GE2025 Maharagande: Miaka 64 ya uhuru hatuna umeme wa uhakika

GE2025 Maharagande: Miaka 64 ya uhuru hatuna umeme wa uhakika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,152
Katibu wa Idara ya Haki za Binadamu Chama cha ACT Wazalendo. Mbarara Maharagande, amewataka Watanzania kukipuuza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwakuwa kimeshindwa kutatua changamoto zao hasa kwenye upatikanaji wa huduma ya umeme wa uhakika.

Maharagande ameyasema hayo wilayani Tunduru kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma ikiwa ni muendelezo wa mikutano ya kampeni ya Operesheni Majimaji 'Oktoba Linda Kura'
 
Back
Top Bottom