umeme

  1. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Kuna hitilafu kwenye gridi ya taifa iliyosababisha kukosekana kwa umeme

    Wakuu ==== Nimeona tangazo la Tanesco kuwa wateja tunatumia grid ya taifa hatuna umeme hii inamaanisha kama nchi tupo gizani a total blackout! kwa takwimu ni mikoa 3 ambayo haijaunganishwa na Grid ya Taifa, Kagera, Tunduma na Mtwara pia Je ulipo kuna umeme? ==== Jumapili, 29 Juni, 2025...
  2. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Vita ya Teknolojia: Toyota wamegundua injini inayoendeshwq na maji, hamna haja ya battery wala umeme. Maji TU yatosha

    In a move that will shake up the global auto industry, Toyota has just unveiled a water-powered engine powered by hydrogen created through electrolysis — emitting only water vapor! No lithium. No charging stations. Just pure disruption. With this bold move, Toyota isn’t just competing with EVs...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa safari ya treni ya umeme kutoka Dar kwenda Dodoma?

    Wakuu, nataka kwenda Dodoma kwa treni ya umeme. Aliewahi kutumia usafiri huu atujulishe utaratibu tafadhali. Dodoma nitakaa siku moja then nitapita " Singida" Kisha Igunga, ikifuatiwa na Tabora mjini " Chuo cha Uhazili" Then Mwanza jiji Rock City ambako nitakaa kama wiki moja hivi Insha'Allah...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dakika za jioooni, Eric Shigongo aweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa, Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa iliyopo katika jimbo hilo na kumaliza kero ya muda mrefu ya wanawake kujifungua kwa msaada wa mwanga wa tochi, iliyokuwa ikiwakabili wananchi hao Hatua hiyo imepongezwa na wananchi wa Kisiwa cha Soswa ambapo...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Biharamulo: Wanachi kata NYAMIGOGO wanafurahia umeme chini ya uwakilishi wa Eng Ezra John Chiwelesa

    Kata ya NYAMIGOGO inaziunganisha wilaya ya biharamulo na chato lakini tangu Mungu kuumba dunia ilikuwa haina umeme na wananchi wa hapa walipata shida sana na kuichukia serkali yao kwa kushindwa kuwapatia umeme. Katika uwakilishi wa mbunge Eng Ezra John Chiwelesa kata hii imepaata umeme inawaka...
  6. Mwangajamii Tanzania

    JamiiForums Tanzania Acha kuteseka na umeme kwenye nyumba za kupanga

    Submita kata umeme inakuwezesha Kutumia umeme wako mwenyewe, Acha kuokota fundi mtaani. Ukihitaji Submita nitakuuzia na kukufungia. Pia nitakupa Elimu namna yakuitumia Submita hiyo. Wengi wamekuwa wakipata changamoto namna ya kuitumia na wakati mwingine kutaka hata kuzifungua...
  7. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zaidi ya shilingi bilioni 107 zatumika usambazaji umeme vijijini Simiyu

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetumia takribani shilingi bilioni 107.36 kupeleka umeme kwenye Vijiji vyote 474 vya Mkoa wa Simiyu. Kapinga ameyasema hayo leo Juni 18, 2025 wakati akitoa tathmini ya hali ya upatikanaji wa umeme Mkoa wa Simiyu...
  8. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Gari jipya la umeme litakalotengenezwa Tanzania bei yake itaanzia usd 800 bei ya kiwandani kabla ya kodi

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutaanzishwa mchakato mkubwa wa kuzalisha gari la umeme Tanzania Features za magari ya umeme yatakayozalishiwa Tanzania yatakayozalishiwa Tanzania life expectancy ya bodi ya gari miaka 40 life expectancy ya battery miaka 15 Life expectancy ya motor miaka 20 Battery...
  9. Erick_Blocks_Machine

    JamiiForums Tanzania KARIBU NIKUUZIE MASHINE YA UMEME YA KUFYATULIA TOFALI.

    (VIBRATED BLOCK MACHINE) 🔹️TOFALI MBILI (1) 🔹️NGUVU YA MOTA 3HP 🔹️TOFALI 2000+ KWA MASAA NA 🔹️BEI 2,500,000/= TUNAPATIKANA MWENGE DAR ES SALAAM OPPOSITE NA SUMA JKT.
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wananchi jifunzeni kuishi na serikali yenu kwa akili, usisifu umeme ambao haupatikani mtaani kwenu,

    Wananchi katika Kila taifa wanalipa kodi nyingi kwa njia mbalimbali, hata yule anaenunua kibanio cha nguo na kijiko kimoja cha mafuta ya kupikia amelipa kodi. Kila muuzaji wa kitu chochote ni wakala wa TRA, anakusanya Kodi kutoka kwa wananchi wote na kuzipeleka serikalini. Na Kuna watu wanalipa...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Fundi wa umeme wa gari

    Naomba kuuliza fundi mzuri wa mifumo ya umeme wa gari, nina crown ambayo inanyonya battery, nimeweka battery mpya na bado imeisha charge.
  12. mirindimo

    JamiiForums Tanzania JPM aliwezaje kusimamia TANESCO wasikate umeme ?

    Huyu mwamba aliwezaje kuhakikisha anaondoa hii kukatwa umeme na mgao usio na mpangilio !? Na huyu mama anashindwa wapi hasa ?
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded TANESCO: Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme Imalilo (Simiyu) umechelewa kwa sababu za Kiutendaji

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia ucheleweshwaji wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme cha Imalilo kupitia andiko hili ~ Miaka mitano Serikali inajenga kituo cha kupozea Umeme Simiyu. Hakuna kinachoendelea, tumedanganywa? Shirika la Umeme Tanzania limetoa ufafanuzi...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Huyu fundi umeme kaacha alama kwenye nyumba hii

    Sija jua jina la fundi ila nimeona kaacha alama ndani ya jengo.
  15. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Hatupaswi Kushangilia Umeme Unavyosambaa kwa Kasi Vijijini, Nyumba za Nyasi Zinavyopungua Idadi, Kutawanyika Kutafuta Hela

    Katika zama hizi tunazoita za maendeleo, kuna mambo mengi tunashangilia bila kuyachambua kwa undani. Tunaona fahari umeme unaposambaa hadi kijijini, nyumba za nyasi zinavyopungua, na watu wanavyohamia mijini kutafuta fedha. Lakini, je, kweli haya ni mafanikio? Au ni dalili za jamii inayokosa...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Je kifaa hiki kinafaa kwa jiko la umeme?

    Naombeni ushauri!Nataka kutumia umeme kupikia!Je kifaa hicho kinafaa kwa jiko la umeme?Nina mafundi wawili hapa wanabishana balaa!Ningependa kupata ushauri kutoka kwenu!!
  17. Mwangajamii Tanzania

    JamiiForums Tanzania Submita kata umeme

    Kuwa mjanja na submita kata. Ondoa changamoto. Jifunze namna ya kuzitumia Mita janja. Submita hizi ni nzuri sana na utainjoy sana. Endapo ukijua kuzitumia. Kumbuka submita hizi haifungwa kwa chumba kimoja Bali inafungwa kwa kila chumba au kwa kugawa makundi ya vyumba.... ukihitaji...
  18. mirindimo

    JamiiForums Tanzania KERO Naona tuko kwenye mgao mkali wa umeme Kimara kuanzia Stop Over

    Kila siku umeme unakata asubuhi unarejea saa mbili usiku hakuna taarifa hakuna lolote hii inaitwa "mtajijua" sijui kwanini tunateswa namna kwenye nchi yetu !!!
  19. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mnakamatia Yesu kwenye pasi ya umeme? Huu ndio ufashisti unaofichwa kwenye kanzu ya sheria!

    Ndugu zangu Watanzania, hatuwezi kukaa kimya wakati utawala unageuza dini kuwa kisingizio cha kuua demokrasia. Tumeona sasa, kwa macho yetu wenyewe, serikali ikiamka na kiburi kama cha shetani wa jangwani, inavamia makanisa, inakandamiza maaskofu, na inadhani ina mamlaka ya kuamuru nani aseme...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TANESCO yakanusha madai ya kushirikiana na vyombo vya usalama, yasema makatizo ya umeme yanayotokea nchini huwa ya kupangwa kwa matengezo au dharula

    TAARIFA KWA UMMA UHIFADHI WA TAARIFA ZA WATEJA NA MAKATIZO YA UMEME Jumanne, 03 Juni, 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuwahakikishia wananchi na wateja wake kwa ujumla kuwa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai TANESCO inashirikiana na vyombo vya ulinzi na...
Back
Top Bottom