umeanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kubadilisha combination na shule kwa waliomaliza kidato cha Nne mwaka huu umeanza tayari

    Habari za mchana Wana Jf. Kuna mdogo wangu amefaulu kidato cha Nne nataka nimbadilishie shule na combination alizochagua awali huko Shuleni baada ya yeye kuja na mapendekezo mapya Muda sasa tokea mwaka 2018 umekuja utaratibu mpya wa online unao muwezesha mwanafunzi kubadilisha shule ...
  2. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa VP Mpango Mnazi Mmoja umeanza vibaya. Kibaka aiba simu ya Katibu Mwenezi wa Mkoa.

    Kwenye mkutano wa CCM, mkutano mkubwa,.sherehe kubwa,wasaniii wengi pale,.pamoja na Zuchu. Lakini kibaka kaiba simu ya mheshimiwa. MC akaambiwa atangaze ili simu ipatikane. Kwa hiyo MC ametangaza:"Yupo mwanaCCM mmoja mwaminifu ameichukua simu ya Katibu Mwenezi. Tunaomba airudishe."
  3. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Twitter imeanza kufunga akaunti za waandishi wa habari wanaomkosoa Elon Musk

    Twitter yasitisha akaunti za waandishi wa habari wanaoandika habari za Musk Twitter ilisimamisha akaunti Alhamisi ya zaidi ya wanahabari nusu dazeni waliokuwa wakiandika kuhusu kampuni hiyo na mmiliki wake mpya Elon Musk. kuwanyamazisha waandishi wa habari kwenye Twitter huku wakidai kuwa...
  4. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Tuulinde kwa nguvu zote mchezo wa soka ambao umeanza kuvamiwa na wauza madawa ya kulevya

    Soka ni mchezo unashabikiwa na kuangaliwa na watu wa rika zote wakiwemo watoto hivyo basi popote linapojitokeza jambo ambalo linaweza kushusha heshima ya mchezo huu ni lazima lipigwe vita kali. Kuna habari kwamba kocha wa makipa wa timu kubwa hapa nchi amekutwa na mzigo wa madawa ya kulevya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Johnthebaptist umeanza kuwa hovyo, jitafakari upya na maandishi yako!

    johnthebaptist Umewatukana chadema mpaka Moderators wakafuta uzi wako. Jitafakati! Kwa "heshima" yako humu JF, hukupashwa kuandika kitu kama hiki, to quote you! CHADEMA kwa kupenda 'mapochopocho' unaweza kukuta kikao cha Rais Mwinyi wamejazana Watanganyika badala ya kuwapa fursa Wazanzibari!
  6. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ushauri uliotolewa na Mwigulu kuwa wakurugenzi wa mashirika ya umma waombe kazi ajira portal, umeanza kufanyiwa kazi.

    Sasa hivi ni mwendo wa ajira portal. Hakuna cha kusubiri uteuzi kama ilivyokua https://www.jamiiforums.com/threads/waziri-nchemba-napendekeza-wakuu-wa-mashirika-ya-umma-wafanyiwe-usaili-kwa-ushindani-badala-ya-teuzi-kama-awali.1992080/
  7. Stroke

    JamiiForums Tanzania Taratibu woga umeanza kuwaondoka wananchi

    Wakati nikiwa katika harakati mjini hapa kwenye bandari ya salama. Nikakutana na kundi kubwa la abiria , konda na dereva wa gari la abiria wakiwa wamemzunguka ofisa mmoja wa polisi. Kutaka kujua kinachoendelea nikajifunza kwamba ile gari ya abiria ilikamatwa kwa kosa la kupakia abiria kwenye...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo asema Ufisadi umeanza kutajwatajwa tena, hauleti baraka kwa taifa

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo amewataka Watanzania kuishi kwa mshikamano kama watu wa Taifa moja, kuepuka kubaguana kwa namna yoyote ile. “Kwa kuwa Mungu anatupenda basi tuheshimiane, tulinde utu, mambo ya Ufisadi yanayoanza kutajwajatwa sasa...
  9. Heci

    JamiiForums Tanzania Je, kauli ya Rais Samia inathibitisha kuwa ni wakati wa Mwenge wa Uhuru kuwekwa kando?

    Mwenge umelaaniwa na vitabu mbali mbali vya maandiko tofauti, mathalani kwenye Biblia kitabu cha Isaya 50:11 kinaeleza kwamba kwa kukimbiza mwenge tutalala kwa huzuni, kulala kwa huzuni ni kutofanikiwa kwenye mambo yako. Magufuli alitambua kuwa ili rasilimali zetu ziweze kutufaidisha ni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

    FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, ushariki wa Nshara machame Kuna baadhi ya mambo yamenza kuonekana ambayo hayana...
  11. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Wachaga, huu utaratibu wa kujenga kaburi kabla ya kufa umeanza lini?

    Nimeshtushwa kidogo kutoka kwa huyu ndugu Kimaro. Mkoa wa Kilimanjaro, katika kijiji cha Mbosho, wilayani Machame, kutana na Patrick Kimaro, mwenye umri wa miaka 59, ambaye amejingea kaburi lake. Kimaro amesema ni sehemu tu ya kujiandaa na maisha ya baadae na kuongeza kusema amefanya hivyo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umeanza Vyema, Malizia ng'we iliyobaki, tunakupongeza

    Binafsi nakupongeza sana kwa namna ulivyoanza na namna unavyoendelea kuipigania nchi yetu kusonga mbele. Kwa uchache wa maneno umejitahidi katika maeneo haya muhimu. Umejitahidi kuifungua nchi yetu kidiplomasia na kujaribu kuirejesha sehemu yake inapostahili. Tumeona jitihada zako za kwenda...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape umeanza vibaya kwanza Kwa msiba lakini pia kwa kauli isiyotekelezeka, Mkipewa nafasi Jikabidhini kwa MUNGU Kwanza awape hekima

    Poleni wote mliopatwa na msiba baada ya ajali iliyosababisha vifo vya wanahabari kadhaa huko Mwanza. Pili nichukue fursa Hii kumwombea msamaha Mhe. Nape Kwa kuteleza wakati anatoa salamu za rambirambi. Nasema nimwombee msamaha kwa sababu alichokisema hakitekelezeki Kwa njia yoyote Ile. Naomba...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Viwanja vyenye migogoro vimeanza kuwa dili, na utoaji wa hati mbili umeanza tena (double allocation)

    Kuweka record sawa! Vile viwanja vilivyokuwa haviuziki kwa sababu ya migogoro utawala wa jpm, sasa vimeanza kuwa dili tena awamu ya sita!. Double allocation imeanza kurudi tena! Nashauri Inchi yetu ipitishe sheria ya kunyonga watumishi wa umma/hususani Ardhi wanaosaini na kuidhisha hati Mara...
  15. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba acha kutuchonganisha na Rais Samia, umeanza kumshauri vibaya

    Waziri wa Fedha na Mipango mnachokifanya hivi sasa ni kama vile mna shida sana ya pesa na mmeishiwa ubunifu na sasa mnataka kutuvika Mizigo ya madeni na matatizo ya Serikali kwa gharama yeyote ile. 1. Mmetuongezea kodi ya katika mawasiliano ya simu kwa vocha na vifurushi wakati tunalipa VAT...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

    Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini! Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi. Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umeanza kutuangusha kabla ya siku 100 za uongozi wako

    Nimesikiliza Hotuba ya mama huko Kenya naweza kusema. Mama sio mzuri wa hoja nzito, ni mwepesi wa Ku Give In. Anasema Wakenya waje Tanazania kuwekeza kwenye madini, Mkenya Gani anamtaji wa kuja kuwekeza kwenye Madini, Kama Mwekezaji mkubwa wa madini? Mama anadanganywa na watu wake wa Karibu...
  18. barafuyamoto

    JamiiForums Tanzania Kulikoni umeme umeanza kukatika mara kwa mara?

    Habari zenu, Siku za hivi karibuni kumeamza kuwa na tatizo la umeme wa Tanesco kulatika katika ktk baadhi ya maeneo ya mkoa wa Dar. Nilianza kusahau ukatikaji wa umeme kipindi fulani. Kulikoni? Ni coincidence au ndio tunaanza kusetiwa kununua majenereta?
  19. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu umeanza vizuri lakini naomba uyafanyie kazi mambo kumi

    Amani ya M/mungu iwe nanyi waungwana wa jamii forum. Kwanza naomba kudeclare interest mimi naamini maendeleo ya mahala popote yanaletwa iwapo kutakuwa na mawzo mbadala/upinzani,hivyo hata nchi yetu Tanzania ili iweze kusonga mbele ni lazima kuwepo na mawazo mbadala au upinzani. Sasa naomba...
  20. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu umeanza vizuri mno, ukitimiza haya hakika enzi yako haitasahaulika

    MAMA SAMIA SULUHU UMEANZA VIZURI MNO, UKITIMIZA HAYA HAKIKA ENZI YAKO HAITASAHAULIKA Na Emmanuel Kasomi Kila mtu ni yeye, ameumbwa kwa fikra na vipawa tofauti kabisa na hakuna kama yeye Duniani pote. Wapo wanaomtaka Rais SAMIA SULUHU kuwa kopi ya Mtangulizi wake na wapo wanaomwambia awe Hivi...
Back
Top Bottom