Natafuta Fundi wa Umeme wa Magari Mbeya

Natafuta Fundi wa Umeme wa Magari Mbeya

nafwa

Member
Joined
Jun 7, 2025
Posts
6
Reaction score
1
Kwa wenyeji wa Mbeya, tafadhali naomba kujua fundi mzuri wa umeme wa Magari ili anifanyie matengenezo.

Natanguliza shukrani.
 
Sogea soweto pale kuna gereji nyingi huwezi kosa fundi.
 
Back
Top Bottom