umeanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Taarifa Muhimu kwa baadhi ya wateja kwenye Mikoa ya Dar es salaam na Pwani

    UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA KINYEREZI NA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME YA MSONGO WA KILOVOTI 132 KINYEREZI-GONGOLAMBOTO Ijumaa 15 Novemba, 2024. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kuhusu maboresho ya miundombinu yanayoendelea...
  2. greater than

    JamiiForums Tanzania Vioja gani ulifanya kipindi umeanza starehe ya pombe

    Habari za mwisho wa weekend wanajamii. Naamini kila kila mtu ana aina yake ya starehe,lakini hapa nimejikita zaidi kwenye starehe yenye kuhusisha Pombe. Je,kwa Mara ya kwanza ulivyotumia ilikuwaje/ ulifanya kioja gani? Kwangu 1. Mwaka Mpya Arusha 2018, Mimi na jamaa yangu tukaenda kupata mlo...
  3. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Uzi wa mamelod kwa sasa umakwenda vizuri sana sokoni ! Kwa hapa dar umeanza kuadimika kabisa

    Ubuntu botho ! Imekuwa dili kubwa sana hapa bongo kwa takribani wiki sasa ! Trendi Iko juu sana na wanahaha kuutafuta madukani ,ingia mtaani watu wamependeza na hii jezi Kali kabisa afrika mashariki na kati
  4. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Utekaji umeanza tena? Imam Mkuu wa msikiti wa GPB Geita atekwa

    TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU. Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita. Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa anatoka msikiti kuswalisha Taraweh akiwa Ameambatana na mtoto wake wakiume. Akiwa njiani aliitwa na watu...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mfungo wa Ramadhani umeanza, mahali ulipo sukari imeshuka bei? Hali ikoje kwa bidhaa nyingine?

    Wakuu kwema? Waziri Bashe aliahidi sukari ingeshuka bei mfungo wa Ramadhani ukianza. Mfungo umeanza, bei ya sukari imeshuka mahali ulipo? Bidhaa nyingine vipi, kuanzia maharange, mchele, sembe, mihogo, magimbi, nk?
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wewe Makonda, uadilifu umeanza lini? Makontena yako 20 ulikwepa kodi ya sh. 1.2 bilioni. Acha kuhadaa wananchi

    2018 kuna wakati ulianza kuwehuka mara makontena si yangu ni ya CWT, walipoulizwa chama cha walimu walikana licha ya maigizo yako ya kuchukua wanafunzi na walimu wachache kwenda kuwaonyesha makontena bandarini. Baadaye ukakana huyatambui. Baadaye tena ukaanza kugawa laana kwa watakaonunua kama...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mwaka umeanza vibaya, Mwanamke ameniacha, Haina shida nashukuru Mungu tu

    Huyu dada nimekuwa naye kama miezi 6 sasa. Siku zote alikuwa mstaarabu sana.... Siku za karibuni nlianza tu kuona nakosa hisia kwake. Sababu mahitaji yake yalikuwa yanazidi kila siku. Leo ameamua kuniacha. Kaniacha katika kipindi ambacho namwitaji sana kutokana na hizi mvua na hali ya hewa.
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mwaka umeanza vibaya. Inauma ila hamna namna.

    Jana nimemwambia My girlfriend. Kuwa sitokuwa tayari kuendelea kuwa naye. Hivyo nam release. Ili mimi nikatafute changamoto nyingine. Amelalamika na kulia sana. But nimemwambia sina namna. Nimemuuliza kama yupo tayari tuendelee kuwa pamoja ila asitegemee niwe nampa pesa. Amenyamaza hajajibu...
  9. Leak

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe umefikia hatua ya kujidhalilisha? Hakika umeanza kuchanganyikiwa

    HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu! Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa? --- Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha Kijiji cha Kalinzi Wilaya ya Kigoma, Khalid Isaa (kushoto) akimwongoza kiongozi wa chama cha...
  10. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa biashara yangu umeanza kukua, sasa naomba mnisaidie jambo hili

    Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
  11. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa biashara zangu umeanza kukua, sasa naombeni mnisaidie jambo hili

    Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
  12. Patriot

    JamiiForums Tanzania PhD za heshima: Msimu wa shahada za Ikulu umeanza tena

    Kuna wakati tuliambiwa China walimpa u-profesa JK. Hapo ilikuwa ni baada ya kupewa PhD za heshima huku na huko! Sasa tena mambo yameanza! La kujiuliza eti chuo kikuu cha India kinaona mchango wa Rais wa TZ ni mkubwa kwao kuliko Waziri mkuu wao. Watu fulani wanashangilia, lakini kwa tunaojali...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo: Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Amemteua...
  14. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Wananchi Lushoto warudisha kadi za CCM kukosa imani na viongozi, Tazama video

    Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji. ----- Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu...
  15. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Waraka umeanza kuleta Majibu

    Wakati Majujee wanaendelea kuwehuka badala ya kusoma hoja, taratibu wengine wanaanza kurudiwa na fahamu. Sitakua na cha kuongea, bali mjionee.
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mikataba ya Bandari na DP World, SGR imeanza kuwanyima usingizi CCM

    Mkataba wa usimamizi wa bandari kati ya Tanzania na kampuni ya Dubai unampa Rais Samia Suluhu na Chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukosa usingizi usiku huku upinzani ukiendeleza kampeni za kuibua hisia za kisiasa. Na kabla ya mzunguko ujao wa uchaguzi utakaoanza mwaka ujao, Rais ambaye...
  17. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Je, kuna mgao wa umeme? Mbona kama umeanza mapema sana mwaka huu?

    Mwezi wa saba ni mapema sana kuanza kugawa umeme. Mwezi wa kumi sijui itakuwaje.
  18. The Father of All

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, mwanzo wa Ruto kutawala peke yake ndiyo umemalizika tutegemee serikali ya mseto?

    Japo mambo ya Ngoswe tulipaswa kumwachia Ngoswe, rais Samia S Hassan hivi karibuni alisikika akijisifu kuwa Kenya inapoteza wawekezaji kwa Tanzania. Sijui alipitiwa, alishauriwa vibaya au hajui diplomasia na biashara. Waingereza wanasema when you see your enemy making mistakes never interfere...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maboresho ya Barabara ya Mpiji Magoe imeanza

    Maboresho ya Barabara ya Mpiji Magoe hadi Kibamba ndani ya Dar es Salaam umeanza kwa siku kadhaa sasa, hatua iliyofikiwa ni kumwaga kifusi na kushindilia, pia mashimo ambayo yalikuwepo awali yanasawazishwa Upande wa Barabara ya Mbezi to Mpiji Magoe nayo imerekebishwa bado sehemu chache sana...
  20. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Mgao umeanza upya? Leo tu umezimwa Kariakoo Mchikichini

    Kwanza ulizimwa saa tisa mpaka saa kumi na mbili jioni ukarudi, kisha ukazimwa saa moja mpaka saa hii ni saa tano na dakika mbili usiku hamna umeme kariakoo mchikichini. TANESCO
Back
Top Bottom