMIZI BORA YA NISHATI YA UMEME, NA UUNGANISHAJI WATEJA MKOA WA MOROGORO

    📌Wananchi wapewa elimu matumizi bora ya nishati ya umeme 📌Wahimizwa kujiunganisha na huduma ya umeme 📌Wananchi wahamasika na UMEME TAYARI ( Ready Board) Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuhamasisha matumizi sahihi na endelevu ya umeme kwa Watanzania ikiwa pamoja na kutoa elimu...
  11. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2 tumsaidiaje?

    Wakuu, Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2, Tumsaidiaje??
  12. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kuvuta umeme nguzo Moja Bei gani

    Najiuliza hapa Bei ya kuvuta umeme nguzo Moja ni Bei Gani Kuna jamaa wameniambia 1m hivi ni kweli wakuu au wanataka kunipiga maana sielewi taratibu mnaojua mnijuze wakuu@Tanesco
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania TANESCO mtakuja lini kuunganisha umeme Chanika Zingiziwa? Mmeweka nyaya kisha mmepotea

    Machi 16, 2025 kuna memba alitusaidia kufikisha ujumbe kwenye Jamii kuwa sisi Wakazi wa Chanika Zingiziwa tuna changamoto ya kutokuwa na umeme licha ya kwamba TANESCO wamekuwa wakija na kuondoka wakiwa na sababu ambazo hazieleweki. Alichoandika Memba wa kwanza soma hapa - Wakazi wa Chanika...
  14. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Miaka mitano Serikali inajenga kituo cha kupozea Umeme Simiyu. Hakuna kinachoendelea, tumedanganywa?

    Ilikuwa Machi 3, 2021 Siku ambayo aliyekuwa Waziri wa Nishati wakati huo Medard Kalemani alipoweka jiwe la msingi ujenzi wa kituo cha kupozea umeme (Sub Station) Mkoa wa Simiyu. Hafla ya kuweka Jiwe la Msingi ilifanyika katika eneo la Imalilo, eneo ambalo lilichaguliwa kituo kijengwe ni nje...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kapinga: Serikali inaboresha miundombinu ya umeme Kibiti kuondoa changamoto ya umeme

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inatekeleza miradi mbalimbali ya matengenezo na ukarabati wa njia za kusafirisha na kusambaza umeme katika Wilaya ya Kibiti ili kuondokana na tatizo la kukatika kwa umeme kunakotokana na uchakavu...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Inaboresha Miundombinu ya Umeme Kibiti Kuondoa Changamoto ya Umeme

    SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU YA UMEME KIBITI KUONDOA CHANGAMOTO YA UMEME Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inatekeleza miradi mbalimbali ya matengenezo na ukarabati wa njia za kusafirisha na kusambaza umeme katika Wilaya...
  17. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye takwimu za vitongoji visivyo na umeme Mtwara na Lindi

    Wakuu natafuta sana takwimu za vitongoji visivyo na umeme mtwara na Lindi. Nahitaji sana hizi taarifa kwa ajili ya matumizi fulani ya kitaaluma. Nilikuwa nahitaji walau majina au source nayoweza kupata hizo data. Asante.
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania CAG: Transfoma zenye uwezo mdogo kuliko zilizoainishwa zilinunuliwa na kufungwa bila kufanya tathmini ya mahitaji ya Umeme

    REA alishindwa kufanya utafiti wa mahitaji umeme kama inavyotakiwa na badala yake ilitegemea takwimu zilizopitwa na wakati, hali iliyosababisha makadirio yasiyo sahihi ya mahitaji ya umeme. Pia, kulikuwako na ongezeko la gharama ya Shilingi bilioni 15.34 kutokana na maandalizi hafifu ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie TANESCO huduma ya umeme ni biashara isiyo na hasara au ni hujuma Kwa watumiaji!!?

    Moja kati ya taasisi ya ajabu nchini ni Tanesco,uchunguzi wangu niliofanya nimegundua mambo yafuatayo! 1.Kuna mafundi au wahusika wanachezea umeme kama moto anavyochezea kibatari yaani wanakata na kuzima kata Zima kata Zima bila kujali watumiaji yaani wanafanya wanavyojisikia kuhusu umeme...
  20. Room 28

    JamiiForums Tanzania Chimbo gani zuri kununulia vifaa vya umeme kwa ajili ya kuuza

    Chimbo gani zuri kununulia vifaa vya umeme kwa ajili ya kuuza
Back
Top Bottom